Rais Samia na Rais Ruto Wafanya Mazungumzo Dar es Salaam

Jamaaa kakutana na vichwa vibovu dk mbili mbele..Wame mpunguza mpaka kajaaa..
 
Rais wa Kunyaland kajileta baada kuingia mitini siku zile
 
DPW wanamcheza akili kwa ujinga wake. Atakua amemuuliza ruto mambo ya DP. Watamzuga kumbe wenyewe hawaitaki🤣
 
ruto kichwa kinamuuma , akigeuka anakutana na waandamanaji , akigeuka anakutana na raila(a. k. a Baba),akigeuka anakutana na Uhuru .

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…