peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Miezi mitano inatosha kupima utendaji katika nafasi kubwa kabisa ya u rais?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miezi mitano inatosha kupima utendaji katika nafasi kubwa kabisa ya u rais?
kwani amekwambia anataka kugombea 2025?
Binafsi nitafurahi sana kama ataamua kuukubali huu msimamo wa kwenye gazeti lao la chama. Asigombee! ili ule mtifuano wa 2015 ndani ya chama ujirudie hiyo 2025.
Nitajie ni binadamu gani waliokosa haki toka Rais SSH aingie madarakani?Amefanya vizuri kwenye mambo madogo ila makubwa anakosea, hajali haki za binadamu, na anawanyima wengine uhuru wao wa kutoa maoni.
Think tank wa CCM ni nani?Kosa kubwa wanalolifanya CCM ni kufikiri kuwa uwepo wa vyama dhaifu ya upinzani hapa nchini ama kuviminya fursa ya kujiimarisha ndicho kitu pekee kinawafanya waonekane kuwa wao ni imara. Hawatambui umuhimu na mchango mawazo mbadala kama mojawapo ya njia na fikra pevu za kuweza kuindesha nchi kwa umakini mkubwa.
Hawaoni pamoja na kujitwalia kwa hila nafasi karibu zote zilizotokana na chaguzi za 2019 na ule wa 2020, lakini bado wanazidi kuhangaishwa na "trivial things". Badala ya kujikita katika mambo makubwa yaliyo na tija katika nyanja za kiuchumi ili kuchochea maendeleo, wao wanafikiria sifa pekee ni kubakia madarakani kwa gharama yoyote ile.
Ndiyo maana kitu pekee imebaki kwao ni kutegemea vyombo vya dola ili kuendelea kubakia madarakani. Kamwe haiwezekani akili ndogo ikaendesha akili kubwa na kutarajia matokeo makubwa.
1) Amerudisha uhusiano mzuri na nchi jirani zetu hasa Kenya- na kurudusha biashara mpakani.Tuambiwe hadi leo chini ya Utawala wa CCM kwa kipindi hiki kipya cha Rais huyu mtarajiwa kwa njia ya kupigiwa kura hapo 2025, lipi alilolifanya hata Wananchi wamchague 2025 awe raisi wao?
Kwa upande wangu naona mambo ni valuvalu tu hayana muelekeo wa kuonyesha ameleta unafuu wa maisha kwa mwananchi. Kama yapo tuambiwe hili na lile, miamala tozo, umeme gesi na vingi kwa mlaji vimeshuka bei na sasa Mwananchi wa Tanzania anapata milo mitatu kwa siku na wale wanaokula daku hawakwangui masufuria ili kura zetu tumpe.
Zaidi naona ni mtafaruku ndani ya chama chao na pia kujiwekeza kwa kupambana na wanaodai Katiba na wapinga chanjo bila ya kuviacha vyama vya siasa.
Rais ili ajikwamue aurudishe na kuumalizia ule mchakato wa Katiba Mpya kwa pale ulipobakia tutamuelewa.
Tutambue kuwa Samia si Magufuli japo aliwahi kusema kuwa yeye na hayati John Magufuli ni kitu kimoja. Linalowatofautisha ni uwezo wa kufanya uamuzi na kuusimamia.Tuambiwe hadi leo chini ya Utawala wa CCM kwa kipindi hiki kipya cha Rais huyu mtarajiwa kwa njia ya kupigiwa kura hapo 2025, lipi alilolifanya hata Wananchi wamchague 2025 awe raisi wao?
Kwa upande wangu naona mambo ni valuvalu tu hayana muelekeo wa kuonyesha ameleta unafuu wa maisha kwa mwananchi. Kama yapo tuambiwe hili na lile, miamala tozo, umeme gesi na vingi kwa mlaji vimeshuka bei na sasa Mwananchi wa Tanzania anapata milo mitatu kwa siku na wale wanaokula daku hawakwangui masufuria ili kura zetu tumpe.
Zaidi naona ni mtafaruku ndani ya chama chao na pia kujiwekeza kwa kupambana na wanaodai Katiba na wapinga chanjo bila ya kuviacha vyama vya siasa.
Rais ili ajikwamue aurudishe na kuumalizia ule mchakato wa Katiba Mpya kwa pale ulipobakia tutamuelewa.
Tulisahau moja boss.FAO LA KUJITOA NSSF
Ameshindwa kulipa mafao kwa wakati
MPAKA SASA WAMEWEZA KUMZIBITIGAIDI MBOWETuambiwe hadi leo chini ya Utawala wa CCM kwa kipindi hiki kipya cha Rais huyu mtarajiwa kwa njia ya kupigiwa kura hapo 2025, lipi alilolifanya hata Wananchi wamchague 2025 awe Rais wao?
Kwa upande wangu naona mambo ni valuvalu tu hayana muelekeo wa kuonyesha ameleta unafuu wa maisha kwa mwananchi. Kama yapo tuambiwe hili na lile, miamala tozo, umeme gesi na vingi kwa mlaji vimeshuka bei na sasa Mwananchi wa Tanzania anapata milo mitatu kwa siku na wale wanaokula daku hawakwangui masufuria ili kura zetu tumpe.
Zaidi naona ni mtafaruku ndani ya chama chao na pia kujiwekeza kwa kupambana na wanaodai Katiba na wapinga chanjo bila ya kuviacha vyama vya siasa.
Rais ili ajikwamue aurudishe na kuumalizia ule mchakato wa Katiba Mpya kwa pale ulipobakia tutamuelewa.
Mengi sana, huoni sasa Airbus ikitoka Malawi inatua Zanzibar.Tuambiwe hadi leo chini ya Utawala wa CCM kwa kipindi hiki kipya cha Rais huyu mtarajiwa kwa njia ya kupigiwa kura hapo 2025, lipi alilolifanya hata Wananchi wamchague 2025 awe Rais wao?
Kwa upande wangu naona mambo ni valuvalu tu hayana muelekeo wa kuonyesha ameleta unafuu wa maisha kwa mwananchi. Kama yapo tuambiwe hili na lile, miamala tozo, umeme gesi na vingi kwa mlaji vimeshuka bei na sasa Mwananchi wa Tanzania anapata milo mitatu kwa siku na wale wanaokula daku hawakwangui masufuria ili kura zetu tumpe.
Zaidi naona ni mtafaruku ndani ya chama chao na pia kujiwekeza kwa kupambana na wanaodai Katiba na wapinga chanjo bila ya kuviacha vyama vya siasa.
Rais ili ajikwamue aurudishe na kuumalizia ule mchakato wa Katiba Mpya kwa pale ulipobakia tutamuelewa.
Huoni mpuuzi Tundu Lissu amekuwa na adabuMPAKA SASA WAMEWEZA KUMZIBITIGAIDI MBOWE
Hajali haki za binadamu kwani mpaka sasa ameshamuua au kumpiga risasi nani ?Amefanya vizuri kwenye mambo madogo ila makubwa anakosea, hajali haki za binadamu, na anawanyima wengine uhuru wao wa kutoa maoni.
Kwenye kilimo, mfano wakulima wa mbaazi bei zumepanda toka tsh200/kg mpaka 1200/kg alafu bado mtu anasema hajafanya kituMengi tuu hasa upande wa watumishi wa umma,watu wa biashara nk..kwa upande wa wanaojiita wanyonge Mazao yao yanauzika ila bei ndio sio rafiki na vitu vingi vimeenda juu.
Ukipata mwingine wa kumchagua hiyo 2025 mchague tuu usiwaze mkuu ila sisi tunaenda na SSH.
Kwa mfano sisi tulio kwenye Ukandarasi tunaelewa nini tunaongea yaani tunapata Kazi kama zote.
Kingine ulichomiss wewe na propaganda na majigambo ya uzinduzi,matamko ya udharirishaji nk ndio maana unaona kama kimya.
Wamemiss zile kiki za shujaaAmeongeza bajeti ya Tarura kutoka bil 200 mpaka billioni 900(ref Umi mwalimu), bajeti ya maji kaongeza maradufu mpaka b680 ili kumaliza kero za maji(ref waziri wa maji),bajeti afya , diplomasia-wawekezaji,fedha za wahisani zimeachiwa, wanaongezeka,pia kurudisha sekta binafsi.Pia anaprogram kubwa ya ku-rebrand Tanzania ambapo atavutia wawekezaji wengi sana.hayo ni machache dhidi ya mengi.
Hyo shida ni ya nan? mfano anakuja gavana wa bot na ushauri wa kiuchumi, unataka rais alete ujuaji wakati kuna wasomi na wabonezi kwenye fani husika. sema watz uwajibikaji zero, mnataka rais awe mjuaji Kama bwana yule mchumi,mwanasheria,mkandarasi,askari ni yeye tu ndyo mjue mna raisTutambue kuwa Samia si Magufuli japo aliwahi kusema kuwa yeye na hayati John Magufuli ni kitu kimoja. Linalowatofautisha ni uwezo wa kufanya uamuzi na kuusimamia.
Magufuli alifanya maamuzi magumu kwa mambo mengi. Moja kuu ni kurudisha nidhamu ya utendaji Serikalini. Kwa upande wake Samia, kama anavyojadiliwa na wachambuzi wa siasa, hana “maamuzi.” Mara nyingi anafika kwenye “briefings” za wateule wake akiwa hana kitu huku akitegemea wamsaidie kujua na kuamua.Wateule wanamuongoza kufikia uamuzi au kumlisha uamuzi na kwenda kuutekeleza. Yeye huishia kuwaambia haya ndugu zanguni nendeni mtekeleze hayo mlosema.
Wabongo hawatawaliwi kimama mama. Kwa aina hii ya utawala, utendaji wa mazoea umerejea na hakuna wa kukemea na kuchukua hatua
Ujue ukiwa humu mitandaoni unaweza dhani maisha huko kitaa ni hovyo balaa kumbe ni wapuuzi tuu wachache wanaompinga ndio wanazusha mambo ambayo hayapo.Kwenye kilimo, mfano wakulima wa mbaazi bei zumepanda toka tsh200/kg mpaka 1200/kg alafu bado mtu anasema hajafanya kitu
Yani turudie uchaguzi wakati mwaka haujapita hujui kuwa uchaguzi ni gharama hii system ni nzuri kuliko kuchoshana na uchaguzi Plus gharamaHamna kitu. katiba irekebishwe ikitokea Rais alieko madarakani anafikwa na la kufikwa uitishwe uchaguzi maana inaonekana kwa katiba ya sasa Rais alieko madarakani anateua makamu wa Rais goigoi kwa sababu wanazojua wao.
Amewaleteeni chanjo ya uviko 19 na tozo za miamalaTuambiwe hadi leo chini ya Utawala wa CCM kwa kipindi hiki kipya cha Rais huyu mtarajiwa kwa njia ya kupigiwa kura hapo 2025, lipi alilolifanya hata Wananchi wamchague 2025 awe Rais wao?