Rais Samia na Serikali yako mmejipangaje ili kukomesha watu wanaoendelea kumchafua Hayati Magufuli?

Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.

Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza umoja wao kwa lengo la kumchafua na kumdhihaki marehemu, ili ionekane kwamba kila alilofanya (liwe baya au zuri) halikuwa na manufaa au faida yoyote kwa watanzania.

Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba hayati Magufuli alifanya mambo mengi mazuri ktk nchi hii tangu alipokuwa waziri na mpaka alipokuwa raisi. Ni yeye aliefanya nchi hii ianze kujulikana kimataifa mpaka kufikia hatua nchi yetu ikaanza kulinganishwa au kushindanishwa na nchi zenye maendeleo na zinazojengwa kwa kasi kama vile Ghana, Nigeria, South Africa, Kenya nk. Lkn pia hata yeye alikuwa anashindanishwa na maraisi bora wa Africa tena ktk tatu bora.

Mambo mengi ya maendeleo ambayo yalishindikana kufanywa miaka zaidi ya 50 ya nyuma yeye aliweza kuyafanya kwa miaka 5 tu ya uongozi wake, ilifikia mpk nchi kama Nigeria, Kenya, Uganda, Congo nk wanaomba tungewaazima Rais wetu atawale ktk moja ya hizo nchi just kwa miaka 2 tu halafu waturudishie raisi wetu. Najua kwa mazuri mengi aliyoyafanya haikuwa kazi rahisi kwa yeye kukosa maadui wa nje na ndan ya nchi lkn hiyo haikumkatisha tamaa yeye kufanya aliyoyafanya.

Sasa ameshakufa na yale mazuri kayaacha kwa ajili yetu na vizazi vyetu, inakuaje makundi haya ya wauza unga, mateja, mafisadi, wapiga dili, wataka madaraka, wanywa viloba na wauzaji wao wanaanza kujitokeza kumshambulia alafu raisi na serikali yako mnakaa kimya kuangalia hali hiyo inavyoendelea.

Hivi Rais Samia hauoni kwamba hata na wewe siku ukitoka madarakani au Allah akikuchukua ukiwa bado upo madarakani (Mungu aepushie) makundi haya haya yataibuka kukuchafua? Hawa watu hawana nia nzuri na nchi hii na pia sio watu wazuri kwako na chama chako.

Agenda hii hii watakuja kuitumia mwaka 2025 kuichafua Serikali yako na chama chako, maana watakwambia kuwa na wewe ulikuwa mmoja wa washauri na watu wa karibu ya Hayati Rais Magufuli enzi hizo.

Sasa ili haya yasikukute anza kbs kupiga marufuku makundi haya yasiendelee kumchafua Hayati Magufuli maana inaonesha wazi kwamba wakimaliza kumchafua hayati Magufuli watakugeukia wewe na Serikali yako.

Chukua hatua aliyoichukua yeye alipoingia madarakani kwa kuwaonya wale wote waliokuwa wanawatukana na kuwasema vibaya Marais wetu wastaafu.

Kukaa kwako kimya kuna hatarisha uhai wa chama chako na ni hatari kwa usalama wa nchi. Kama taifa tunahitaji utulivu, amani na maendeleo sio majungu majungu yasiokuwa na faida
Stupid thinking
 
Wanafiki walichangia kumpoteza Magufuli kwa kiasi kikubwa

Yeye kama binadamu alikua na madhaifu yake kama wengine ila unafiki ,upambe na sifa za kipumbavu viliongeza kumdidimiza sababu vilichangia hofu sababu watu walijua ukimpinga tu unapotea!
JamiiForums-1109361544.jpeg
 
Nitaendelea kukubali mawazo yako maana huwa unaongea ukweli panapo hitaji kufanya hivyo.
 
Nyie watu ni madikteka kutoka ndani ya mioyo yenu kabisa.

Yaani hamtaki kabisa watu wawe na mtazamo tofauti, binadamu wanatukana mpaka Mungu aliyewaumba na kuwapa pumzi itakuwa Magufuli?

What is wrong with you people? Mbona hamna ustahimilivu? Yaani mnataka mtunge sheria na regulation za namna gani tufikiri!!
 
Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.

Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza umoja wao kwa lengo la kumchafua na kumdhihaki marehemu, ili ionekane kwamba kila alilofanya (liwe baya au zuri) halikuwa na manufaa au faida yoyote kwa watanzania.

Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba hayati Magufuli alifanya mambo mengi mazuri ktk nchi hii tangu alipokuwa waziri na mpaka alipokuwa raisi. Ni yeye aliefanya nchi hii ianze kujulikana kimataifa mpaka kufikia hatua nchi yetu ikaanza kulinganishwa au kushindanishwa na nchi zenye maendeleo na zinazojengwa kwa kasi kama vile Ghana, Nigeria, South Africa, Kenya nk. Lkn pia hata yeye alikuwa anashindanishwa na maraisi bora wa Africa tena ktk tatu bora.

Mambo mengi ya maendeleo ambayo yalishindikana kufanywa miaka zaidi ya 50 ya nyuma yeye aliweza kuyafanya kwa miaka 5 tu ya uongozi wake, ilifikia mpk nchi kama Nigeria, Kenya, Uganda, Congo nk wanaomba tungewaazima Rais wetu atawale ktk moja ya hizo nchi just kwa miaka 2 tu halafu waturudishie raisi wetu. Najua kwa mazuri mengi aliyoyafanya haikuwa kazi rahisi kwa yeye kukosa maadui wa nje na ndan ya nchi lkn hiyo haikumkatisha tamaa yeye kufanya aliyoyafanya.

Sasa ameshakufa na yale mazuri kayaacha kwa ajili yetu na vizazi vyetu, inakuaje makundi haya ya wauza unga, mateja, mafisadi, wapiga dili, wataka madaraka, wanywa viloba na wauzaji wao wanaanza kujitokeza kumshambulia alafu raisi na serikali yako mnakaa kimya kuangalia hali hiyo inavyoendelea.

Hivi Rais Samia hauoni kwamba hata na wewe siku ukitoka madarakani au Allah akikuchukua ukiwa bado upo madarakani (Mungu aepushie) makundi haya haya yataibuka kukuchafua? Hawa watu hawana nia nzuri na nchi hii na pia sio watu wazuri kwako na chama chako.

Agenda hii hii watakuja kuitumia mwaka 2025 kuichafua Serikali yako na chama chako, maana watakwambia kuwa na wewe ulikuwa mmoja wa washauri na watu wa karibu ya Hayati Rais Magufuli enzi hizo.

Sasa ili haya yasikukute anza kbs kupiga marufuku makundi haya yasiendelee kumchafua Hayati Magufuli maana inaonesha wazi kwamba wakimaliza kumchafua hayati Magufuli watakugeukia wewe na Serikali yako.

Chukua hatua aliyoichukua yeye alipoingia madarakani kwa kuwaonya wale wote waliokuwa wanawatukana na kuwasema vibaya Marais wetu wastaafu.

Kukaa kwako kimya kuna hatarisha uhai wa chama chako na ni hatari kwa usalama wa nchi. Kama taifa tunahitaji utulivu, amani na maendeleo sio majungu majungu yasiokuwa na faida
Unajitahidi sana kumpinga mama yetu Samia.
Ila tukujulishe tu kuwa hautoweza kumkwamisha maana tupo na imani naye natutamlimda kama mboni ya jicho letu.

Nimeona umejitahidi kutoa vitisho ooooh mara kwenye vikao vya chama mara ooo na upuuzi kibao.

Unatakiwa kukubali matokeo kuwa sasa hivi rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mama Samia Suluhu Hassan.
 
Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.

Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza umoja wao kwa lengo la kumchafua na kumdhihaki marehemu, ili ionekane kwamba kila alilofanya (liwe baya au zuri) halikuwa na manufaa au faida yoyote kwa watanzania.

Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba hayati Magufuli alifanya mambo mengi mazuri ktk nchi hii tangu alipokuwa waziri na mpaka alipokuwa raisi. Ni yeye aliefanya nchi hii ianze kujulikana kimataifa mpaka kufikia hatua nchi yetu ikaanza kulinganishwa au kushindanishwa na nchi zenye maendeleo na zinazojengwa kwa kasi kama vile Ghana, Nigeria, South Africa, Kenya nk. Lkn pia hata yeye alikuwa anashindanishwa na maraisi bora wa Africa tena ktk tatu bora.

Mambo mengi ya maendeleo ambayo yalishindikana kufanywa miaka zaidi ya 50 ya nyuma yeye aliweza kuyafanya kwa miaka 5 tu ya uongozi wake, ilifikia mpk nchi kama Nigeria, Kenya, Uganda, Congo nk wanaomba tungewaazima Rais wetu atawale ktk moja ya hizo nchi just kwa miaka 2 tu halafu waturudishie raisi wetu. Najua kwa mazuri mengi aliyoyafanya haikuwa kazi rahisi kwa yeye kukosa maadui wa nje na ndan ya nchi lkn hiyo haikumkatisha tamaa yeye kufanya aliyoyafanya.

Sasa ameshakufa na yale mazuri kayaacha kwa ajili yetu na vizazi vyetu, inakuaje makundi haya ya wauza unga, mateja, mafisadi, wapiga dili, wataka madaraka, wanywa viloba na wauzaji wao wanaanza kujitokeza kumshambulia alafu raisi na serikali yako mnakaa kimya kuangalia hali hiyo inavyoendelea.

Hivi Rais Samia hauoni kwamba hata na wewe siku ukitoka madarakani au Allah akikuchukua ukiwa bado upo madarakani (Mungu aepushie) makundi haya haya yataibuka kukuchafua? Hawa watu hawana nia nzuri na nchi hii na pia sio watu wazuri kwako na chama chako.

Agenda hii hii watakuja kuitumia mwaka 2025 kuichafua Serikali yako na chama chako, maana watakwambia kuwa na wewe ulikuwa mmoja wa washauri na watu wa karibu ya Hayati Rais Magufuli enzi hizo.

Sasa ili haya yasikukute anza kbs kupiga marufuku makundi haya yasiendelee kumchafua Hayati Magufuli maana inaonesha wazi kwamba wakimaliza kumchafua hayati Magufuli watakugeukia wewe na Serikali yako.

Chukua hatua aliyoichukua yeye alipoingia madarakani kwa kuwaonya wale wote waliokuwa wanawatukana na kuwasema vibaya Marais wetu wastaafu.

Kukaa kwako kimya kuna hatarisha uhai wa chama chako na ni hatari kwa usalama wa nchi. Kama taifa tunahitaji utulivu, amani na maendeleo sio majungu majungu yasiokuwa na faida
Jiwe alijiharibia mwenyewe. Mwache avune alichopanda
 
Mshauri apanue magereza kwa maana wanaomchafua mwendazake ni mamilioni (zaidi ya 1.9 million- kura alizopata Lissu). Hata hivyo chuki kaipandikiza mwenyewe.
 
Bado mnataka kutishia watu? kweli mlibobeaa
 
Hivi Mwendazake alifanya mradi gani wa maana huko Mbeya? Au ndiyo aliwaletea Naibu wa Spika?
Hatuna chochote cha kumkumbuka alichofanya huku Mbeya, ukiacha ve vya kawaida kama kuboresha hospitali.
Mkoa wa Mbeya haujafaidika na miradi mikubwa kama daraja la Busisi au uwanja wa Chato.
Airport yenyewe haijakamilika , inajengwa toka 2001, abiria wakizidi wananyeshewa mvua.

Kuingia na barabara mjini Mbeya tu ni shida, kwenda Tunduma barabara ni majanga- tena one way hadi Mbalizi!

Sasa sisi tumkumbuke kwa lipi sijui!
 
Ripoti haikusema kuwa Magufuli alikuwa fisadi, bali inasema kuwa kuna ufisadi umefanyika.
Sasa kama kuna ufisadi umefanyika ndani ya serekali aliyokuwa anaisimamia magufuli maana yake Magufuli ni fisadi,mwizi na mzembe wa kusimamia mali za uma.
 
Hawa wanaolazimisha kumchafua Magu wasikutishe. Ni mhemuko wa kupita, ukweli ni kwamba mazuri aliyoyafanya, Nia yake thabiti, jasho alilolitoa havifutiki, vitadumu daima. Na daima vina outweigh by far mapungufu yake Kama binadamu. Na bahati nzuri hoja zote za kumchafua zinajibika kiurahisi.

Hawa wapiga kelele kwani wameanza leo? Kilichotokea ni viongozi wa serikali na chama tawala kukaa kimya. Hili linachangiwa na kutokuwa na uhakika na uelekeo wa Rais, na kutokukamilika kwa safu ya uongozi wa chama.
 
Sasa kama kuna ufisadi umefanyika ndani ya serekali aliyokuwa anaisimamia magufuli maana yake Magufuli ni fisadi,mwizi na mzembe wa kusimamia mali za uma.
Uzembe wa mchezaji kujifunga goli mwenyew, haiwezi kuwa sababu ya kocha kulaumiwa au kusema kuwa kocha ndie aliejifunga. Uzembe wa mwenyekiti wa chama fulani kuvunjika mguu baa kutokana na ulevi wake mwenyewe, haiwezi kuwa sababu ya chama kizima kulaumiwa kwa ulevi wake. Kama akili yako ipo huru nafikiri utakuwa umenielewa
 
Uzembe wa mchezaji kujifunga goli mwenyew, haiwezi kuwa sababu ya kocha kulaumiwa. Uzembe wa mwenyekiti wa chama fulani kuvunjika mguu baa kutokana na ulevi wake mwenyew, haiwezi kuwa sababu ya chama kizima kulaumiwa. Kama akili yako ipo huru nafikiri utakuwa umenielewa
Kwanza umesoma hata nilichoandika?Kwenye andiko langu hapo ni wapi nimetaja chama?
 
Hivi mnashindwaje kumfuata huyu Malaika Huko aliko? Yaani Watu wanahoji hata matendo.ya muumba wao iwe ya huyu kiumbe dhaifu asihojiwe? Mnamuona bora kwa sababu mnamlinganisha na watangulizi wake. Vivyo hivyo aliyekuja ataonekana bora na yeye mwenda zake ataonekana hakufaa

Mnamfanya binadamu mwenzenu mungu mtu kwa mambo ya kipuuzi eti kajenga reli! HII mnayotumia mbona hamumtukuzi mzungu.aliyewajengea na badala yake mnawaita Mabeberu
 
Kwanza umesoma hata nilichoandika?Kwenye andiko langu hapo ni wapi nimetaja chama?
Hukutaja chama lkn na mimi nimekutolea tu mfano, kwamba si kila baya linalofanywa na watu wachache serikalini lawama tumtupie raisi. Raisi ni binadam kama wewe kuna mamb yanafanyika bila yeye kujua au kupenda yafanyike. So ukimbebesha lawama yeye kwa makosa ya mtu mungine unamuonea.

Ni sawa na kusema kwamba kila anaefanya kosa duniani lawama ziende kwa aliemuumba maana ndio anaem control yeye kwa kila jambo kitu ambacho hakipo. Mungu ashasema kila mtu atahukumiwa kwa makosa yake.

Hapa nikiwa na maana kuwa waliofanya ufisadi wahukumiwe kwa makosa yao na yeye ahukumiwe kwa makosa yake. Sio kumbebesha mizigo isiyo yake
 
Back
Top Bottom