Rais Samia na Serikali yako mmejipangaje ili kukomesha watu wanaoendelea kumchafua Hayati Magufuli?

Bila shaka wewe ndo utakuwa mtu wa mwisho kurudishiwa akili yako na mwenyekiti wako hapo ufipa. Maana uliyoandika hayaendani na mtu mwenye akili zake kichwani
Tuliza mshono, upuuzi wako washirikishe misukule wenzako
 
Wanafiki walichangia kumpoteza Magufuli kwa kiasi kikubwa

Yeye kama binadamu alikua na madhaifu yake kama wengine ila unafiki ,upambe na sifa za kipumbavu viliongeza kumdidimiza sababu vilichangia hofu sababu watu walijua ukimpinga tu unapotea!
View attachment 1750830
Wanafiki ndiyo waliunda virusi vya Corona?
 
Lisu, Mbowe, Zito na magenge yao watakapoona kuwa hawana uwezo wa kupambana au kumkabili huyu mama kuingia ikulu mwaka 2025, watayageuza haya haya mazuri ya huyu mama kuwa mabaya. Wapinzani wote hawana jema, tena na nyie mnaojifanya kumpenda na kumsifia sasa hivi, pindi hao niliowataja hapo juu watapochukua tena akili zenu kukaa nazo mifukoni mwao, mtajiunga nao na kumshambulia mama (raisi Samia), serikali yake na chama chake.
Sukuma Gang mshindwe na mlegee mashetani wakubwa nyie
 
Hawa wanaolazimisha kumchafua Magu wasikutishe. Ni mhemuko wa kupita, ukweli ni kwamba mazuri aliyoyafanya, Nia yake thabiti, jasho alilolitoa havifutiki, vitadumu daima. Na daima vina outweigh by far mapungufu yake Kama binadamu. Na bahati nzuri hoja zote za kumchafua zinajibika kiurahisi...
Kajichafua mwenyewe
 
Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.

Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza umoja wao kwa lengo la kumchafua na kumdhihaki marehemu, ili ionekane kwamba kila alilofanya (liwe baya au zuri) halikuwa na manufaa au faida yoyote kwa watanzania.

Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba hayati Magufuli alifanya mambo mengi mazuri ktk nchi hii tangu alipokuwa waziri na mpaka alipokuwa raisi. Ni yeye aliefanya nchi hii ianze kujulikana kimataifa mpaka kufikia hatua nchi yetu ikaanza kulinganishwa au kushindanishwa na nchi zenye maendeleo na zinazojengwa kwa kasi kama vile Ghana, Nigeria, South Africa, Kenya nk. Lkn pia hata yeye alikuwa anashindanishwa na maraisi bora wa Africa tena ktk tatu bora.

Mambo mengi ya maendeleo ambayo yalishindikana kufanywa miaka zaidi ya 50 ya nyuma yeye aliweza kuyafanya kwa miaka 5 tu ya uongozi wake, ilifikia mpk nchi kama Nigeria, Kenya, Uganda, Congo nk wanaomba tungewaazima Rais wetu atawale ktk moja ya hizo nchi just kwa miaka 2 tu halafu waturudishie raisi wetu. Najua kwa mazuri mengi aliyoyafanya haikuwa kazi rahisi kwa yeye kukosa maadui wa nje na ndan ya nchi lkn hiyo haikumkatisha tamaa yeye kufanya aliyoyafanya.

Sasa ameshakufa na yale mazuri kayaacha kwa ajili yetu na vizazi vyetu, inakuaje makundi haya ya wauza unga, mateja, mafisadi, wapiga dili, wataka madaraka, wanywa viloba na wauzaji wao wanaanza kujitokeza kumshambulia alafu raisi na serikali yako mnakaa kimya kuangalia hali hiyo inavyoendelea.

Hivi Rais Samia hauoni kwamba hata na wewe siku ukitoka madarakani au Allah akikuchukua ukiwa bado upo madarakani (Mungu aepushie) makundi haya haya yataibuka kukuchafua? Hawa watu hawana nia nzuri na nchi hii na pia sio watu wazuri kwako na chama chako.

Agenda hii hii watakuja kuitumia mwaka 2025 kuichafua Serikali yako na chama chako, maana watakwambia kuwa na wewe ulikuwa mmoja wa washauri na watu wa karibu ya Hayati Rais Magufuli enzi hizo.

Sasa ili haya yasikukute anza kbs kupiga marufuku makundi haya yasiendelee kumchafua Hayati Magufuli maana inaonesha wazi kwamba wakimaliza kumchafua hayati Magufuli watakugeukia wewe na Serikali yako.

Chukua hatua aliyoichukua yeye alipoingia madarakani kwa kuwaonya wale wote waliokuwa wanawatukana na kuwasema vibaya Marais wetu wastaafu.

Kukaa kwako kimya kuna hatarisha uhai wa chama chako na ni hatari kwa usalama wa nchi. Kama taifa tunahitaji utulivu, amani na maendeleo sio majungu majungu yasiokuwa na faida
Hakuna mtu anamchafua Magufuli wao bali wananchi wanaibua uchafu wake alioutengeneza yeye mwenyewe na kuuficha kwa miaka yote 5 ya uongozi wake mbaya. Kwa kutumia vyombo vya dola na wasiojulikana, mbinu mbalimbali chafu zikitumika kuwathibiti waliojaribu kuanika uovu wake, ikiwa ni pamoja na kufunga bila hata, kujeruhi, kutesa, kuua, kuteka nk. Rais Samia akiwa Makamu aliona yote haya na kuadhirika na huo uchafu lakini asingeweza kufanya lolote, kama ilivyokuwa kwa viongozi wote wa chini wa yule mwovu, lakini sasa ni Rais kamili kwa hiyo ni wajibu wake kusafisha uchafu wote wa yule Mwendazake ili Serikali yake iwe safi. Mama Samia, you are nowyour own President, you will not be judged for the past but for now and the future.
 
Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.

Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza umoja wao kwa lengo la kumchafua na kumdhihaki marehemu, ili ionekane kwamba kila alilofanya (liwe baya au zuri) halikuwa na manufaa au faida yoyote kwa watanzania.

Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba hayati Magufuli alifanya mambo mengi mazuri ktk nchi hii tangu alipokuwa waziri na mpaka alipokuwa raisi. Ni yeye aliefanya nchi hii ianze kujulikana kimataifa mpaka kufikia hatua nchi yetu ikaanza kulinganishwa au kushindanishwa na nchi zenye maendeleo na zinazojengwa kwa kasi kama vile Ghana, Nigeria, South Africa, Kenya nk. Lkn pia hata yeye alikuwa anashindanishwa na maraisi bora wa Africa tena ktk tatu bora.

Mambo mengi ya maendeleo ambayo yalishindikana kufanywa miaka zaidi ya 50 ya nyuma yeye aliweza kuyafanya kwa miaka 5 tu ya uongozi wake, ilifikia mpk nchi kama Nigeria, Kenya, Uganda, Congo nk wanaomba tungewaazima Rais wetu atawale ktk moja ya hizo nchi just kwa miaka 2 tu halafu waturudishie raisi wetu. Najua kwa mazuri mengi aliyoyafanya haikuwa kazi rahisi kwa yeye kukosa maadui wa nje na ndan ya nchi lkn hiyo haikumkatisha tamaa yeye kufanya aliyoyafanya.

Sasa ameshakufa na yale mazuri kayaacha kwa ajili yetu na vizazi vyetu, inakuaje makundi haya ya wauza unga, mateja, mafisadi, wapiga dili, wataka madaraka, wanywa viloba na wauzaji wao wanaanza kujitokeza kumshambulia alafu raisi na serikali yako mnakaa kimya kuangalia hali hiyo inavyoendelea.

Hivi Rais Samia hauoni kwamba hata na wewe siku ukitoka madarakani au Allah akikuchukua ukiwa bado upo madarakani (Mungu aepushie) makundi haya haya yataibuka kukuchafua? Hawa watu hawana nia nzuri na nchi hii na pia sio watu wazuri kwako na chama chako.

Agenda hii hii watakuja kuitumia mwaka 2025 kuichafua Serikali yako na chama chako, maana watakwambia kuwa na wewe ulikuwa mmoja wa washauri na watu wa karibu ya Hayati Rais Magufuli enzi hizo.

Sasa ili haya yasikukute anza kbs kupiga marufuku makundi haya yasiendelee kumchafua Hayati Magufuli maana inaonesha wazi kwamba wakimaliza kumchafua hayati Magufuli watakugeukia wewe na Serikali yako.

Chukua hatua aliyoichukua yeye alipoingia madarakani kwa kuwaonya wale wote waliokuwa wanawatukana na kuwasema vibaya Marais wetu wastaafu.

Kukaa kwako kimya kuna hatarisha uhai wa chama chako na ni hatari kwa usalama wa nchi. Kama taifa tunahitaji utulivu, amani na maendeleo sio majungu majungu yasiokuwa na faida
Hata akina Lwaitama, nao wanatafuta kiki kwa kumdhihaki mwenda zake eti anasema Prof Assad alitekwa ,ningekuwa mimi ndio mwenye mamlaka ningeanza na yeye atueleze huyo Assad alitekwa lini na yeye mbona hajawahi kusemwa anadai alitekwa wakati alikuwa msikitini. Hawa walimu wa vyuo vikuu wamekuwa watu wa hovyo sana, Lwaitama na kiingereza chake cha kuombea maji ameanza kujitutumua wakati yeye mwenyewe hata kuongoza ndoa yake imemshinda.Watu wanadhani kutawala na kuwa raisi wa nchi ni jambo jepesi ili hali wao wenyewe hata kuongoza familia zao ni shida.
 
Wanafiki ndiyo waliunda virusi vya Corona?
Wanafiki kama kina chakubanga na jaffo walimuaminisha jiwe kuwa Corona inaponyeshwa na kukaa kwenye mvuke na kula malimao..

Haikuishia hapo tu akina Kabudi waliomba hadi ndege kufuata Juice Antananarivo ambayo hadi leo hatujui iliishia wapi
 
Mleta mada kala vitumbua vya wiki iliyopita vimemvuruga akili.Magufuli ana jema gani?Kamfufue aje atutupe jela tunaomchafua😂😂😂
 
Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.

Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza umoja wao kwa lengo la kumchafua na kumdhihaki marehemu, ili ionekane kwamba kila alilofanya (liwe baya au zuri) halikuwa na manufaa au faida yoyote kwa watanzania.

Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba hayati Magufuli alifanya mambo mengi mazuri ktk nchi hii tangu alipokuwa waziri na mpaka alipokuwa raisi. Ni yeye aliefanya nchi hii ianze kujulikana kimataifa mpaka kufikia hatua nchi yetu ikaanza kulinganishwa au kushindanishwa na nchi zenye maendeleo na zinazojengwa kwa kasi kama vile Ghana, Nigeria, South Africa, Kenya nk. Lkn pia hata yeye alikuwa anashindanishwa na maraisi bora wa Africa tena ktk tatu bora.

Mambo mengi ya maendeleo ambayo yalishindikana kufanywa miaka zaidi ya 50 ya nyuma yeye aliweza kuyafanya kwa miaka 5 tu ya uongozi wake, ilifikia mpk nchi kama Nigeria, Kenya, Uganda, Congo nk wanaomba tungewaazima Rais wetu atawale ktk moja ya hizo nchi just kwa miaka 2 tu halafu waturudishie raisi wetu. Najua kwa mazuri mengi aliyoyafanya haikuwa kazi rahisi kwa yeye kukosa maadui wa nje na ndan ya nchi lkn hiyo haikumkatisha tamaa yeye kufanya aliyoyafanya.

Sasa ameshakufa na yale mazuri kayaacha kwa ajili yetu na vizazi vyetu, inakuaje makundi haya ya wauza unga, mateja, mafisadi, wapiga dili, wataka madaraka, wanywa viloba na wauzaji wao wanaanza kujitokeza kumshambulia alafu raisi na serikali yako mnakaa kimya kuangalia hali hiyo inavyoendelea.

Hivi Rais Samia hauoni kwamba hata na wewe siku ukitoka madarakani au Allah akikuchukua ukiwa bado upo madarakani (Mungu aepushie) makundi haya haya yataibuka kukuchafua? Hawa watu hawana nia nzuri na nchi hii na pia sio watu wazuri kwako na chama chako.

Agenda hii hii watakuja kuitumia mwaka 2025 kuichafua Serikali yako na chama chako, maana watakwambia kuwa na wewe ulikuwa mmoja wa washauri na watu wa karibu ya Hayati Rais Magufuli enzi hizo.

Sasa ili haya yasikukute anza kbs kupiga marufuku makundi haya yasiendelee kumchafua Hayati Magufuli maana inaonesha wazi kwamba wakimaliza kumchafua hayati Magufuli watakugeukia wewe na Serikali yako.

Chukua hatua aliyoichukua yeye alipoingia madarakani kwa kuwaonya wale wote waliokuwa wanawatukana na kuwasema vibaya Marais wetu wastaafu.

Kukaa kwako kimya kuna hatarisha uhai wa chama chako na ni hatari kwa usalama wa nchi. Kama taifa tunahitaji utulivu, amani na maendeleo sio majungu majungu yasiokuwa na faida
Magufuli was a country bumpkin.
 
Nimejikita kwenye kichwa Cha habari mkuu ,sikusoma zaidi,
Msimtwike zigo lisilobebeka mama wa WATU , Mwinyi yupo,Mkapa marehem yupo , kikwete yupo,sio kwamba hawakua na mapungufu, why WATU wapo Kimia na hawajawahi inesha chuki kubwa kiasi hiki Kama mwendazake,? Mungu anasema si mda jina la Maghufuli,litatoweka kwenye vinywa vyenu, Kama leo ilivyo idd Amin dada wa unganda, huwezi binadam fanyia binadam wenzako Kama vile sio viumbe wa mungu,never , mwanzo wa mwaka Kama kawaida yangu nikisema,
MWAKA HUU MGUMU TUTALIMIA MAGOTI NA KUCHA NA SIO MENO TENA , wenda WATU wengi hawakuelewa , na mungu ni msiri hata akitumia utakufa msiri,
MWENDAZAKE katualibia taifa na WENYE akili wanajua,
Mh SSH anajua Cha kufanya so muhacheni afanye, kile aonacho cha faa, nafikili hata alivyotoka Kampala aliona namna gani Hotuba ya mh Mbowe ilivyofuatiliwa, channel moja niliojiunga walifika 6.7 k so sio Jambo dogo, hakae atafakari na kuhakikisha anatafuta suluhu Kama jina lake sio fikilia mtetea mwenda zake ,kwani lipi amefanya Hapa tz tofauti na watangulizi wake, nje ya unyanyasaji wa binadam wenzio ,
TZ KUNA WATU WANAMAUMIVU MAKUBWA BASI TU TWAWAJUA WACHACHE
 
Hata akina Lwaitama, nao wanatafuta kiki kwa kumdhihaki mwenda zake eti anasema Prof Assad alitekwa ,ningekuwa mimi ndio mwenye mamlaka ningeanza na yeye atueleze huyo Assad alitekwa lini na yeye mbona hajawahi kusemwa anadai alitekwa wakati alikuwa msikitini. Hawa walimu wa vyuo vikuu wamekuwa watu wa hovyo sana, Lwaitama na kiingereza chake cha kuombea maji ameanza kujitutumua wakati yeye mwenyewe hata kuongoza ndoa yake imemshinda.Watu wanadhani kutawala na kuwa raisi wa nchi ni jambo jepesi ili hali wao wenyewe hata kuongoza familia zao ni shida.
Kweli kaka wengi wanachukulia kuongoza nchi ni sawa na kuongoza ng'ombe malishoni. Ndio maana wamekuwa watu wa kubwata bwata hovyo mitaani
 
Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.

Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza umoja wao kwa lengo la kumchafua na kumdhihaki marehemu, ili ionekane kwamba kila alilofanya (liwe baya au zuri) halikuwa na manufaa au faida yoyote kwa watanzania.

Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba hayati Magufuli alifanya mambo mengi mazuri ktk nchi hii tangu alipokuwa waziri na mpaka alipokuwa raisi. Ni yeye aliefanya nchi hii ianze kujulikana kimataifa mpaka kufikia hatua nchi yetu ikaanza kulinganishwa au kushindanishwa na nchi zenye maendeleo na zinazojengwa kwa kasi kama vile Ghana, Nigeria, South Africa, Kenya nk. Lkn pia hata yeye alikuwa anashindanishwa na maraisi bora wa Africa tena ktk tatu bora.

Mambo mengi ya maendeleo ambayo yalishindikana kufanywa miaka zaidi ya 50 ya nyuma yeye aliweza kuyafanya kwa miaka 5 tu ya uongozi wake, ilifikia mpk nchi kama Nigeria, Kenya, Uganda, Congo nk wanaomba tungewaazima Rais wetu atawale ktk moja ya hizo nchi just kwa miaka 2 tu halafu waturudishie raisi wetu. Najua kwa mazuri mengi aliyoyafanya haikuwa kazi rahisi kwa yeye kukosa maadui wa nje na ndan ya nchi lkn hiyo haikumkatisha tamaa yeye kufanya aliyoyafanya.

Sasa ameshakufa na yale mazuri kayaacha kwa ajili yetu na vizazi vyetu, inakuaje makundi haya ya wauza unga, mateja, mafisadi, wapiga dili, wataka madaraka, wanywa viloba na wauzaji wao wanaanza kujitokeza kumshambulia alafu raisi na serikali yako mnakaa kimya kuangalia hali hiyo inavyoendelea.

Hivi Rais Samia hauoni kwamba hata na wewe siku ukitoka madarakani au Allah akikuchukua ukiwa bado upo madarakani (Mungu aepushie) makundi haya haya yataibuka kukuchafua? Hawa watu hawana nia nzuri na nchi hii na pia sio watu wazuri kwako na chama chako.

Agenda hii hii watakuja kuitumia mwaka 2025 kuichafua Serikali yako na chama chako, maana watakwambia kuwa na wewe ulikuwa mmoja wa washauri na watu wa karibu ya Hayati Rais Magufuli enzi hizo.

Sasa ili haya yasikukute anza kbs kupiga marufuku makundi haya yasiendelee kumchafua Hayati Magufuli maana inaonesha wazi kwamba wakimaliza kumchafua hayati Magufuli watakugeukia wewe na Serikali yako.

Chukua hatua aliyoichukua yeye alipoingia madarakani kwa kuwaonya wale wote waliokuwa wanawatukana na kuwasema vibaya Marais wetu wastaafu.

Kukaa kwako kimya kuna hatarisha uhai wa chama chako na ni hatari kwa usalama wa nchi. Kama taifa tunahitaji utulivu, amani na maendeleo sio majungu majungu yasiokuwa na faida

Mengi mazuri na mabaya machache huwezi kuzuia watu. Ukitumia nguvu ni kawaida ukiondoka kuwa hivi
 
Mimi marehemu hakunisaidia chochote, na marafiki zangu kama 50 ukiwauliza watakujibu hivyo hivyo na hatujaunda group wala kumchafua popote, hao waliounda group ni akina nani na wako wapi, Rais aliyepo mwaka 2025 nitamchagua tuu, muacheni Rais Samia afanye kazi, wafu hawajui neno lolote unaposema anachafuliwa Kwani alikuwa msafi ukilinganisha na nani???
 
Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.

Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza umoja wao kwa lengo la kumchafua na kumdhihaki marehemu, ili ionekane kwamba kila alilofanya (liwe baya au zuri) halikuwa na manufaa au faida yoyote kwa watanzania.

Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba hayati Magufuli alifanya mambo mengi mazuri ktk nchi hii tangu alipokuwa waziri na mpaka alipokuwa raisi. Ni yeye aliefanya nchi hii ianze kujulikana kimataifa mpaka kufikia hatua nchi yetu ikaanza kulinganishwa au kushindanishwa na nchi zenye maendeleo na zinazojengwa kwa kasi kama vile Ghana, Nigeria, South Africa, Kenya nk. Lkn pia hata yeye alikuwa anashindanishwa na maraisi bora wa Africa tena ktk tatu bora.

Mambo mengi ya maendeleo ambayo yalishindikana kufanywa miaka zaidi ya 50 ya nyuma yeye aliweza kuyafanya kwa miaka 5 tu ya uongozi wake, ilifikia mpk nchi kama Nigeria, Kenya, Uganda, Congo nk wanaomba tungewaazima Rais wetu atawale ktk moja ya hizo nchi just kwa miaka 2 tu halafu waturudishie raisi wetu. Najua kwa mazuri mengi aliyoyafanya haikuwa kazi rahisi kwa yeye kukosa maadui wa nje na ndan ya nchi lkn hiyo haikumkatisha tamaa yeye kufanya aliyoyafanya.

Sasa ameshakufa na yale mazuri kayaacha kwa ajili yetu na vizazi vyetu, inakuaje makundi haya ya wauza unga, mateja, mafisadi, wapiga dili, wataka madaraka, wanywa viloba na wauzaji wao wanaanza kujitokeza kumshambulia alafu raisi na serikali yako mnakaa kimya kuangalia hali hiyo inavyoendelea.

Hivi Rais Samia hauoni kwamba hata na wewe siku ukitoka madarakani au Allah akikuchukua ukiwa bado upo madarakani (Mungu aepushie) makundi haya haya yataibuka kukuchafua? Hawa watu hawana nia nzuri na nchi hii na pia sio watu wazuri kwako na chama chako.

Agenda hii hii watakuja kuitumia mwaka 2025 kuichafua Serikali yako na chama chako, maana watakwambia kuwa na wewe ulikuwa mmoja wa washauri na watu wa karibu ya Hayati Rais Magufuli enzi hizo.

Sasa ili haya yasikukute anza kbs kupiga marufuku makundi haya yasiendelee kumchafua Hayati Magufuli maana inaonesha wazi kwamba wakimaliza kumchafua hayati Magufuli watakugeukia wewe na Serikali yako.

Chukua hatua aliyoichukua yeye alipoingia madarakani kwa kuwaonya wale wote waliokuwa wanawatukana na kuwasema vibaya Marais wetu wastaafu.

Kukaa kwako kimya kuna hatarisha uhai wa chama chako na ni hatari kwa usalama wa nchi. Kama taifa tunahitaji utulivu, amani na maendeleo sio majungu majungu yasiokuwa na faida
Sasa furaha imeingia nchini baada ya Mnyazi Mungu kutuona waja wake.
 
Back
Top Bottom