SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Tuliza mshono, upuuzi wako washirikishe misukule wenzakoBila shaka wewe ndo utakuwa mtu wa mwisho kurudishiwa akili yako na mwenyekiti wako hapo ufipa. Maana uliyoandika hayaendani na mtu mwenye akili zake kichwani
Wanafiki ndiyo waliunda virusi vya Corona?Wanafiki walichangia kumpoteza Magufuli kwa kiasi kikubwa
Yeye kama binadamu alikua na madhaifu yake kama wengine ila unafiki ,upambe na sifa za kipumbavu viliongeza kumdidimiza sababu vilichangia hofu sababu watu walijua ukimpinga tu unapotea!
View attachment 1750830
Haya tufanye dhalim kafufuka na ndiye RaisEndelea kuamini kuwa samia ni raisi...
Sukuma Gang wapumbavu sanaUmeonaeeee
Hawa majamaa wamejipanga sana kuhakikisha mama akwame
Sukuma Gang mshindwe na mlegee mashetani wakubwa nyieLisu, Mbowe, Zito na magenge yao watakapoona kuwa hawana uwezo wa kupambana au kumkabili huyu mama kuingia ikulu mwaka 2025, watayageuza haya haya mazuri ya huyu mama kuwa mabaya. Wapinzani wote hawana jema, tena na nyie mnaojifanya kumpenda na kumsifia sasa hivi, pindi hao niliowataja hapo juu watapochukua tena akili zenu kukaa nazo mifukoni mwao, mtajiunga nao na kumshambulia mama (raisi Samia), serikali yake na chama chake.
Naona tumbo lako limekuondolea utu wako kijana. Pole sanaTuliza mshono, upuuzi wako washirikishe misukule wenzako
Kajichafua mwenyeweHawa wanaolazimisha kumchafua Magu wasikutishe. Ni mhemuko wa kupita, ukweli ni kwamba mazuri aliyoyafanya, Nia yake thabiti, jasho alilolitoa havifutiki, vitadumu daima. Na daima vina outweigh by far mapungufu yake Kama binadamu. Na bahati nzuri hoja zote za kumchafua zinajibika kiurahisi...
Piga ua Samia ndiye Rais. Huyu mtu wenu mliyemwandaa sasa hivi mavi yanagonga chupi na kurudi ndani akifikiria hatima ya special audit ya BOT.Naona tumbo lako limekuondolea utu wako kijana. Pole sana
Hakuna mtu anamchafua Magufuli wao bali wananchi wanaibua uchafu wake alioutengeneza yeye mwenyewe na kuuficha kwa miaka yote 5 ya uongozi wake mbaya. Kwa kutumia vyombo vya dola na wasiojulikana, mbinu mbalimbali chafu zikitumika kuwathibiti waliojaribu kuanika uovu wake, ikiwa ni pamoja na kufunga bila hata, kujeruhi, kutesa, kuua, kuteka nk. Rais Samia akiwa Makamu aliona yote haya na kuadhirika na huo uchafu lakini asingeweza kufanya lolote, kama ilivyokuwa kwa viongozi wote wa chini wa yule mwovu, lakini sasa ni Rais kamili kwa hiyo ni wajibu wake kusafisha uchafu wote wa yule Mwendazake ili Serikali yake iwe safi. Mama Samia, you are nowyour own President, you will not be judged for the past but for now and the future.Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.
Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza umoja wao kwa lengo la kumchafua na kumdhihaki marehemu, ili ionekane kwamba kila alilofanya (liwe baya au zuri) halikuwa na manufaa au faida yoyote kwa watanzania.
Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba hayati Magufuli alifanya mambo mengi mazuri ktk nchi hii tangu alipokuwa waziri na mpaka alipokuwa raisi. Ni yeye aliefanya nchi hii ianze kujulikana kimataifa mpaka kufikia hatua nchi yetu ikaanza kulinganishwa au kushindanishwa na nchi zenye maendeleo na zinazojengwa kwa kasi kama vile Ghana, Nigeria, South Africa, Kenya nk. Lkn pia hata yeye alikuwa anashindanishwa na maraisi bora wa Africa tena ktk tatu bora.
Mambo mengi ya maendeleo ambayo yalishindikana kufanywa miaka zaidi ya 50 ya nyuma yeye aliweza kuyafanya kwa miaka 5 tu ya uongozi wake, ilifikia mpk nchi kama Nigeria, Kenya, Uganda, Congo nk wanaomba tungewaazima Rais wetu atawale ktk moja ya hizo nchi just kwa miaka 2 tu halafu waturudishie raisi wetu. Najua kwa mazuri mengi aliyoyafanya haikuwa kazi rahisi kwa yeye kukosa maadui wa nje na ndan ya nchi lkn hiyo haikumkatisha tamaa yeye kufanya aliyoyafanya.
Sasa ameshakufa na yale mazuri kayaacha kwa ajili yetu na vizazi vyetu, inakuaje makundi haya ya wauza unga, mateja, mafisadi, wapiga dili, wataka madaraka, wanywa viloba na wauzaji wao wanaanza kujitokeza kumshambulia alafu raisi na serikali yako mnakaa kimya kuangalia hali hiyo inavyoendelea.
Hivi Rais Samia hauoni kwamba hata na wewe siku ukitoka madarakani au Allah akikuchukua ukiwa bado upo madarakani (Mungu aepushie) makundi haya haya yataibuka kukuchafua? Hawa watu hawana nia nzuri na nchi hii na pia sio watu wazuri kwako na chama chako.
Agenda hii hii watakuja kuitumia mwaka 2025 kuichafua Serikali yako na chama chako, maana watakwambia kuwa na wewe ulikuwa mmoja wa washauri na watu wa karibu ya Hayati Rais Magufuli enzi hizo.
Sasa ili haya yasikukute anza kbs kupiga marufuku makundi haya yasiendelee kumchafua Hayati Magufuli maana inaonesha wazi kwamba wakimaliza kumchafua hayati Magufuli watakugeukia wewe na Serikali yako.
Chukua hatua aliyoichukua yeye alipoingia madarakani kwa kuwaonya wale wote waliokuwa wanawatukana na kuwasema vibaya Marais wetu wastaafu.
Kukaa kwako kimya kuna hatarisha uhai wa chama chako na ni hatari kwa usalama wa nchi. Kama taifa tunahitaji utulivu, amani na maendeleo sio majungu majungu yasiokuwa na faida
Hata akina Lwaitama, nao wanatafuta kiki kwa kumdhihaki mwenda zake eti anasema Prof Assad alitekwa ,ningekuwa mimi ndio mwenye mamlaka ningeanza na yeye atueleze huyo Assad alitekwa lini na yeye mbona hajawahi kusemwa anadai alitekwa wakati alikuwa msikitini. Hawa walimu wa vyuo vikuu wamekuwa watu wa hovyo sana, Lwaitama na kiingereza chake cha kuombea maji ameanza kujitutumua wakati yeye mwenyewe hata kuongoza ndoa yake imemshinda.Watu wanadhani kutawala na kuwa raisi wa nchi ni jambo jepesi ili hali wao wenyewe hata kuongoza familia zao ni shida.Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.
Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza umoja wao kwa lengo la kumchafua na kumdhihaki marehemu, ili ionekane kwamba kila alilofanya (liwe baya au zuri) halikuwa na manufaa au faida yoyote kwa watanzania.
Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba hayati Magufuli alifanya mambo mengi mazuri ktk nchi hii tangu alipokuwa waziri na mpaka alipokuwa raisi. Ni yeye aliefanya nchi hii ianze kujulikana kimataifa mpaka kufikia hatua nchi yetu ikaanza kulinganishwa au kushindanishwa na nchi zenye maendeleo na zinazojengwa kwa kasi kama vile Ghana, Nigeria, South Africa, Kenya nk. Lkn pia hata yeye alikuwa anashindanishwa na maraisi bora wa Africa tena ktk tatu bora.
Mambo mengi ya maendeleo ambayo yalishindikana kufanywa miaka zaidi ya 50 ya nyuma yeye aliweza kuyafanya kwa miaka 5 tu ya uongozi wake, ilifikia mpk nchi kama Nigeria, Kenya, Uganda, Congo nk wanaomba tungewaazima Rais wetu atawale ktk moja ya hizo nchi just kwa miaka 2 tu halafu waturudishie raisi wetu. Najua kwa mazuri mengi aliyoyafanya haikuwa kazi rahisi kwa yeye kukosa maadui wa nje na ndan ya nchi lkn hiyo haikumkatisha tamaa yeye kufanya aliyoyafanya.
Sasa ameshakufa na yale mazuri kayaacha kwa ajili yetu na vizazi vyetu, inakuaje makundi haya ya wauza unga, mateja, mafisadi, wapiga dili, wataka madaraka, wanywa viloba na wauzaji wao wanaanza kujitokeza kumshambulia alafu raisi na serikali yako mnakaa kimya kuangalia hali hiyo inavyoendelea.
Hivi Rais Samia hauoni kwamba hata na wewe siku ukitoka madarakani au Allah akikuchukua ukiwa bado upo madarakani (Mungu aepushie) makundi haya haya yataibuka kukuchafua? Hawa watu hawana nia nzuri na nchi hii na pia sio watu wazuri kwako na chama chako.
Agenda hii hii watakuja kuitumia mwaka 2025 kuichafua Serikali yako na chama chako, maana watakwambia kuwa na wewe ulikuwa mmoja wa washauri na watu wa karibu ya Hayati Rais Magufuli enzi hizo.
Sasa ili haya yasikukute anza kbs kupiga marufuku makundi haya yasiendelee kumchafua Hayati Magufuli maana inaonesha wazi kwamba wakimaliza kumchafua hayati Magufuli watakugeukia wewe na Serikali yako.
Chukua hatua aliyoichukua yeye alipoingia madarakani kwa kuwaonya wale wote waliokuwa wanawatukana na kuwasema vibaya Marais wetu wastaafu.
Kukaa kwako kimya kuna hatarisha uhai wa chama chako na ni hatari kwa usalama wa nchi. Kama taifa tunahitaji utulivu, amani na maendeleo sio majungu majungu yasiokuwa na faida
Wanafiki kama kina chakubanga na jaffo walimuaminisha jiwe kuwa Corona inaponyeshwa na kukaa kwenye mvuke na kula malimao..Wanafiki ndiyo waliunda virusi vya Corona?
Mama akimtetea tu kajichafua, awaache watu watapike nyongoNaunga hoja mkono mtangulizi atetewe
Magufuli was a country bumpkin.Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.
Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza umoja wao kwa lengo la kumchafua na kumdhihaki marehemu, ili ionekane kwamba kila alilofanya (liwe baya au zuri) halikuwa na manufaa au faida yoyote kwa watanzania.
Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba hayati Magufuli alifanya mambo mengi mazuri ktk nchi hii tangu alipokuwa waziri na mpaka alipokuwa raisi. Ni yeye aliefanya nchi hii ianze kujulikana kimataifa mpaka kufikia hatua nchi yetu ikaanza kulinganishwa au kushindanishwa na nchi zenye maendeleo na zinazojengwa kwa kasi kama vile Ghana, Nigeria, South Africa, Kenya nk. Lkn pia hata yeye alikuwa anashindanishwa na maraisi bora wa Africa tena ktk tatu bora.
Mambo mengi ya maendeleo ambayo yalishindikana kufanywa miaka zaidi ya 50 ya nyuma yeye aliweza kuyafanya kwa miaka 5 tu ya uongozi wake, ilifikia mpk nchi kama Nigeria, Kenya, Uganda, Congo nk wanaomba tungewaazima Rais wetu atawale ktk moja ya hizo nchi just kwa miaka 2 tu halafu waturudishie raisi wetu. Najua kwa mazuri mengi aliyoyafanya haikuwa kazi rahisi kwa yeye kukosa maadui wa nje na ndan ya nchi lkn hiyo haikumkatisha tamaa yeye kufanya aliyoyafanya.
Sasa ameshakufa na yale mazuri kayaacha kwa ajili yetu na vizazi vyetu, inakuaje makundi haya ya wauza unga, mateja, mafisadi, wapiga dili, wataka madaraka, wanywa viloba na wauzaji wao wanaanza kujitokeza kumshambulia alafu raisi na serikali yako mnakaa kimya kuangalia hali hiyo inavyoendelea.
Hivi Rais Samia hauoni kwamba hata na wewe siku ukitoka madarakani au Allah akikuchukua ukiwa bado upo madarakani (Mungu aepushie) makundi haya haya yataibuka kukuchafua? Hawa watu hawana nia nzuri na nchi hii na pia sio watu wazuri kwako na chama chako.
Agenda hii hii watakuja kuitumia mwaka 2025 kuichafua Serikali yako na chama chako, maana watakwambia kuwa na wewe ulikuwa mmoja wa washauri na watu wa karibu ya Hayati Rais Magufuli enzi hizo.
Sasa ili haya yasikukute anza kbs kupiga marufuku makundi haya yasiendelee kumchafua Hayati Magufuli maana inaonesha wazi kwamba wakimaliza kumchafua hayati Magufuli watakugeukia wewe na Serikali yako.
Chukua hatua aliyoichukua yeye alipoingia madarakani kwa kuwaonya wale wote waliokuwa wanawatukana na kuwasema vibaya Marais wetu wastaafu.
Kukaa kwako kimya kuna hatarisha uhai wa chama chako na ni hatari kwa usalama wa nchi. Kama taifa tunahitaji utulivu, amani na maendeleo sio majungu majungu yasiokuwa na faida
Nimejikita kwenye kichwa Cha habari mkuu ,sikusoma zaidi,Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.

Kweli kaka wengi wanachukulia kuongoza nchi ni sawa na kuongoza ng'ombe malishoni. Ndio maana wamekuwa watu wa kubwata bwata hovyo mitaaniHata akina Lwaitama, nao wanatafuta kiki kwa kumdhihaki mwenda zake eti anasema Prof Assad alitekwa ,ningekuwa mimi ndio mwenye mamlaka ningeanza na yeye atueleze huyo Assad alitekwa lini na yeye mbona hajawahi kusemwa anadai alitekwa wakati alikuwa msikitini. Hawa walimu wa vyuo vikuu wamekuwa watu wa hovyo sana, Lwaitama na kiingereza chake cha kuombea maji ameanza kujitutumua wakati yeye mwenyewe hata kuongoza ndoa yake imemshinda.Watu wanadhani kutawala na kuwa raisi wa nchi ni jambo jepesi ili hali wao wenyewe hata kuongoza familia zao ni shida.
Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.
Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza umoja wao kwa lengo la kumchafua na kumdhihaki marehemu, ili ionekane kwamba kila alilofanya (liwe baya au zuri) halikuwa na manufaa au faida yoyote kwa watanzania.
Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba hayati Magufuli alifanya mambo mengi mazuri ktk nchi hii tangu alipokuwa waziri na mpaka alipokuwa raisi. Ni yeye aliefanya nchi hii ianze kujulikana kimataifa mpaka kufikia hatua nchi yetu ikaanza kulinganishwa au kushindanishwa na nchi zenye maendeleo na zinazojengwa kwa kasi kama vile Ghana, Nigeria, South Africa, Kenya nk. Lkn pia hata yeye alikuwa anashindanishwa na maraisi bora wa Africa tena ktk tatu bora.
Mambo mengi ya maendeleo ambayo yalishindikana kufanywa miaka zaidi ya 50 ya nyuma yeye aliweza kuyafanya kwa miaka 5 tu ya uongozi wake, ilifikia mpk nchi kama Nigeria, Kenya, Uganda, Congo nk wanaomba tungewaazima Rais wetu atawale ktk moja ya hizo nchi just kwa miaka 2 tu halafu waturudishie raisi wetu. Najua kwa mazuri mengi aliyoyafanya haikuwa kazi rahisi kwa yeye kukosa maadui wa nje na ndan ya nchi lkn hiyo haikumkatisha tamaa yeye kufanya aliyoyafanya.
Sasa ameshakufa na yale mazuri kayaacha kwa ajili yetu na vizazi vyetu, inakuaje makundi haya ya wauza unga, mateja, mafisadi, wapiga dili, wataka madaraka, wanywa viloba na wauzaji wao wanaanza kujitokeza kumshambulia alafu raisi na serikali yako mnakaa kimya kuangalia hali hiyo inavyoendelea.
Hivi Rais Samia hauoni kwamba hata na wewe siku ukitoka madarakani au Allah akikuchukua ukiwa bado upo madarakani (Mungu aepushie) makundi haya haya yataibuka kukuchafua? Hawa watu hawana nia nzuri na nchi hii na pia sio watu wazuri kwako na chama chako.
Agenda hii hii watakuja kuitumia mwaka 2025 kuichafua Serikali yako na chama chako, maana watakwambia kuwa na wewe ulikuwa mmoja wa washauri na watu wa karibu ya Hayati Rais Magufuli enzi hizo.
Sasa ili haya yasikukute anza kbs kupiga marufuku makundi haya yasiendelee kumchafua Hayati Magufuli maana inaonesha wazi kwamba wakimaliza kumchafua hayati Magufuli watakugeukia wewe na Serikali yako.
Chukua hatua aliyoichukua yeye alipoingia madarakani kwa kuwaonya wale wote waliokuwa wanawatukana na kuwasema vibaya Marais wetu wastaafu.
Kukaa kwako kimya kuna hatarisha uhai wa chama chako na ni hatari kwa usalama wa nchi. Kama taifa tunahitaji utulivu, amani na maendeleo sio majungu majungu yasiokuwa na faida
Sasa furaha imeingia nchini baada ya Mnyazi Mungu kutuona waja wake.Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.