Rais Samia na Serikali yako mmejipangaje ili kukomesha watu wanaoendelea kumchafua Hayati Magufuli?

Hizo tabia zenu za uzandiki mlizotoka nazo Burundi rudini nazo kwenu huko Burundi. Magufuli kafanya jambo gani la kipekee la kuinufaisha Tanzania?? Kuua watu? Kuteka watu?? Kubambika watu makesi na kuua uchumi wetu kulikopelekea maelfu ya vijana wetu kupoteza kazi na kukosa kazi?? Acheni ujinga wenu. Magufuli ni mshenzi kuliko washenzi wote
 
Tanzania ndio Nchi pekee ambayo ukipanda MANANASI baadae unataka uje uvune UKWAJU


Mnataka wahuni waseme mara ngapi kwamba apandacho mtu ndicho atachovuna...??????

mbona mkapa hasemwi vibaya
 
Magufuli alikuwa mtu wa hovyo sana haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu
 
Magufuli amehusika katika ufisadi na katika upotevu wa mali za umma kama ifuatavyo:

1.Alikingia kifua kampuni yake ya Mayanga constructions katika kupata tenda mbalimbali hapa nchini bila ya kupitia mchakato wa tenda,mfano kampuni hii ilitengeneza kiwanja cha ndege cha Chato bila kupitia mchakato wa tenda.Huu ni ufisadi.

2.Magufuli amezuia budget ya miradi mikubwa ya nchi yenye fedha nyingi isipite bungeni,mfano alizuia budget yote ya manunuzi ya ndege kupita bungeni kitu ambacho ni kinyume na sheria za nchi na ni ufisadi.

3.Magufuli kama Rais wa nchi alishindwa kuteua viongozi wenye weledi na waadhilifu kwenye wizara kitu ambacho kimechangia ufisadi katika vizara hizo kwa hiyo anapaswa kutishwa lawama zote katika ufisadi ambao umetokea katika wizara hizo.

4.Magufuli ameanzisha miradi mikubwa na yenye kutimia fedha nyingi bila kufuata ushauri wa kitaalam kitu ambacho ni kinyume na sheria na kitu ambacho kimepelekea upotevu wa fedha za uma,kwa mfano alianzisha bwawa la umeme la Nyerere kwa kutumia feasibility study ya mwaka 1970 kwa tamaa kuwa kama ikifanyika feasibility study mpya bwawa litachelewa kumalizika.Anapaswa kubebeshwa lawama katika hili.

5.Magufuli alikuwa anateua wasaidizi wake kwa kuangalia kabila lake na ukanda hata kama hawana sifa na hii ilipelekea ufujaji wa mali za umma kwa kuwa na viongozi ambao hawawezi kazi.
 
Huyo dikteta uchwara hata kabla hajafa tulimsema humu! Au umezaliwa baada ya kifo chake? Kama alifanya mambo ya hovyo unatarajia atasifiwa?

Sasa kwa taarifa yako tutamsema milele! Ili iwe funzo kwa watu wengine wasio na sifa ya kugombea urais. Dikteta ameondoka na udikteta wake! Amewaacha nyinyi mataga mkiwa mmevurugwa. Huyo mama hana kichwa kama cha mungu wenu. Hivyo msipoteze muda kumshawishi kufanya mambo ya kipuuzi kama hayo unayotaka.
 
Ameshafariki hata wakikosoa haina maana yoyote sawa sawa kupiga ukuta ngumi.

Na pia sio yanayosemwa yana ukweli ni kama kumsingizia mtu ambaye hana na awezi kujitetea.
 
Ameshafariki hata wakikosoa haina maana yoyote sawa sawa kupiga ukuta ngumi.

Na pia sio yanayosemwa yana ukweli ni kama kumsingizia mtu ambaye hana na awezi kujitetea.
 
Usiwe na hofu ni swala la mda tu hao watakuwa kimya.
 

Hata huyo ( huyu ) unayemshtakia hapa nae pia ' Kimoyomoyo ' kabisa amemshukuru kabisa Israeli kwani Yeye ndiyo alitakiwa Kumtangulia ' Jamaa ' yenu Kilazima ila Familia na Madaktari wa nchi moja ya Ulaya wakamuokoa haraka huku Wanae wakiwa pembeni yake.

Na tokea alivyorejea wala hakuwa na hamu nae sana sana akaamua tu Kujifanya Mjinga Kwake kwa Kumkubalia kila akitakacho na akipangacho huku Moyoni akimuona ni bonge la ' Utopolo ' lisilojitambua. Ukitaka Watanzania wasikuseme vibaya hata Ukifa Watendee tu mema na usiwe ' Sadist ' na ' Hypocrite ' Kwao.
 
Kama ripoti ya CAG imebainisha kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi, sisi ni nani hata tupingane na ripoti za kitaalam?

nawewe ni sehemu ya serikali???

basi magufuli alifanya kazi na maadui wengi sana.

pole mkuu kwa kibano ulichopata muda wote,hope hutakaa usahau mpaka unakufa.
 
Magofool ni zaidi ya OIL CHAFU alishajichafua mwenyewe kwa ushetani wake.

Mropokaji na muuaji kama yule tayari ni mchafu haihitaji kuchafuliwa tena.

ALIKUWA ANATUKANA HADI WAZUNGU WALIOMUWEKEA BETRI KWENYE MOYO WAKE, HUYO SI TAA.HI.RA KWELI?
🏃‍♂️...................
 

kwahiyo kwa sasa anafanya kazi kwa maelekezo ya nani??

maana yupo kama hayupo.
 
Hachafuliwi ni mchafu mno!
 
Anasemwa Mtume Muhammad, anasemwa Yesu, ije kuwa huyooo

Ameshafariki hata wakikosoa haina maana yoyote sawa sawa kupiga ukuta ngumi.

Na pia sio yanayosemwa yana ukweli ni kama kumsingizia mtu ambaye hana na awezi kujitetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…