CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Tukio la juzi la police kuvamia wa mama wa chadema ilikuwa ni aibu sana, yaani wame react baada ya Mbowe kusema atapeleka watu barabarani? Trust me hata leo Chadema wakisema wanaingia barabarani hawatapata sapoti ambayo polisi wanadhani itakuwepo, punguzeni mihemko ya kitoto.
Tena kama itatokea wakapata watu basi waacheni waandamane penyezeni watu wenu watakaofanya fujo wapasue magari na maduka kama hamtaona public inamgeuka Mbowe milele.
Rais Samia kabadilisha hali ya hewa ghafla leo hata mziki wa dansi uliokuwa umejifia ghafla umerudi watu wanatunza tena hela jukwaani, walioficha hela ardhini wanazitoa sasa, punguzeni mihemuko jamii bado iko na mama kuna propaganda kwamba petrol imepanda bei ksababisha mama ndiyo sh 100 imepanda lakini soko la dunia imepanda sana nikashangaa kuona wengine wanasema kenya na jirani wako cheap hivi mnajua kinachoendelea kenya kweli?hadi gesi ya kupikia imepanda asilimia 6.
Polisi punguzeni mihemko mnajidhalilisha sana, wakiaandamana waacheni pachikeni wahuni katikati yao wafanye fujo wapasue hata maduka na magari mtakuja kunishkuru baadaye.