Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Hizo kelele za.mwamposa hapo hazitaathiri wakazi.wa magorofani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Rais amejenga Barabara Vijijini na Mijini kumzidi Samia?Magufuli alikua ana dili na vitu vya Kimataifa kama Madaraja makubwa.treni za umeme mabwawa ya umeme, Yule alikua Raisi ndiyo maana alikua aendi nchi za watu bila kupata muhariko kutoka kwa Raisi, tofauti na sasa ata Meya wa Comoros anaweza kumpa muhariko Raisi Watanzania na Raisi akaenda.
Ni nyumba gani hizo kama sio ule mradi wa kifisadi wa NHC. Nyumba ambazo ni ghali kwa gharama zinatokana na upigaji mtupu. Zinaweza ishia kua kama zile nyumba za mradi wa shirika la pensheni kule kigamboni.SAMIA HOUSING SCHEME
Mradi wa ujenzi wa nyumba kwaajili ya makazi ya Kaya (Familia) 5,000 unaotekelezwa kwa awamu wa Kawe Jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 78% na upo kwenye hatua za mwishoni.
View attachment 3210261
Bila kujua majibu ya gharama ya rent au kununua huwezi kujadili chochote, matokeo yake inaweza kuwa zile white elephants kama walizofanya Kenya Kujenga so called affordable housing bila kuongalia the three most important pillars (Social, Environmental na Economical); Kama maji hayafiki na ni ghorofani kuna class fulani huwezi kuwapata, kama ni gharama sana majority hautawapata na kama ni bei ya chini sana unaweza kuwaalika watu ambao they can not maintain a house hence turning them into ghettos...Endelea kuuliza
Point...Shida wanaleta siasa kwenye issues zinazohitaji technical analysis sio kushusha maghorofa tu kisa wameyaona Uchina or Mashariki ya mbali kama Kariakoo....bila kufikiria vizuri context ya Kitanzania...wanatengeneza disaster in the future...Bila kujua majibu ya gharama ya rent au kununua huwezi kujadili chochote, matokeo yake inaweza kuwa zile white elephants kama walizofanya Kenya Kujenga so called affordable housing bila kuongalia the three most important pillars (Social, Environmental na Economical); Kama maji hayafiki na ni ghorofani kuna class fulani huwezi kuwapata, kama ni gharama sana majority hautawapata na kama ni bei ya chini sana unaweza kuwaalika watu ambao they can not maintain a house hence turning them into ghettos...
Hili sio suala la kujenga tu bali inabidi kujua who are the targeted people..., Na kama taifa kuna shortcut, na yenyewe ni kuhakikisha watu wana disposable income hata ya kuweza kurent the houses.., and that can be done kwa kuhakikisha kwanza watu wanabakiwa na vijisenti mifukoni mwao...; Swali ni kwamba yale majengo ya National Housing waliyojenga na kuyaita ni affordable (which people can not afford) yameshajaa ?
The shortcut and sure thing am talking about
Ustawi wa Jamii; A Penny Saved is a Penny Earned; Serikali inaweza Kumpunguzia Mzigo wa Matumizi Mwananchi hivyo Kumwongezea Kipato cha Kutumia
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji...www.jamiiforums.com
Dar es Salaam inayo ardhi ya kuweza kujenga nyumba rafiki kwa makuzi ya watoto kuliko maghorofa yasiyowapa nafasi watoto kuweza kucheza wakati wewe usiye na umasikini wa akili ukiwa Mitimirefu.Umasikini wa akili
Ni mpango mbaya sana wa nyumba huu sijui nani alipendekeza hovyo hii! Tuna ardhi kibao yanini kusongamanisha majengo makubwa namna hii?SAMIA HOUSING SCHEME
Mradi wa ujenzi wa nyumba kwaajili ya makazi ya Kaya (Familia) 5,000 unaotekelezwa kwa awamu wa Kawe Jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 78% na upo kwenye hatua za mwishoni.
View attachment 3210261
Ndio zenyewe. NHC imekopa hela nyingi sana kwa kudhaminiwa na serikali enzi za JK na Mchechu akiwa CEO. Uliza bei,utaishiwa nguvu.Ni nyumba gani hizo kama sio ule mradi wa kifisadi wa NHC. Nyumba ambazo ni ghali kwa gharama zinatokana na upigaji mtupu. Zinaweza ishia kua kama zile nyumba za mradi wa shirika la pensheni kule kigamboni.
Hii ni Muhimu and I am sure wahusika wameshaandaa solutionTabu Barabara hizi zitazima foleni
Sasa tabu kubwa nasikia huko
Muhimu waangalie hilo fasta maana hao traffic wa asubuhi na jioni bado wanabanwa
SAMIA HOUSING SCHEME
Mradi wa ujenzi wa nyumba kwaajili ya makazi ya Kaya (Familia) 5,000 unaotekelezwa kwa awamu wa Kawe Jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 78% na upo kwenye hatua za mwishoni.
View attachment 3210261
Huu mradi uliaanza lini na ulikuwa unajulikana kama mradi gani.Hii ni Moja ya kazi ambayo Samia ameweza ila.wengine walishibdwa.
Tusije pigwa changa la macho kuhisi ni mradi wa serikali kumbe wa yule dogo kuwadi wa Mama Abdul SuluhuSAMIA HOUSING SCHEME
Mradi wa ujenzi wa nyumba kwaajili ya makazi ya Kaya (Familia) 5,000 unaotekelezwa kwa awamu wa Kawe Jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 78% na upo kwenye hatua za mwishoni.
View attachment 3210261
Kuna Rais amejenga Barabara Vijijini na Mijini kumzidi Samia?
View: https://x.com/TaruraTz/status/1882055315631526299?t=o9V5hLjwJCEb4Je91XKKnQ&s=19
View: https://x.com/TaruraTz/status/1882056676989427906?t=0pJt2q5Hzs2n-qWvcNKoug&s=19
Hata hayo madaraja nikikutajia hapa aliyojemga Samia utashangaa ,tena tuanzie huko huko Mkoani kwako maana mambo ni mengi kuzidi mda.
Punguza ujinga,shuleni hamkusoma Uraia na Civics au General Studies ama Development Studies Hadi uniukize maswali ya kijinga? Maana hayo masomo ni lazima Hadi Chuo Kikuu.Kazi ya Bunge la bajeti ni nini! Bunge la bajeti ndilo linapanga na kutoa pesa za miradi kisha serikali inatekeleza, Samia hahusiki na utoaji pesa za maendeleo kama mazezeta mnavyodhani.