Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

Ni kwamba akiifungua nchi na mwekezaji akamilikishwa ardhi na kutokana na economic strength yake , itakuwa shida sana kuipata ardhi hiyo au kwa gharama mara mia ya bei aliyonunulia. Angalia matatizo ya ardhi yalio pelekea mapigano ya kikabila, ambapo Uhuru aliahidi kutoa kiasi lakini sijasikia kutekeleza ahadi hiyo
Kwahiyo ulikuwa unatakaje kwa mfano?!
 
Unakosoa kwa sababu tu JPM hakutaka hilo jambo!!

Yaani nyie watu likifanywa lolote kinyume na kilichokuwa kinafanywa na JPM, basi nongwa!!

Sasa kuna ubaya gani wa kurahisisha ufanyaji biashara Tanzania?!

Kuna ubaya gani kutaka kuongea na Business Community ili kutatua changamoto zinazokwamisha uwekezaji?!

Yaani nyie watu mnatamani sana Samia afeli manake kila anachofanya mnaona anataka ku-challenge aliyokuwa anafanya JPM!

Yaani, kazi mnayo!!!
samia akifeli ni taifa zima limefeli,sawa kijana!!!

usione watu wanapiga kelele ukafungwa na hisia zako za chuki tu kwa jpm wakati wote.
kule kwenye ule uzi nimekuuliza sababu ya mahindi kuzuiwa ilikuwa nini,hujajibu mpaka sasa.kwanini mmeamua kiwa wazembe tu kufikiri???
 
Usiogope...."fungua" nchi (anajua fika tulikuwa kifungoni)!

Naona ameamua kuwa attack MATAGA na Magufulists kwa uwazi zaidi sasa.....kwa "maneno na kwa matendo". Hii ni awamu ya 6!

Nchi kwanza mama.....waache wanaondelea kuabudu mungu wao waendelee tu. ...

"Samia ni Magufuli na Magufuli ni Samia"
 
Good move!.

Open up the country, let our people move all over the world to search for green pastures, and let capital flow come in.

But while you open up the country be careful on.

1. Never change the land laws to make foreigners own it permanently.

2. Don't make foreigners come to sell karanga, Nyanya in the streets

3.Be careful on giving visa to foreigners (countries) which just want to come in to settle their populations, reap our resources like trees, destroy our rivers, destroy our wildlife—We need quality investors not everybody.

5. Protect our own businesses especially small and medium sized enterprises in the areas where we excel or have a potential to excel. Forexample i don't expect you to bring the chinese investors to sell maua or vinyago vya wamakonde

4. Make laws which will make sure that every foreigner is well documented, every hotel/guest house he uses has to take note of his passport, in this way we can make it hard for illegal immigrants to settle forever in our land.
 
Ni kwamba akiifungua nchi na mwekezaji akamilikishwa ardhi na kutokana na economic strength yake , itakuwa shida sana kuipata ardhi hiyo au kwa gharama mara mia ya bei aliyonunulia. Angalia matatizo ya ardhi yalio pelekea mapigano ya kikabila, ambapo Uhuru aliahidi kutoa kiasi lakini sijasikia kutekeleza ahadi hiyo
... sikiliza vizuri speech ya mama; terms and conditions shall apply.
 
hujui hata umepigwaje,mmepigwa kwenye majimbo.mpaka wengine wamekimbia madeni maana hawajui watalipaje.

halafu wale mademu 19 ni wabunge[emoji23][emoji23][emoji23].
hakuna ccm anayekemea hilo.
Ndio nakuambia we ni profesa LIPUMBA vuuu, mie nimejikita kwenye masuala ya uchumi we kumbe upo kwenye siasa, maza akifanya poa kwenye uchumi watz wote tunanufaika bila kujali huyu ni chadema au ccm, hayo ya covid19 ccm imeumiza wanasiasa ambao ni sehemu ndogo ya raia wa tz umeelewa mataga?
 
Back
Top Bottom