Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

huyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Unakosoa kwa sababu tu JPM hakutaka hilo jambo!!

Yaani nyie watu likifanywa lolote kinyume na kilichokuwa kinafanywa na JPM, basi nongwa!!

Sasa kuna ubaya gani wa kurahisisha ufanyaji biashara Tanzania?!

Kuna ubaya gani kutaka kuongea na Business Community ili kutatua changamoto zinazokwamisha uwekezaji?!

Yaani nyie watu mnatamani sana Samia afeli manake kila anachofanya mnaona anataka ku-challenge aliyokuwa anafanya JPM!

Yaani, kazi mnayo!!!
 
... fafanua; "hatutakaa tuinuke tena"; kama lini tuliwahi kuinuka?
Ni kwamba akiifungua nchi na mwekezaji akamilikishwa ardhi na kutokana na economic strength yake , itakuwa shida sana kuipata ardhi hiyo au kwa gharama mara mia ya bei aliyonunulia. Angalia matatizo ya ardhi yalio pelekea mapigano ya kikabila, ambapo Uhuru aliahidi kutoa kiasi lakini sijasikia kutekeleza ahadi hiyo
 
She is hopeless and one term president!Badala ya kujishughulisha na kufuta zile sheria kandamizi za uwekezaji za mambo ya task force na kadhalika ambazo alizitunga yeye pamoja na Magufuli anaongea vitu ambavyo ni non-sense.

Hakuna mwekezaji ambae atarudi kuwekeza Tanzania kwa sheria zile!Nchi ilifungwa kwa sheria kandamizi za uwekezaji kwa hiyo inapaswa kufunguliwa kwa kufutwa sheria hizo kandamizi.
 
Back
Top Bottom