Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Polisi wawe makini sana na Chadema kuna uwezekano mkubwa wanafanya matukio ya utekaji ili kuichonganisha Serekali na Wananchi
Kwasababu ni Rais mjinga ndo atakaefanya matukio ambayo yanamchafua , kwahiyo Chadema wanatekana ili kumchonganisha Rais na wananchi wachungunzwe na wasimamiwe bila huruma.Kwa nini chadema na sio CCM au ACT .?
Watu hawalalamiki kupotea bali KUTEKWA.Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani imeongezeka. Jambo ambalo hatujafanikiwa vya kutosha ni ajali za barabarani.
Pia amesema, "Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea"
Pia soma: LIVE - Pre GE2025 - Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025
Umeshawahi kuona hata mwenyekiti wa shina CCM ametekwa au kupotea?ona aibu basi hata kama ni uchawa weka na ubinadamu hata kidogoPolisi wawe makini sana na Chadema kuna uwezekano mkubwa wanafanya matukio ya utekaji ili kuichonganisha Serekali na Wananchi
Huyu alieuwawa mwezi wa 3 alikua ni wa Chadema?Umeshawahi kuona hata mwenyekiti wa shina CCM ametekwa au kupotea?ona aibu basi hata kama ni uchawa weka na ubinadamu hata kidogo
Wewe bwege usiyekuwa na ufahamu jifunze kutafuta taarifa zenye uhalisia! Kwa taarifa yako pakacha limevuja na linawalowanisha kwa rojo la uchafu wenu! Greenguard wenu ndio wahusika wakuu wa kadhia hiyo. Naona Kama u mmojawao!Polisi wawe makini sana na Chadema kuna uwezekano mkubwa wanafanya matukio ya utekaji ili kuichonganisha Serekali na Wananchi
Nimekuelewa chief. Naomba nikushauri kituKwasababu ni Rais mjinga ndo atakaefanya matukio ambayo yanamchafua , kwahiyo Chadema wanatekana ili kumchonganisha Rais na wananchi wachungunzwe na wasimamiwe bila huruma.
IGP na Mkurugenzi wa TISS waliwezaa kunyanyua nyuso zao alipotamka hilo?Pia amesema, "Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea"
Hapana sitaki ushauriNimekuelewa chief. Naomba nikushauri kitu