PreGE2025 Rais Samia: Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea

PreGE2025 Rais Samia: Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe bwege usiyekuwa na ufahamu jifunze kutafuta taarifa zenye uhalisia! Kwa taarifa yako pakacha limevuja na linawalowanisha kwa rojo la uchafu wenu! Greenguard wenu ndio wahusika wakuu wa kadhia hiyo. Naona Kama u mmojawao!
Umekasirika kwasababu nimetoa taarifa ya kweli?
 
Bi kidude funga virago vyako rudi kwenu zanzibar sie huku hatukutaki
 
Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani imeongezeka. Jambo ambalo hatujafanikiwa vya kutosha ni ajali za barabarani.

Pia amesema, "Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea"

Pia soma: LIVE - Pre GE2025 - Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025
Watu kupotezwa
 
Umekasirika kwasababu nimetoa taarifa ya kweli?
Taarifa zenu zipo wazi kuwa hicho kikundi chenu Cha green guard ndicho hasa kinaendesha operation za kuteka na kuua. Be calm muuaji dawa yenu ipo tayari kwa kubwa!
 
Polisi wawe makini sana na Chadema kuna uwezekano mkubwa wanafanya matukio ya utekaji ili kuichonganisha Serekali na Wananchi
Inawezekana Mkuu. Hatuna budi kuitahadharisha Serikali wakawa nao makini zaidi.
 
Hivi anatuona Watanganyika ni wajinga kiasi kuwa hatujui kuwa yeye ndiye sponsor wa hao watekaji? Hii ni dharau kabisa, au anafikiri tumesahau ile kauli yake ya kejeli ya kifo ni kifo baada ya vijana wake kumteka na kumuua kikatili Mzee Kibao ?
 
Zilipita siku ngapi wauaji wakapatikana?lakini hadi sasa hawajulikani waliomuua mzee Ali kibao,mawazo etc na hadi sasa haijulikani waliompiga risasi lisu
Ndiyo hawajulikani kwasababu wahalifu nao ni binadam wanaakili na wanajua namna ya kupoteza ushahidi na kujificha kwahiyo uchunguzi unaendelea au we unawafahamu?
 
Kwa zama hizi ukikamatwa na watu waliojitambulisha ni askari basi biashara inakuwa imeisha ,wenzetu waasia wanasema "kwishnery patel kemcho i'm dabati"

Pia nimeona ONTARIO naye analalamika kwamba kuna watu watatu wamemtishia kwamba siku zake zinahesabika ,watu wamemwambia hao watu huwa hawatanii awe makini na wakamshauri kwakuwa ana miliki "chuma" aka Mguu wa kuku aka 9mm aka Bomba aka Mkwaju aka Gitaa basi kila akimove awe nayo hata akienda chooni na mtu yeyote akimsogelea asiyeeleweka basi on the spot afumue ubongo kama alivyofanya ZAKARIA kwa wale watu wasiojulikana.
 
Ndiyo hawajulikani kwasababu wahalifu nao ni binadam wanaakili na wanajua namna ya kupoteza ushahidi na kujificha kwahiyo uchunguzi unaendelea au we unawafahamu?
Nasikia tena mnaleta mashahidi wasiojulikana kwenye kesi ya lisu
 
Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani imeongezeka. Jambo ambalo hatujafanikiwa vya kutosha ni ajali za barabarani.

Pia amesema, "Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea"

Pia soma: LIVE - Pre GE2025 - Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025
Hivi kumbe walishaanza hizo jitihada!
 
Swala ya kupotea kwa watu ilibidi uwe agenda ya kitaifa kabsa lkn watu wameichukulia simple na Sasa wanaongea kwa kuwa tunaenda kwenye uchanguzi.
 
Polisi wawe makini sana na Chadema kuna uwezekano mkubwa wanafanya matukio ya utekaji ili kuichonganisha Serekali na Wananchi
Unisamehe kama nakuvunjia heshima,ongeza kufikiria juu ya hoja zako za CDM kujihusisha na tuhuma za utekaji.
 
Back
Top Bottom