Umekasirika kwasababu nimetoa taarifa ya kweli?Wewe bwege usiyekuwa na ufahamu jifunze kutafuta taarifa zenye uhalisia! Kwa taarifa yako pakacha limevuja na linawalowanisha kwa rojo la uchafu wenu! Greenguard wenu ndio wahusika wakuu wa kadhia hiyo. Naona Kama u mmojawao!
Watu kupotezwaPongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani imeongezeka. Jambo ambalo hatujafanikiwa vya kutosha ni ajali za barabarani.
Pia amesema, "Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea"
Pia soma: LIVE - Pre GE2025 - Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025
Taarifa zenu zipo wazi kuwa hicho kikundi chenu Cha green guard ndicho hasa kinaendesha operation za kuteka na kuua. Be calm muuaji dawa yenu ipo tayari kwa kubwa!Umekasirika kwasababu nimetoa taarifa ya kweli?
Inawezekana Mkuu. Hatuna budi kuitahadharisha Serikali wakawa nao makini zaidi.Polisi wawe makini sana na Chadema kuna uwezekano mkubwa wanafanya matukio ya utekaji ili kuichonganisha Serekali na Wananchi
Nampa pole mama ako, hii sperm iliyotumika kukutengeneza, bora angeinywa tu.Hapana sitaki ushauri
Mama yangu ni Bibi yako muheshimu maana mi ni kibenten wa MamaakoNampa pole mama ako, hii sperm iliyotumika kukutengeneza, bora angeinywa tu.
Zilipita siku ngapi wauaji wakapatikana?lakini hadi sasa hawajulikani waliomuua mzee Ali kibao,mawazo etc na hadi sasa haijulikani waliompiga risasi lisuHuyu alieuwawa mwezi wa 3 alikua ni wa Chadema?
View attachment 3385852
Ndiyo hawajulikani kwasababu wahalifu nao ni binadam wanaakili na wanajua namna ya kupoteza ushahidi na kujificha kwahiyo uchunguzi unaendelea au we unawafahamu?Zilipita siku ngapi wauaji wakapatikana?lakini hadi sasa hawajulikani waliomuua mzee Ali kibao,mawazo etc na hadi sasa haijulikani waliompiga risasi lisu
Nasikia tena mnaleta mashahidi wasiojulikana kwenye kesi ya lisuNdiyo hawajulikani kwasababu wahalifu nao ni binadam wanaakili na wanajua namna ya kupoteza ushahidi na kujificha kwahiyo uchunguzi unaendelea au we unawafahamu?
Hivi kumbe walishaanza hizo jitihada!Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani imeongezeka. Jambo ambalo hatujafanikiwa vya kutosha ni ajali za barabarani.
Pia amesema, "Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea"
Pia soma: LIVE - Pre GE2025 - Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025
Unisamehe kama nakuvunjia heshima,ongeza kufikiria juu ya hoja zako za CDM kujihusisha na tuhuma za utekaji.Polisi wawe makini sana na Chadema kuna uwezekano mkubwa wanafanya matukio ya utekaji ili kuichonganisha Serekali na Wananchi
CrapPolisi wawe makini sana na Chadema kuna uwezekano mkubwa wanafanya matukio ya utekaji ili kuichonganisha Serekali na Wananchi