Ikizu Bukama
JF-Expert Member
- Nov 26, 2023
- 560
- 1,061
Tuna Raisi mjinga,uraisi wa kupata kwa kuhongwa ndo shida hiiPongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani imeongezeka. Jambo ambalo hatujafanikiwa vya kutosha ni ajali za barabarani.
Pia amesema, "Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea"
Pia soma: LIVE - Pre GE2025 - Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025
Hapa kwenye kijiwe changu kuna tv niliweka bunge live. Wateja wameomba nibadilishe channel, niwawekee mpira, muziki, au hata cartoon, nikishindwa wanaondoka. Nisaidieni wandugu.Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani imeongezeka. Jambo ambalo hatujafanikiwa vya kutosha ni ajali za barabarani.
Pia amesema, "Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea"
Pia soma: LIVE - Pre GE2025 - Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025
Hiyo serikali itakuwa ni ya kigasho!Polisi wawe makini sana na Chadema kuna uwezekano mkubwa wanafanya matukio ya utekaji ili kuichonganisha Serekali na Wananchi
Hauna Akili TIMAMU.Ngoja mama yako atekwe ndio utajua vzr.Polisi wawe makini sana na Chadema kuna uwezekano mkubwa wanafanya matukio ya utekaji ili kuichonganisha Serekali na Wananchi
Huyo Eti ndio Rais kweli tuna mkosi mkubwa kama Taifa la Tanganyika.Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani imeongezeka. Jambo ambalo hatujafanikiwa vya kutosha ni ajali za barabarani.
Pia amesema, "Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea"
Pia soma: LIVE - Pre GE2025 - Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025
Hii nchi unaweza kudhani haina uongozi. Yani chama cha upinzqni kina nguvu kubwa kiaso cha kushindana na vyombo vya ulinzi na usalamaKwasababu ni Rais mjinga ndo atakaefanya matukio ambayo yanamchafua , kwahiyo Chadema wanatekana ili kumchonganisha Rais na wananchi wachungunzwe na wasimamiwe bila huruma.
Kwani nchi zenye uhalifu kama USA watu wanapigana risasi hovyo kila siku inamaana wahalifu wana nguvu kuliko vyombo vya dola?Hii nchi unaweza kudhani haina uongozi. Yani chama cha upinzqni kina nguvu kubwa kiaso cha kushindana na vyombo vya ulinzi na usalama
Sijawahi kusikia Tanzania ikijivunia kuiga mazuri ya ulaya. Always naona tunaibuka na hoja za #hata USA hata 🇬🇧# kwa mabaya tuKwani nchi zenye uhalifu kama USA watu wanapigana risasi hovyo kila siku inamaana wahalifu wana nguvu kuliko vyombo vya dola?
MKIRU mbona siyo ya muda mrefu umesahauje haraka sana namna hii?Umeshawahi kuona hata mwenyekiti wa shina CCM ametekwa au kupotea?ona aibu basi hata kama ni uchawa weka na ubinadamu hata kidogo