Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

ACHA NYODO WEWE TRAIN ZENYEWE ULIZOPANDA NI ZA KUENDESHWA NA MAKAA YA MAWE
 
Usikute kuna wizi wa kutisha na yule dhalimu mwendazake ASINGETHUBUTU kumruhusu CAG akague manunuzi yale kwani ni wizi MTUPU mwanzo mwisho. Je, Samia atamtaka CAG akague manunuzi ya hizo treni. Namuona kwa mbali mpwa Dotto James akianza kusali.

Hii point wanaipita tu,, hawajui ndio point ya msingi...

Yatima hadeki,, Kawaida maskini huwa unapata unachostahili na sio unachotaka.
Hapana. Basi tusubiri mpaka hapo tutakapo kuwa na uwezo ndiyo tununue treni zinazo kwenda na wakati. Kila mara kuyaangalia madudu kama haya tumechoka. Haya madubwasha tunayo mengi sana ukijumlisha na yale ya TAZARA.
 
Tumeshamkumbuka shujaa wetu mpendwa Mh Dr JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power amen🙏)! Wameshabadiri gear angani tayari! Mzimu wake na uwatafune wote waliohusika na hujuma hii😠!
 
Hizo wanazo taka haziendani na uchumi wetu wa kati pia gharama za uendeshaji labda ni kubwa kulinganisha na hizi wanazo ona za kishamba
Garama gani unazozizungumzia? Kwani watu watapanda hizo treni kusafirisha mizigo yao bure? Sie kitega uchumi cha taifa ili kituingizie mapato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…