KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hakuna nafuu yoyote mkuu, yote yako vilevile! Ni muundo huo huo. Usisahau Korea na China ni majirani. Wanaigizana hawa!Zina nafuu kuliko zile na Jirani yetu wa kaskazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna nafuu yoyote mkuu, yote yako vilevile! Ni muundo huo huo. Usisahau Korea na China ni majirani. Wanaigizana hawa!Zina nafuu kuliko zile na Jirani yetu wa kaskazini
Toka awali kwenye tenda walishaonyesha sample ya injini zitakazotumika, kulinganisha na bajeti , kwa hiyo wewe unachofahamu zenye kutumia umeme ni zile tu zenye kichwa kama cha nyoka?!!!hahaaa, inayokwenda km 320 kwa saa!!kazi kweli kweli, toka SGR, ina dizainiwa walijua ni mabehewa ya aina gani na injini zake, sasa leo mnataka kama zile za ulayaaaa?!!jamani jamani!!ndio maana wameshakuambia hiyo itakimbia km 160/saa!! Sasa hayo mambo ya eti mizania ni mtazamo wako na sio wa kihandisi.Mkataba haukuingiwa kuleta maboksi badala ya treni za kisasa zinazotumia umeme. Umbo lililopo kwenye picha ni wazi haina uwezo wa kusafiri kwa kasi kwa kutokuwa na mizania ya upana na urefu lakini hata kukata upepo bila ukinzani hatarishi..
Usikimbilie kudai kuna upotoshaji
Angalia hizi clips za chini. Ni treni za kisasa kabisa ujerumani. Wenyewe wanaziita ICE4 na ICE3 ambazo zinaweza kwenda na speed ya mpaka 300km/h. Ni very confortable utafikiri una paa kwenye ndege. ICE stands for Intercity Express. Hizi ni treni za masafa marefu.Mkuu 'Maneno Meier', mimi ninakuunga mkono kwamba mwonekano wa gari hilo haupendezi, lakini ningefurahi kuona muundo wa hizo zinazokufurahisha macho ukizitazama.
Mimi sijui mambo haya, lakini huenda treni hizi za spidi hizi ndogo, ndivyo zilivyo, tofauti na zile za spidi kubwa, wenyewe wanaziita 'bullet train'?
Ninaomba, yeyote mwenye miundo tofauti na hizi tunazoziona zikitumika kwenye SGR za kawaida, asaidie kuweka picha hizo hapa ili tuone hawa TRC walivyoshindwa kuchagua zenye muundo wa kuvutia.
Huyu mama tayari washamshika, sasa wanamchezea vilivyo mafisi wanapiga nje ndani usikute ni mtumba huo.
Mkuu 'stroke', kicheko chako hakieleweki, mimi nimekisia tu kwamba ni kuhusu haya aliyoandika mkuu 'Prisonerx'!Hehe
Hahaaaaa!!!hicho kitu kwa hii SGR yenu ni sawa gari aina ya limozini kuitumia ktk barabara za DRC!!hasa za mashariki mwa congo!!haitaweza kutembea hata hatua moja!!!weeee usilete utanii na hilo dude kichwa tu kama MJUSI KAFIRI!!!!Hivyo viwili vya picha za chini ndiyo vitu tunavyo vitegemea kuviona na kusafiri navyo.
Mwenye picha ya SGR ya kenya aiambatanishe kwenye uzi huu tafadhali
Tunataka yale kama nyoka ya ulaya kwa sababu tuliaminishwa ni yale.Toka awali kwenye tenda walishaonyesha sample ya injini zitakazotumika, kulinganisha na bajeti , kwa hiyo wewe unachofahamu zenye kutumia umeme ni zile tu zenye kichwa kama cha nyoka?!!!hahaaa, inayokwenda km 320 kwa saa!!kazi kweli kweli, toka SGR, ina dizainiwa walijua ni mabehewa ya aina gani na injini zake, sasa leo mnataka kama zile za ulayaaaa?!!jamani jamani!!ndio maana wameshakuambia hiyo itakimbia km 160/saa!! Sasa hayo mambo ya eti mizania ni mtazamo wako na sio wa kihandisi.
Picha iambatanishwe hapa tafadhaliBora hata SGR yetu ya kenya imekaa kama mitaro ya mavi ya ng’ombe
HahahaBora hata SGR yetu ya kenya imekaa kama mitaro ya mavi ya ng’ombe
Nimeziona mkuu. Ahsante sana.Angalia hizi clips za chini. Ni treni za kisasa kabisa ujerumani. Wenyewe wanaziita ICE4 na ICE3 ambazo zinaweza kwenda na speed ya mpaka 300km/h. Ni very confortable utafikiri una paa kwenye ndege. ICE stands for Intercity Express. Hizi ni treni za masafa marefu
hahahaha JF ni jamhuri ya kujitegemea mkuu..Unaona sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndio utajua JF tuna katiba yetu mpya [emoji23][emoji23][emoji23]
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!
Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya treni za umeme zenye kuburudisha macho kwa design kama za wenzetu wajerumani.
Mama samia Suluhu Hassan Rais wetu nani kakupa ushauri wa kutua saini ya makubaliano ya kununua treni za aina hiyo? Mimi sitaki kuamini na sikutegema kama aina ya treni ambazo zitatereza kwenye reli yetu zingekuwa na mwonekano huo kwenye hiyo picha ya taarifa tuliyoipata kwenye Website ya hiyo kampuni iliyo shinda zabuni ya Hyndai-Rotem. Mbona inatisha?
Nitashangaa sana kama upande mmoja tumejitahidi kutengeneza Stations nzuri, za kisasa na zenye mwonekano mzuri na wa kupendeza na kupata system yenye technology mpya, alafu leo tunaambiwa kuwa tunapata treni zenye vichwa na mabehewa ya enzi za Hitler? Ama kweli Tanzania tunawatu ambao kweli hawajui kwenda na na wakati. Watu wasiokuwa na test ya biashara. Mnategemea nani mtampata kwenye kwenye hayo ma-wreck yenu?
Mkurugenzi Kadogosa hii sio treni ambazo models zake mtangazaji wako Beni Mwanantala amekuwa akituonyesha kwenye maonyesho uwanja wa sabasaba kurasini.
That's awful! Are you really serious with this mkurugenzi?
Sasa naomba niambie kuna tofauti gani na SGR ya kenya kimwonekano? Inamaana mnatufanya sisi ni masokwe mpaka mnatuletea matakataka kama haya ambayo hakuna mtu anaye yataka?
Waziri wa Ujenzi na uchukuzi hivi ni sahihi kweli sisi watanzania mtusweke kwenye ma-wagon yanayo onekana kama treni za kusafirisha mizigo na wanyama kama haya ambayo hata hayavutii? Mmepewa bure nini? Ama ndiyo tuseme mmedhamiria nini kutuletea? Tuambieni?
Nilipokuwa kwenye jengo lenu la maonyesho ya sabasaba mwaka jana na kujionea mwenyewe models za treni na mabehewa ambayo Mr. Mwanantala alitupa maelezo yake, aisee, nilifarijika sana sana moyoni na niliwaombea baraka nyingi kwa muumba wetu za kuwaongoza vizuri katika shughuli zenu za kuwatumikia Watanzania.
Sikutegemea kabisa kuwa leo ingekuwa siku ya majonzi makubwa kwa kuona au kusikia mashine zitakazo tereza kwenye reli yetu ya kisasa ya SGR kumbe ni madudu ambayo yamepitwa na wakati na yasiyo na mvuto hata lidogo. ES IST SCHRECKLICH!
![]()
Hyundai Rotem wins contract to deliver trains to Tanzania - Fuentitech
The 97 cars operate at a top speed of 160km / hr. Credit: HYUNDAI ROTEM COMPANY. South Korean-based company Hyundai Rotem has won a $ 295.65 million (335.4 billion won) contract from the Tanzania Railways Limited (TRC) to deliver eco-friendly rail vehicles. Under the contract, TRC will receive $...fuentitech.com
Masanja atuletee ya dizain hii. Hata kama ni kwa kupanda dau.

mods wana dhambi sana daah...Mkuu 'stroke', kicheko chako hakieleweki, mimi nimekisia tu kwamba ni kuhusu haya aliyoandika mkuu 'Prisonerx'!
Sasa Stateman kapotelea wapi? Yeye alikuwa anatwanga tu, hacheki na nyani.
Haya sasa; atueleze tu kwa nini hatuwezi kupata aina hii!Masanja atuletee ya dizain hii. Hata kama ni kwa kupanda dau
Mkuu.zina nyuma.sasa unaposema hakuna nyuma ni kwamba dereva yuko mbele na nyuma ?.Noo! [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha utani! Treni za nyoka hazina mbele wala nyuma. Kwote ni sawa.
Eti! Na wakati hizi treni tunanunua 4 show! Wakinunua mbaya, sijui tutaweka wapi sura zetu mbele ya wakenya!Haya sasa; atueleze tu kwa nini hatuwezi kupata aina hii!