Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Mkuu kwa speed ya 350km/hr utaweza ku operate hiyo treni kwenye hii reli yetu ya SGR? au kuna namna njia yake inatengenezwa ili kuepusha maafa kwa raia na mifugo, maana ng'ombe kuvuka reli ni jambo la kawaida sana huku kijijini kwetu.....
Ng’ombe akivuka mtaokota vipande tu maana ile itampasua! Hizo zinaitwa bullet trains mkuu ni hatari sana
 
Ni eco-friendly na ni nzuri
Muonekano wake sio mzuri lakini ziko vizuri
Kampuni ni maarufu na ni kubwa hata [emoji631] wana kitengo huko
Siemens walisemekana wanataka kununua hii kampuni ila ikakanushwa

Train zao wameuza sehemu nyingi duniani ikiwamo Australia, turkey na kwingine
Kama vipi zikija tujifunzie hizo ili tutoe copy na bora zaidi

Hizi ni baadhi za trains zao ila tuwaambie watume hizo za juu au mnasemaje maana maamuzi ni sisi tuliomo humu View attachment 1848745
hahahahaaa mkuu black sniper kwamba waamuzi ni sisi wana jamiiforums...
 
Wanakupa kile kinachoendana na uwezo wako wa kiuchumi. Tube train haiwezi kutumia reli ya 1.435 M hii ni kwa ajili ya Boxcab (Diesel/Electric Locomotives) tu na ndio itakayonunuliwa na TRC. Tube trains kwa Afrika bado tunasubiri sana.
Umeongea kitalam...hivi kulikua hakuna uwezekano Ile reli iliyokuwepo ikaongezwa kua sgr kuliko kilichofanyika kujenga mpya?
 
Back
Top Bottom