Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Ingawa katika Hali ya kawaida hii ya kwetu tunayotarajia kununua imekaa vibaya kwa kweli. View attachment 1848552View attachment 1848553View attachment 1848554

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda nitoe ufaf
Badala ya kujua specifications za hizo treni anaangalia muonekano. Halafu hela ya kununua treni anayotaka hana. Kazi kweli kweli
Hizo train mnazosema ni mbaya si kweli kwamba hazitumiki katika nchi zilizoendelea. Hizi hapa ujerumani zinaitwa regional bahn yani treni zinazokwenda mikoani ingawa ni za umeme lakini speed yake ni karibu sawa na hizo za Tz wastani wa 160 - 200 km/h
Hukumbuki jinsi mlivyo mnanga na zile ndege zake za panga boi!
Train mnazozilalamikia zinatumika hata hapa ujerumani zinakwenda mikoani ni za umeme ila tofauti yake ni mwendo. Huwa zinakwenda wastani wa 160-200km/h

 
Hiyo ya juu ni High speed train, ya katikati ni treni ya kupiga masafa ya ndani ya mji na kando kando kama tuseme posta mpaka kibaha au Mkuranga. Haina speed kubwa sana. Max. Speed ni 80-100 km/h. Hiyo ya chini inaweza unganisha miji miwili na kuwa na speed mpaka 150 km/h.
 
Tukijiridhisha kwamba ni bomu tutahamasisha wananchi wasipande
 
Hayati Magufuli amekwisha tuonyesha kuwa yeye alipenda vitu vizuri kwa ajili yetu. Angalia jengo letu la Tanzanite ni la mfano. Umeliona jengo jingine kama lile duniani kama Station? Bila yeye watanzania wangekuwa wanaiona Dreamliner leo kwenye Airport zao? Chuki zako binafsi achana nazo, hazitakasaidia kitu.
 
Are you sure it's Samia who brought those machines?

Can you confirm hiyo picha ndicho kitakachokuja?

Are you sure hiyo look ni old fashion?

Tuna watu mnapenda Sana chokochoko
 
Hakuna Treni yenye Supersonic. Hata hiyo Magleb haifikii supersonic. Ndege ya abilia iliyo kuwa na uwezo wa kufikia supersoni ni Concord tu. Ndege nyingine ni za kivita tu.
 
uliona initial design ya kijazi flyover? Haikua km ilivyo sasa. Usiniulize how...fatilia tangu mwanzo hata hapa jf utaona niongeacho.
Mulilalamika kipindi like?? Au mlikua mkiogopa kutekwa??? na wasiojulikana. Sasa hivi mmeshupaza midomo kama mabaniani weusi. Maaamaaaaazn¥√√√ hem tulieni KAZI iendelee. Ufanisi ndio tutakao judge wameshindwa au la na wala sio structure ya Train.
 
Hiyo ni picha tu
Hii ya Hyundai Rotem yaTunisia wameagiza 2019 ina speed ya 120km/h
 
Mmmmm!!!yaani kwa mawazo yako lile jengo la vioo la pale station ndio la kwanza la aina hiyo duniani?!!au unaishi SANGAMWARUGESHA?kwa hiyo kuona hiyo dreamliner kwao imewasaidia nini?ninachoweza kukwambia MUNGU FUNDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…