Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Hizo zilishanunuliwa na awamu ya 5,mama kafanyiwa delivery tu..sema kweli halina mvuto,likekaa kaa tu kama kontena la Maersk[emoji23][emoji23]
Hata delivery Bado

Zinakuja in 2024, what you saw is just a photo of products za walioshinda tender

Watanzania mkone lakini?

Hamsomi??

Ni uvivu au uwezo wa akili?
 
I still can't believe I am reading this rant isiyo na kichwa Wala miguu
 
Hzo za kisasa bullet train sisi kwa sasa hatuna uwezo wa kununua ni very expensive. Pia running cost yake nikubwa wangeleta hzo tungepiga tena kelele kwemye nauli
 
Hata delivery Bado

Zinakuja in 2024, what you saw is just a photo of products za walioshinda tender

Watanzania mkone lakini?

Hamsomi??

Ni uvivu au uwezo wa akili?
Tumesoma na tumeona. Lakini bandiko limetolewa na manufacturer. Sasa kama alimaanisha treni nyingine basi tulitegemea angeweka picha inayo fanana na kile tulicho kubaliana nacho. Na kama sio basi mtoa taarifa ya kushinda kwa hiyo zabuni atakuwa ametudhalilisha sisi sana watanzania kwa kuonyesha kuwa hiyo ndiyo treni ambayo sisi tumestahili kuitolea Tender.
 
Hapana. Basi tusubiri mpaka hapo tutakapo kuwa na uwezo ndiyo tununue treni zinazo kwenda na wakati. Kila mara kuyaangalia madudu kama haya tumechoka. Haya madubwasha tunayo mengi sana ukijumlisha na yale ya TAZARA.
Mimi napendekeza, haya ma"ein LoK" yatumike kwenye magari ya mizigo tu; ziletwe aina ya zile nyoka, hata nne tu zitumike kwa mabehewa ya wasafiri.

Naelewa hii inaweza kuongeza gharama, lakini hadhi ya nchi nayo ni ya gharama kubwa. Hatuwezi kuwa tunaendelea kufanya mambo kifukarafukara; tutaendelea kudumaa hivyo hivyo.

Hili pendekezo ningependa tulifikishe TRC walifanyie kazi.

Lakini kabla ya hiyo, ningependa watueleze sababu ya kununua haya "maboksi" yatumike kwenye reli yetu mpya.
 
Hizi zinahitaji njia special kwa sababu ni mwendo kasi kweli kweli dar to arusha litasimama tanga na Moshi dakika kumi kumi tu speed 220-380 km/h

View attachment 1849110
Hahahah yani hili ndio ingekuwa gauge iliotengenezewa rails naona ndio ingekuwa convenient zaidi sema sio mbaya hata hizo za 160km/h zitaonesha utofauti mkubwa maana yale majongoo ya diesel ya reli ya kati yanaenda 40km/h sawa na mwendo wa gari ikiwa locked kwenye 3rd gear!

Hizi ICE ni nzuri kwa route ya Dar Mbeya huchoki yani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… maana in 3 hours ushafika!
 
Sio kinyonge bana matajiri wengine mbona hawajasumbuliwa kama akina Bhakressa? Ukiwa clean husumbuliwi ila ukiwa una makando kando ndio serikali ya Magu inakuzingua hasa ukiwa kiburi ya helaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ni simple tu. Usipande
 
Sio kinyonge bana matajiri wengine mbona hawajasumbuliwa kama akina Bhakressa? Ukiwa clean husumbuliwi ila ukiwa una makando kando ndio serikali ya Magu inakuzingua hasa ukiwa kiburi ya helaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Bakhressa huwezi kumtenganisha na Lumumba. Yule ni zaidi ya Lumumba
 
Halafu uzuri alikuwa ana ujanja navyo alikuwa mwanasayansi yule jamaa asingeagiza utopolo namna hioπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… labda kama ndio the best for our railways ndio akaafiki ila kama kungekuwa na class ya juu zaidi kwa reli zetu angeagiza hio
 
Kama mama alituma vijana wakalipie hela huenda wamefanya yao huko Korea ili kubakiwa na chenchi ya kuja kuporomoshea maghorofa mbweni πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…