Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Eti km 160/hour yaani wakati zipo za 250 km/hour

Hapa kuna upigaji hapa yatakuwa kama Yale ya mwendokasi siku moja kazi siku ya pili garage!!
Juu ya hili kampuni kwa hilo sina shaka kabisa, wameonesha mfano hai pale Mloganzila kwenye lift za Hyundai na Samsung ni chenga tupu lift mbovu mbovu sana! Katika floor yenye lift 3 unakuta 2 mbovu moja ndio nzima!

Nna wasiwasi sana na hizi treni zao kama zitakuwa na ufanisi wa uhakika! Au ndio yataanza mabango ya leo safari ya Dar Moro tutatumia kichwa cha mizigo maana cha kupeleka abiria kimeleta hitilafu kipo chini ya uangalizi wa mafundi!
 
Acha ushamba Samia hajanunua hizo Bajaj ni bwana yule, fuatilia tender ilikuwaje bwana sukumagang, mnataka kumtwisha mizigo isiyo yake.
 
Hao Japan wana miundombinu ya Magnetic Levitation trains zinaelea kwenye magnetic fields zinakimbia balaa
 
Wewe ndio unalazimisha kuwa hakuna uhakika sababu umeamua kuamini hivyo. Just Google utaona acha kuishi maisha ya zamani. Pia usitake kutudanganya.
 
Pitia Google utaona hii tender ukishakuwa awarded mwaka jana
 
Na Covid alipewa baada ya kuacha kupiga nyungu zake akapewa na huyu si ndio we Pichu?
 
Lakini ipo ambayo ni SRT toka kwa hao hao Hyundai na inatembea kwenye geji yetu ya reli kama kawaida πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tukubali tu aidha hela yetu ndogo au tumepigwa ila treni la high speed zaidi lipo na linatembea kwenye reli yetu hio hio ya gauge ya 1.435
 
Wewe usiye na "kiherehere" tuonyeshe "zenyewe" ni zipi?
Sasa ww ndio unatupa mashaka hata na namna ulivyo kuwa una jibu maswali ya walimu wako woteee waliokufundisha kuanzia primary had elimu yako ya mwisho four 4 kama sikose...anyway tu assume 1st degree ..
 
Treni ilinunuliwa awamu ya Magufuli. Usimsingizie mama bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…