Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Labda tutakachoendelea kuwalingia ni kwamba za kwao ni za 'diesel' huku yetu ikiwa ni ya umeme, na ikienda kasi zaidi km 160 kwa saa kuliko ya kwao!

Bado tutakuwa na ubavu kidogo wa kuwazodoa.
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Paragraph yako ya mwisho ningeomba uirekebishe please! Sisi sio wapinga katiba wala mataga na wala sio sukuma gan na corona Virus vyenye umso la binadam, bali sisi ni watanzania ambao tunahoji matumizi sahii ya kodi zetu ambazo serikali yetu kwa niaba yetu imewekeza kwenye mradi huu wa kimkakati.

Sasa wewe ukija na kejeli kama hizi naona hapa sasa hujengi bali unabomoa pamoja na mwanzo mzuri wa hoja uliyo changia. Hiyo haikubaliki na sio sahii.

Hstuko hapa kuzarauliana na kujiona wewe ninzaidi kuliko wengine. Sisi tunataka kusikia ukweli wa vyombo tulivyo nunua kwa pesa yetu. Sio jingine.
 
Tumeshamkumbuka shujaa wetu mpendwa Mh Dr JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power amen[emoji120])! Wameshabadiri gear angani tayari! Mzimu wake na uwatafune wote waliohusika na hujuma hii[emoji34]!
Amen![emoji120]
 
Kwa wataalam hiyo picha inatosha kutambua specifications za hiyo treni. Kwani ninkiasi cha kwenda kwenye Website ya mwuundaji na kutafuta specifications zake. It is so easy!
 
Cjakuchokoza Nilitaraji uje na Hoja kuhusu ubaya wa hizo Train.But Sorry Kama Nimekukwaza Mkuu..
Hamna shida. Huja ni kwaza. Hoja gani tena wakati mwuundaji mwenyewe ametuonyesha aina ya treni ambayo tunaitegemea?

Mwonekano wa hiyo treni peke yake ni uthibitisho tosha wa janga linalo tuelemea. Kama sio hiyo basi wahusika wa prove vingine. Lakini wakiendelea kukaa kimya wakati manufacturer amekwisha toa taarifa yake unategemea nini tena kutoka kwetu?
 
Serikali ilichoahidi ni safari ya Dar-Dodoma kuwa ya masaa matatu.

Aikuhahidi train itafanana vipi kama tunakosoa train basi iwe uwezo wake wa kutumia hayo masaa matatu ya safari.

Sio kila kitu kupinga tu, kuna sababu nyingi sana shape za train zinapishana.
 
Kwa wataalam hiyo picha inatosha kutambua specifications za hiyo treni. Kwani ninkiasi cha kwenda kwenye Website ya mwuundaji na kutafuta specifications zake. It is so easy!
Kumbe unajua mbona hukufanya hivyo ili hoja yako iwe halali na yenye uzito?

Je, hiyo picha ya treni ndiyo ya aina zilizoagizwa? Toa ushahidi
 
Hiyo train aliyonunua mama ina uwezo wa kwenda Dar to Dodoma in three hours; hiko ndio serikali ilichoahidi kwenye train ya umeme.

Mengine ni preference zako which has nothing to do with the government promises.

Sio kila kitu kupinga tu.
 
Upo sawa mkuu, isipokuwa zile za zamani zinakwenda speed ya 40km/hr kutokana na uchakavu wa reli ila zinakwenda mpaka 100km/hr ila tu maximum speed restriction ni 72km/hr iliyopendekezwa na TRC.

Mfano GT38LC-3 tulizonunua toka kampuni ya EMD iliyopo La Grange Illinois U.S.A ambazo zilikuwa assembled South Africa manufacturer kaweka wazi kuwa inauwezo wa kufika 120km/hr ikiwa full equipped na 6 Traction Motors..

Hivyo nayo si haba japo ndo hivyo tushatoka huko kitechology.
 
Story mingi serikali ilichoahidi ni safari ya Dar to Dodoma kuwa ya masaa matatu; icho ndio tunataka kujua kutokana na kilichoagizwa sio lopolopo na ujuaji wa ma engineer.

Unless watuambie hizo train hazina uwezo wa kwenda Dar to Dodoma in that time and maintenance cost is higher given their alternatives. Bila ya hoja za msingi we are not bothered.

Kuna watu kazi yenu kupinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…