Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
- Thread starter
- #381
Huo ni mtazamo wako.SUKUMA GANG ni majitu majinga sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni mtazamo wako.SUKUMA GANG ni majitu majinga sana.
Duuh! Kwa dubwasha kama hili wakati trilion saba za walala hoi zimesha toweka kwa SGR? Are you Kidding?Kisa zina rangi ya Yanga ndio maana ukasema ni mbaya?
Siku zote jikune pale unapojifikia mkuu
Nani alisema haiwezekani?Mlisema haiwezekani
[emoji848][emoji848][emoji848]Labda tutakachoendelea kuwalingia ni kwamba za kwao ni za 'diesel' huku yetu ikiwa ni ya umeme, na ikienda kasi zaidi km 160 kwa saa kuliko ya kwao!
Bado tutakuwa na ubavu kidogo wa kuwazodoa.
Paragraph yako ya mwisho ningeomba uirekebishe please! Sisi sio wapinga katiba wala mataga na wala sio sukuma gan na corona Virus vyenye umso la binadam, bali sisi ni watanzania ambao tunahoji matumizi sahii ya kodi zetu ambazo serikali yetu kwa niaba yetu imewekeza kwenye mradi huu wa kimkakati.Mama Raisi Samia zimeibuka lawama mitandaoni uu ya aina ya treni inayodaiwa kuwa ndio serikali ya Tanzania imeiagiza.
Picha ya treni hiyo inasambaa mitandaoni huku serikali yako ikilaumiwa na baadhi ya watu kunnua treni zenye muonekano wa kizamani(hazina mvuto kulinganisha na hizi za kisasa).
Binafsi sitaki kuamini serikali yako iliyoingia madarakani miezi michache iliopita, ndio inahusika na manunuzi haya kama kweli yapo, hivyo nakushauri utoke hadharani na uwaeleze watanzania ukweli.
Wale wale wanapinga Katiba Mpya na uwazi wa mikataba, ndio wamekuwa wa kwanza kulalamika.
MATGA, hasa SUKUMA GANG, ni Corona virus wenye umbo la kibinadamu .
Ndicho hicho tunacho kihitaji.Hakuna sababu Rais hadharani kujibu ujinga huo.
Elekezeni wizara husika ndio inawatalam wanaojua train gani inafaa na miundo mbinu waliyojenga.
Vyote vyote.Mkuu shida ni mwonekano tu ama Kuna lingine?
Watazitapika hadharani.watu washapiga 10 percent yao.
Ni sawa tu. Lakini tunataka vitu vinavyoendana na wakati kwa pesa yetu.ACHA NYODO WEWE TRAIN ZENYEWE ULIZOPANDA NI ZA KUENDESHWA NA MAKAA YA MAWE
Amen![emoji120]Tumeshamkumbuka shujaa wetu mpendwa Mh Dr JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power amen[emoji120])! Wameshabadiri gear angani tayari! Mzimu wake na uwatafune wote waliohusika na hujuma hii[emoji34]!
Kwa wataalam hiyo picha inatosha kutambua specifications za hiyo treni. Kwani ninkiasi cha kwenda kwenye Website ya mwuundaji na kutafuta specifications zake. It is so easy!Hoja yako ingekuwa na nguvu ya kujadiliwa kama ungeweka "specifications" za "train" zilizoagizwa. Bila hivyo endelea na uzushi wa vijiweni, ati zimeibuka lawama mitandaoni juu ya aina ya treni inayodaiwa kuwa ndio serikali ya Tanzania imeiagiza na bado unaweka kifua kumtaka Rais ajibu! Du, haki na uhuru wa mawazo ukitumika vibaya!
Hamna shida. Huja ni kwaza. Hoja gani tena wakati mwuundaji mwenyewe ametuonyesha aina ya treni ambayo tunaitegemea?Cjakuchokoza Nilitaraji uje na Hoja kuhusu ubaya wa hizo Train.But Sorry Kama Nimekukwaza Mkuu..
Kumbe unajua mbona hukufanya hivyo ili hoja yako iwe halali na yenye uzito?Kwa wataalam hiyo picha inatosha kutambua specifications za hiyo treni. Kwani ninkiasi cha kwenda kwenye Website ya mwuundaji na kutafuta specifications zake. It is so easy!
Tunatakantreni yenye hadhi ya Jengo letu la Tanzanite na SGR yetu na sionkingine! Period!Tunataka Bentley wakati tuna hela ya Bajaj.
Amandla...
Hiyo train aliyonunua mama ina uwezo wa kwenda Dar to Dodoma in three hours; hiko ndio serikali ilichoahidi kwenye train ya umeme.Hamna shida. Huja ni kwaza. Hoja gani tena wakati mwuundaji mwenyewe ametuonyesha aina ya treni ambayo tunaitegemea?
Mwonekano wa hiyo treni peke yake ni uthibitisho tosha wa janga linalo tuelemea. Kama sio hiyo basi wahusika wa prove vingine. Lakini wakiendelea kukaa kimya wakati manufacturer amekwisha toa taarifa yake unategemea nini tena kutoka kwetu?
Upo sawa mkuu, isipokuwa zile za zamani zinakwenda speed ya 40km/hr kutokana na uchakavu wa reli ila zinakwenda mpaka 100km/hr ila tu maximum speed restriction ni 72km/hr iliyopendekezwa na TRC.Hahahah yani hili ndio ingekuwa gauge iliotengenezewa rails naona ndio ingekuwa convenient zaidi sema sio mbaya hata hizo za 160km/h zitaonesha utofauti mkubwa maana yale majongoo ya diesel ya reli ya kati yanaenda 40km/h sawa na mwendo wa gari ikiwa locked kwenye 3rd gear!
Hizi ICE ni nzuri kwa route ya Dar Mbeya huchoki yani [emoji28][emoji28][emoji28] maana in 3 hours ushafika!
Story mingi serikali ilichoahidi ni safari ya Dar to Dodoma kuwa ya masaa matatu; icho ndio tunataka kujua kutokana na kilichoagizwa sio lopolopo na ujuaji wa ma engineer.Upo sawa mkuu, isipokuwa zile za zamani zinakwenda speed ya 40km/hr kutokana na uchakavu wa reli ila zinakwenda mpaka 100km/hr ila tu maximum speed restriction ni 72km/hr iliyopendekezwa na TRC.
Mfano GT38LC-3 tulizonunua toka kampuni ya EMD iliyopo La Grange Illinois U.S.A ambazo zilikuwa assembled South Africa manufacturer kaweka wazi kuwa inauwezo wa kufika 120km/hr ikiwa full equipped na 6 Traction Motors..
Hivyo nayo si haba japo ndo hivyo tushatoka huko kitechology.