Tofauti na ujenzi wa sgr huko Kenya, sisi sgr yetu tunaijenga kwa pesa zetu za ndani. Mikopo kidogo tunachukua kwenye benki za biashara na tulishaanza kuzilipa kwa pesa zetu za ndani. Hiyo biashara ya kuuza tiketi haituhusu na si lengo letu kwenye hii miradi ya kimkakati.
Nawashukuru wote walioshirikiana nami kwenye kutoa michango yao ya hoja.Maneno Meier ,
..kwasababu sgr imefika Morogoro basi mji huo ulitakiwa uwe umeshaandaliwa KIVIWANDA ili kufaidika na ujio wa reli ya mwendokasi.
..tunakwenda kutumia GHARAMA kubwa kusafirisha watu ambao hawazalishi bidhaa / goods au huduma / services zinazowafanya kustahili usafiri wa bei ghali kama treni ya umeme ya mwendokasi.
..hata kwa upande wa STIEGLERS GORGE Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya ameshangaa kwamba wataalamu wa KILIMO bado hawajajipanga ku-take advantage uwepo wa bwawa kubwa la maji litakalokujengwa ktk mradi huo.
..Wenye dhamana ktk hii miradi wanafikiria zaidi PROPAGANDA badala ya kuongeza ubunifu ambao utalisaidia taifa kupata faida kubwa zaidi kutokana miradi hii.
Dar umeongea kitaalam sana unarikiwe asipokuelewa basiMuonekano aka umbile la kitu lina maana sana kisayansi - biology, physics and mathematics. Ulishajiuliza kwa nini ndege wanyama (birds) wanaoruka angani wana shape hiyo kimaumbile? Kwa nini samaki wa majini wana shape hiyo? Au kwa nini wanawake nyonga.zao (hips) ni pana kuliko za wanaume?
Ulishajiuliza kwa nini gari wanazotembelea marais wengi duniani ni za muundo kama ule wa benzi tulilomzawadia Mzee Ruksa badala ya miundo kama za V8 ya Polepole? Centre of gravity ya V8 iko juu sana na hivyo at high speed ni rahisi sana ku overturn (hasa ukijaribu kukata corner), ukilinganisha na hilo benzi la Mzee Mwinyi.
Ndege (aeroplane) au treni yenye umbo la container ni ngumu sana kuweza kutembea kwa spidi kali inayozidi 100 kph. Ndiyo maana aeroplanes na high speed trains maumbo yake yanafanana na yale ya ndege (bird) original, umbo linalowezesha kukata upepo vizuri. Hivyo hivyo maumbo ya meli yanafanana na yale ya samaki kuwezesha kukata maji vizuri. Maumbo haya ndiyo yanaitwa bullet shape, yaani shape ya risasi. Bullet trains maana yake ni treni zenye umbo la risasi. Haimaanishi zina spidi kama ya risasi. Zinaweza kuwa na maximum speed ya kawaida tu. In fact bullet trains za mwanzo (miaka ya 1960s) maximum speed zake zilikuwa 100kph tu. Ila kama unataka maximum speed kali, shape ya bullet ni ya mhimu kama zilivyo wide hips za mwanamke kama unataka akuzalie watoto kwa urahisi bila caesarian section. Kadogosa anatuletea shape hii ya treni zetu, tujiandae kufanyiwa caesarian section mara kwa mara tutakapokuwa tunasafiri na treni hizo.
Hizi zinazofanya kazi sasa katila reli ya zamani EMD GT38 (Diesel Electric Locomotives) za Kimarekani zina uwezo wa kufika speed ya 100 kph. Tatizo siyo kichwa cha treni mkuu ni njia.Kwanza siamnina hizo za kadogosa zitawezwez kufikia hata speed ya 100km/h achilia mbali hiyo 160km/h , air resistance itakuwa kubwa sana train gani ipo Kama nyumbu aisee
Hiyo speed 100 itakfikaje kwa resistance ile yenye shape Kama nyumbu na hapo hajaweka mambo ya kona milima nk hivi vitu huwa havitoke kww bahati mbaya lazima uwez umedizain sio kichwa tu ni hadi stability ya mabehewaHizi zinazofanya kazi sasa katila reli ya zamani EMD GT38 (Diesel Electric Locomotives) za Kimarekani zina uwezo wa kufika speed ya 100 kph. Tatizo siyo kichwa cha treni mkuu ni njia.
Asante sana chief,barikiwa sana kwa maana ya madini uliyonayo na uwezo wa kubalance mjadala pia hata heading yako iko na "catch" heading hii imesababisha watu wenye mitazamo tofauti kuja pamoja kujadili juu ya hatma ya nchi yao,I took it very positively thread hii imenisababisha nichimbe na kujifunza mambo mengi huko na huko duniani juu ya taaluma hii kupitia kiganja changu,hii ndo siasa ninayoitaka mimi!.Sijatoka bure. Mimi si mtu wa kucomment huku kwenye jukwaa la siasa.WANANIITA MZEE WA BATA 😂😂😂.Nawashukuru wote walioshirikiana nami kwenye kutoa michango yao ya hoja.
Mungu awabariki wote na tuendelee kupigana kwa ajili ya maendeleo yetu na vizazi vyetu vya baadae.
Ningeona ajabu sana kama Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan na Mkurugenzi wetu Kadogosa wange mwangusha Hayati Magufuli na vijana wetu ambao walijitokeza kwa wingi sabasaba mwaka jana kuupokea na kuuunga mkono mradi wetu kutoka kwa Hayati Rais wetu mpendwa Magufuli.
Leo ni siku ya furaha sana kwangu. Siku hizi zote nilikuwa silali vizuri ile report ya Hyundai- Rotem iliniumiza sana.
Na natoa pongezi kubwa sana na shukran nyingi kwa viongozi wetu wote waliohusika kwenye kuufanikisha huu mradi kwa mategemeo yetu na kusikiliza vilio vyetu vya kupata taarifa sahii juu ya mradi wetu huu. Mungu awabariki sana.
SGR IS OUR BABY!!!!!
Watanzania tuna sababu zote za kuwa proud of ourselves. Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe.
Watanzaniaaa tunapata pia Double Decks Trains. Oooh wie schöööööön!!![emoji122][emoji122][emoji122]
Na kwa hali hiyo napenda kusema kuwa Mjadala wetu umefungwa.
😂😂😂 Asante sana Mkuu WAKUDAMSH kwa jitihada zako za kutafuta information mitandaoni ambazo zimekuwezesha kuchangia kweye mada hii na hatimaye kuleta matokeo chanya za taarifa sahihi juu ya maendeleo halisi ya mradi wetu. Mimi binafsi nina aknowledge ushirikiano wako na kukutakia maisha mema.Asante sana chief,barikiwa sana kwa maana ya madini uliyonayo na uwezo wa kubalance mjadala pia hata heading yako iko na "catch" heading hii imesababisha watu wenye mitazamo tofauti kuja pamoja kujadili juu ya hatma ya nchi yao,I took it very positively thread hii imenisababisha nichimbe na kujifunza mambo mengi huko na huko duniani juu ya taaluma hii kupitia kiganja changu,hii ndo siasa ninayoitaka mimi!.Sijatoka bure. Mimi si mtu wa kucomment huku kwenye jukwaa la siasa.WANANIITA MZEE WA BATA 😂😂😂.
🙏🏿🙏🏿🙏🏿😂😂😂 Asante sana Mkuu WAKUDAMSH kwa jitihada zako za kutafuta information mitandaoni ambazo zimekuwezesha kuchangia kweye mada hii na hatimaye kuleta matokeo chanya za taarifa sahihi juu ya maendeleo halisi ya mradi wetu. Mimi binafsi nina aknowledge ushirikiano wako na kukutakia maisha mema.
Usisite kuendeleza vita yako ya kupambana na watu wenye nia mbaya za kuwaharibia wengine maisha yao for the better future of our Nation!🙏
Kiongozi speed 100-160 ni ya kawaida sana, mabasi yetu hayana umbo la nyoka lakini yanafika speed hiyo. GT38 LC-3s ambazo zimetengenezwa na Mmarekani kwa ajiri ya sub-sahara Afirica na asia kusini Max speed ni 120 kphHiyo speed 100 itakfikaje kwa resistance ile yenye shape Kama nyumbu na hapo hajaweka mambo ya kona milima nk hivi vitu huwa havitoke kww bahati mbaya lazima uwez umedizain sio kichwa tu ni hadi stability ya mabehewa
Hiyo speed 100 itakfikaje kwa resistance ile yenye shape Kama nyumbu na hapo hajaweka mambo ya kona milima nk hivi vitu huwa havitoke kww bahati mbaya lazima uwez umedizain sio kichwa tu ni hadi stability ya mabehewa
Hapa hujatuangusha Mr. Kadogosa na timu yako. Mmetuheshimisha sana. Kazi iendelee Mh. Mama SamiaWenye connection na Mr. Kadogosa, mwambieni tunataka vitu vizuri vya dizaini hiyo au zaidi. TUNATAKA BULLET View attachment 1848736
Theoretically unawezakuwa unasound vizuri but practically mambo hayaendi hivyo. Huwezi kuwambia watu kwa mfano wajenge viwanda wakati hakuna umeme wa kutosha kulisha hivyo viwanda au kuhimiza watu kusafirisha mizigo kwa treni wakati huna usafiri wa uhakika na wa haraka wa kusafirisha mizigo hakuna au huna bandari nzuri inayokidhi mahitaji. Miundombinu huwa inajemgwa kwa kuangalia trend ya mahitaji ya sasa na ya miaka ya baadaye.Maneno Meier ,
..kwasababu sgr imefika Morogoro basi mji huo ulitakiwa uwe umeshaandaliwa KIVIWANDA ili kufaidika na ujio wa reli ya mwendokasi.
..tunakwenda kutumia GHARAMA kubwa kusafirisha watu ambao hawazalishi bidhaa / goods au huduma / services zinazowafanya kustahili usafiri wa bei ghali kama treni ya umeme ya mwendokasi.
..hata kwa upande wa STIEGLERS GORGE Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya ameshangaa kwamba wataalamu wa KILIMO bado hawajajipanga ku-take advantage uwepo wa bwawa kubwa la maji litakalokujengwa ktk mradi huo.
..Wenye dhamana ktk hii miradi wanafikiria zaidi PROPAGANDA badala ya kuongeza ubunifu ambao utalisaidia taifa kupata faida kubwa zaidi kutokana miradi hii.
Theoretically unawezakuwa unasound vizuri but practically mambo hayaendi hivyo. Huwezi kuwambia watu kwa mfano wajenge viwanda wakati hakuna umeme wa kutosha kulisha hivyo viwanda au kuhimiza watu kusafirisha mizigo kwa treni wakati huna usafiri wa uhakika na wa haraka wa kusafirisha mizigo hakuna au huna bandari nzuri inayokidhi mahitaji. Miundombinu huwa inajemgwa kwa kuangalia trend ya mahitaji ya sasa na ya miaka ya baadaye.
Fake News wakati taasisi ni ileile? Kwa hiyo ya kwako wewe ndo ya ukweli? Una wazimu kweli wewe!Yaani wewe unasoma THE CITZEN na kuliamini kweli? If that´s the case, naomba jichimbie kaburi na ujifukie. Utakuwa umeptwa na wakati.
Trump alikuambiaje kuhusu Journalists. FAKE NEWS! Vyombo vyote vya habari na majournalists wote duniani wamekwisha nunuliwa na Malobyists wa uchumi kama hujui.
Mjadala wa mada hii ulikwisha fungwa.Fake News wakati taasisi ni ileile? Kwa hiyo ya kwako wewe ndo ya ukweli? Una wazimu kweli wewe!