Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Wewe faida unayoijua ni hiyo ya hesabu nyepesi nyepesi za kihasibu. Tukijenga mitandao ya barabara za lami nchi nzima za matrillioni ya fedha, wewe unakuja na hesabu zako nyepesi nyepesi kujua zimepata faida au hasara ya shillingi ngapi. Tukijenga mashule na mahospitali, wewe unakuja kuona zimeingiza pesa ngapi na faida au hasara ni pesa ngapi. Kwenye bwawa la Nyerere, Tanzannite bridge, JPM bridge huko Mwanza etc utafanya hivyo hivyo. Umepotea na CAG wako. Serikali huwa haiwagawii pesa mfukoni wananchi wake bali huwawekea mfukoni maendeleo. Maendeleo hayapimwi kwa hesabu zenu hizo za kujumlisha 2 + 2!

..tunatofautiana.

..ndio maana wewe unaitwa " dr akili. "

..wakati mimi naitwa " jokaKuu. "

..sasa usitegemee kuwa kila mtu amebarikiwa akili nyingi kama zako.
 
There is different physics kwenye train speed. Sio kila train ya umeme inaweza endeshwa kwenye kila line, zingine zinahitaji special lines.

Ujazungumzia usalama wa raia; bongo dual carriage ya Mbagala imeaua mpaka wameiwekea uzio; kuna footbridge mtu anaona inampotezea muda akatize barabarani na anaona gari linakuja speed anajipeleka tu. Barabara imeua hatari mpaka ikawekewa uzio.

Mwingine majuzi Arusha kauliwa na tembo alieingia kwenye maeneo ya raia, yeye kamfata karibu kabisa apige nae selfie.

Sasa fikiria the higher the speed the longer it takes to stop; hizo nchi za ulaya train za speed wameziwekea uzio sehemu zenye wanyama pori.

Imagine Tanzania maeneo mangapi yanawanyama pori, achilia hao kuna wafugaji na mifugo yao, kuna raia wa selfie, kuna wale ambao unajua sehemu za rail crossing watapitisha magari hata kama taa nyekundu imeweka and so forth.

Mie nadhani serikali imeshauriwa namna sahihi ya kuanza huo mradi; hizo train awajakurupuka it’s an informed decision.

UK mpaka leo maximum train speed ni 140 mph kwa sababu za usalama kutokana na miundombinu iliyopo. Train ya 300 mph Tanzania halafu njia aina uzio dah hatari.
 
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!

Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya treni za umeme zenye kuburudisha macho kwa design kama za wenzetu wajerumani.

Mama samia Suluhu Hassan Rais wetu nani kakupa ushauri wa kutua saini ya makubaliano ya kununua treni za aina hiyo? Mimi sitaki kuamini na sikutegema kama aina ya treni ambazo zitatereza kwenye reli yetu zingekuwa na mwonekano huo kwenye hiyo picha ya taarifa tuliyoipata kwenye Website ya hiyo kampuni iliyo shinda zabuni ya Hyndai-Rotem. Mbona inatisha?

Nitashangaa sana kama upande mmoja tumejitahidi kutengeneza Stations nzuri, za kisasa na zenye mwonekano mzuri na wa kupendeza na kupata system yenye technology mpya, alafu leo tunaambiwa kuwa tunapata treni zenye vichwa na mabehewa ya enzi za Hitler? Ama kweli Tanzania tunawatu ambao kweli hawajui kwenda na na wakati. Watu wasiokuwa na test ya biashara. Mnategemea nani mtampata kwenye kwenye hayo ma-wreck yenu?

Mkurugenzi Kadogosa hii sio treni ambazo models zake mtangazaji wako Beni Mwanantala amekuwa akituonyesha kwenye maonyesho uwanja wa sabasaba kurasini.

That's awful! Are you really serious with this mkurugenzi?

Sasa naomba niambie kuna tofauti gani na SGR ya kenya kimwonekano? Inamaana mnatufanya sisi ni masokwe mpaka mnatuletea matakataka kama haya ambayo hakuna mtu anaye yataka?

Waziri wa Ujenzi na uchukuzi hivi ni sahihi kweli sisi watanzania mtusweke kwenye ma-wagon yanayo onekana kama treni za kusafirisha mizigo na wanyama kama haya ambayo hata hayavutii? Mmepewa bure nini? Ama ndiyo tuseme mmedhamiria nini kutuletea? Tuambieni?

Nilipokuwa kwenye jengo lenu la maonyesho ya sabasaba mwaka jana na kujionea mwenyewe models za treni na mabehewa ambayo Mr. Mwanantala alitupa maelezo yake, aisee, nilifarijika sana sana moyoni na niliwaombea baraka nyingi kwa muumba wetu za kuwaongoza vizuri katika shughuli zenu za kuwatumikia Watanzania.

Sikutegemea kabisa kuwa leo ingekuwa siku ya majonzi makubwa kwa kuona au kusikia mashine zitakazo tereza kwenye reli yetu ya kisasa ya SGR kumbe ni madudu ambayo yamepitwa na wakati na yasiyo na mvuto hata lidogo. ES IST SCHRECKLICH!

Suala siyo umbo la treni bali ubora wa bidhaa hiyo.
 
India walinunua kutoka Japani bullet trains 18, kila moja ikiwa na mabehewa 20 kwa jumla ya gharama ya Rs 7,000 crore, crore 1 = 100 lakh. Hii ni sawa na TSh 5 trillion tu kwa bullet trains 18 sawa na TSh 280 billion kwa kila bullet train moja yenye mabehewa 20 ambayo ni ndogo kuliko bei ya Dreamliner moja. Hawa akina Kadogosa hawatuambii hizo treni za enzi ya Hitler wamezinunua kwa bei gani? Hatutashangaa kama wamezinunua kwa bei mbaya kuliko hiyo ya bullet trains. Wajitokeze humu watuambie laa sivyo tutawashitaki kwa wabunge wetu na kwa akina Mbatia na Mbowe.
Ndo hivyo utakuta hizi zimenunuliwa hata kwa 320B kwa kila moja
 
mtoa Uzi unataka bullet train za Japan!? On your dream
What so special Kama tuna SGR ya umeme ,kama tumejenga hiyo SGR ya umeme kwa commitment kubwa kwa nini hiyo commitment tusiitendeee haki Kwenye train yake ,mbona tuna dream linear ndege ambazo ni nashiriki machache yanamiliki
 
Mkuu wewe unataka muonekana ama ubora na ufanisi wa hiyo mashine?

Tulia vitu vifike hapa na kuanza kazi. Tanzania inajengwa na wenye mamlaka.

Sie tulipe kodi tu.
Hakuna cha ubora wa vile, revolution ya treni inaonyesha hiyo ni old model ama hills tren kwenye ma terrains barafu huko sio kwenye smooth environment huku

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
KAMA HATUMUDU VENYE UBORA HAPAKUWA NA MAANA YA KUTENGENEZA SGR TUNGEONGEZA RELI YA KAWAIDA AU KUONGEZA MABARABARA! ME NAAMINI VIONGOZI HAWAJAFANYA MAKOSA KWNYE HILO..😟
 
What so special Kama tuna SGR ya umeme ,kama tumejenga hiyo SGR ya umeme kwa commitment kubwa kwa nini hiyo commitment tusiitendeee haki Kwenye train yake ,mbona tuna dream linear ndege ambazo ni nashiriki machache yanamiliki
Ndiyo kitu ambacho mimi kinanishangaza pia. Nilimwona Kadogosa mzalendo mkubwa enzi za Hayati Magufuli, lakini kumbe ni ovyo namna hii? Sikutegemea!

Mkurugenzi Kadogosa, hizo hela mnazo zitaka kwa ajili ya matumbo yenu zitawasaidia nini katika maisha yenu? Kama mishahara mizuri na hela za posho si mnapata? Yaani bado hamridhiki mpaka muwaibie watanzania hela zao?

Kadosa weka legacy. Ili vizazi vijavyo vikuombee kwa mungu akupe rehema kubwa atakapo kuhitaji zaidi. Acha ubinafsi na uafrika usio na tija. Wasaidie watanzania kupata kile wanacho kihitaji na kukipenda.

Watanzania watakukumbuka daima!
 
Sidhani kama ni swala rahisi kihivyo ndugu, kwanini waunde reli ya kumudu 160km/p? Si wangesema tu kwamba reli hii ina uwezo wa kumudu treni ya kasi yoyote ile?.

Hebu tuache kuzungumzia speed ya 400kph kwanza maana ni nchi chache zinazo-operate treni kwa 400+kph hadi sasa, nyingi ni 200 hadi 300+. Ngoja tukomae kwanza na hii ambayo iko realistic. 160kph bado hatua kubwa kwetu ila tu zinunuliwe model nzuri bwana sio kama hizo zilizo sawa na majirani.

Hii hapa chini ni ya China na imetengenezwa kwenda speed hio.

View attachment 1852191
Haya ndio mambo ningependa kuyaona yakitendeka Tanzania, uwezo upo na reli inajengwa.... Sasa akina Chamliho na Kadogisa hawatakiwi kupepesa macho kwenye hili.... Waagize mashine hizi.
 
Haya ndio mambo ningependa kuyaona yakitendeka Tanzania, uwezo upo na reli inajengwa.... Sasa akina Chamliho na Kadogisa hawatakiwi kupepesa macho kwenye hili.... Waagize mashine hizi.
Haya ndiyo Matangazo yao ambayo Mkurugenzi wa TRC Mh. Kadogosa na watangazaji wake wawili machachari sana Ben Mwanantala na Jamila Mbaruku wamekuwa wakituletea.

Models za treni ambazo wamekuwa wakizinadi kwetu ni zile za mwonekano wa ICE za ujerumani.

Alafu leo tuna ambiwa kuwa wanatuletea treni zenye mwonekano ambao NAZIs wa Hitler Germany walikuwa wanazitumia kuwabeba wayahudi na kuwapeleka kwenye Concentration Camp, Auschwitz.

Sijui Kadogosa atawaambia nini vijana wa kitanzania walio hamasika kumiminika kwenye jengo lao la maonyesho uwanja wa sabasaba Kurasini mwaka 2020. Pamoja na janga la Corona. Ilikuwa ni balaa.
 
Ndiyo kitu ambacho mimi kinanishangaza pia. Nilimwona Kadogosa mzalendo mkubwa enzi za Hayati Magufuli, lakini kumbe ni ovyo namna hii? Sikutegemea!

Mkurugenzi Kadogosa, hizo hela mnazo zitaka kwa ajili ya matumbo yenu zitawasaidia nini katika maisha yenu? Kama mishahara mizuri na hela za posho si mnapata? Yaani bado hamridhiki mpaka muwaibie watanzania hela zao?

Kadosa weka legacy. Ili vizazi vijavyo vikuombee kwa mungu akupe rehema kubwa atakapo kuhitaji zaidi. Acha ubinafsi na uafrika usio na tija. Wasaidie watanzania kupata kile wanacho kihitaji na kukipenda.

Watanzania watakukumbuka daima!
Unawez kuta tofauti kati ya bullet na na hayo Makopo ni hela zisizo zidi bilioni 50 ,hala anakuja mtu anakwaaambie unataka train za ulaya utaweza kununua,
 
Unawez kuta tofauti kati ya bullet na na hayo Makopo ni hela zisizo zidi bilioni 50 ,hala anakuja mtu anakwaaambie unataka train za ulaya utaweza kununua,
Yes, ndivyo hivyo ilivyo. Jamaa ni wapuuzi sana kwa tamaa zao. Mimi wananiudhi!
 
Haya ndiyo Matangazo yao ambayo Mkurugenzi wa TRC Mh. Kadogosa na watangazaji wake wawili machachari sana Ben Mwanantala na Jamila Mbaruku wamekuwa wakituletea.

Models za treni ambazo wamekuwa wakizinadi kwetu ni zile za mwonekano wa ICE za ujerumani.

Alafu leo tuna ambiwa kuwa wanatuletea treni zenye mwonekano ambao NAZIs wa Hitler Germany walikuwa wanazitumia kuwabeba wayahudi na kuwapeleka kwenye Concentration Camp, Auschwitz.

Sijui Kadogosa atawaambia nini vijana wa kitanzania walio hamasika kumiminika kwenye jengo lao la maonyesho uwanja wa sabasaba Kurasini mwaka 2020. Pamoja na janga la Corona ilikuwa ni balaa.

Naona unazidi kujionesha ulivyo kilaza! We unaangalia uwezo wa treni Au muonekano wa treni????

msukule wa Mwendazake
 
There is different physics kwenye train speed. Sio kila train ya umeme inaweza endeshwa kwenye kila line, zingine zinahitaji special lines.

Ujazungumzia usalama wa raia; bongo dual carriage ya Mbagala imeaua mpaka wameiwekea uzio; kuna footbridge mtu anaona inampotezea muda akatize barabarani na anaona gari linakuja speed anajipeleka tu. Barabara imeua hatari mpaka ikawekewa uzio.

Mwingine majuzi Arusha kauliwa na tembo alieingia kwenye maeneo ya raia, yeye kamfata karibu kabisa apige nae selfie.

Sasa fikiria the higher the speed the longer it takes to stop; hizo nchi za ulaya train za speed wameziwekea uzio sehemu zenye wanyama pori.

Imagine Tanzania maeneo mangapi yanawanyama pori, achilia hao kuna wafugaji na mifugo yao, kuna raia wa selfie, kuna wale ambao unajua sehemu za rail crossing watapitisha magari hata kama taa nyekundu imeweka and so forth.

Mie nadhani serikali imeshauriwa namna sahihi ya kuanza huo mradi; hizo train awajakurupuka it’s an informed decision.

UK mpaka leo maximum train speed ni 140 mph kwa sababu za usalama kutokana na miundombinu iliyopo. Train ya 300 mph Tanzania halafu njia aina uzio dah hatari.
Kwa kujibu statement ya paragraph yako ya kwanza ni kwaba sio kweli unacho kisema.
Wajerumani wana Treni nyingi za High-Speed mpaka Max. 330 km/h, lakini nyingi zinapita kwenye lines ambazo uwezo wake ni wa speed ndogo kama 250 km/h mpaka 280 km/h
Wewe unafikiri ukigongwa na gari lenye speed ya 30 km/h utapona? Na kama unaweza kufa unajua ni kwanini? Ukilielewa hili, hapo ndipo utajua kuwa physics ndiyo inapo anza.

Watoto wengi wanakufa mitaani pia, lakini barabara hazina uzio.

Ni kawaida hata sisi treni yetu tutaiwekea uzio sehemu zenye wanyama pori wengi. Na hata maeneo ambayo binadam wengi wanaishi.

Risk ya wafugaji iko kila nchi. Sisi sio wa kwanza. Inabidi tukabiliane nalo kama tunataka maendeleo ya kweli, vinginevyo ni kujidanganya wenyewe.

Waingereza na waamerika wali-mind sana individual life, yaani kila mtu kuwa na gari lake na ndiyo maana wakayaweka magari mbele. Kitu ambacho hawakutambua wakati ule ni hathari zinazotokana na magari kwenye kuharibu mazingira.

Sasa hivi is too late kwao kuwekeza kwenye technojia ya kisasa. Watapata vikwazo vingi sana vya watu.
 
Back
Top Bottom