Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Kitu hichi

640px-Скоростной_поезд_-Хендай-.jpg
 
Dah nguvu zimeniishia! Km hayo ma design ya karne ya 19 ndo Kodi zetu zinaenda nunua! Moto wangu hauna amani kabisa! Nilikuwa na matumaini makubwa sana! Kuona vitu vya kisasa Kama kule China, Europe! Mtoa mada nimekata tamaa km wewe!

labda uwezo pesa yenu ndo umefika hapo.. kiingine kumbuka mazingira ya Afrika na Europe.. unaweza ukaleta Train hapa full fiber na makolokolo kibao.... baada ta mwaka mtaikataa itakavyokuwa imechakaa kwa ustaarabu wetu wa kiafrika ... ndo maana hata kwenye magari kuna magari maalum kwa rough road .... Toyota Landcruiser V8 ni gharama na bora kuliko Land cruiser mkonga.. lakini bado porini Land cruiser mkonga ni durable kuliko V8... its all about mindset ya engineering design ametega kwenye soko lipi...

Angali mwendo kasi zilivyochoka haraka .. service magumashi magari yanawaka moto yenyewe...
 
Asante sana mkuu kwa mchango wako. Nikianza na mchango wako kwenye paragraph yako ya mwisho kuhusu Mabasi ya mwendo Kasi naweza tu kukuambia kwamba sijui ulikuwa ushauri wa nani na kwa madhimuni gani?

Concept ya huu mradi naiona haikuwa imetazamwa kwa kina zaidi toka mwanzo. Kuna mambo mengi ambayo yanaonyesha kuwa huu mradi toka kubuniwa kwake haukuwa na malengo ya kuleta matokeo chanya.

Sababu ya kwanza na kubwa ni kupigwa vita na matajiri wanao endesha biashara zao za usafiri kama; daladala, TAXI, Bajaji, Bodaboda na kadhalika. Hawa hawataufurahia huu mradi hata mara moja, kwani wanaona una wanyima riziki zao za kujipatia kipato kutokana na kukosekana kwa abiria ambao watakuwa wanatumia huduma hii nafuu, kama ilivyo hivibsasa jinsi SGR inavyopigwa vita na waendesha biashara ya malori na mabasi ya abiria yaendayo mikoani.

Sababu ya pili ninayo iona mimi ni concept ya miundo mbinu za barabara na vituo vya mabasi. Tatizo letu sisi watanzania na hasa wahusika wakuu wa kupanga, kuratibu na kuiendesha hiyo miradi, mara nyingi wanakosa visions na uelewa wa kufanya biashara.

Najua wengi watakuwa wamesomea namna ya kuendesha biashara ya vitega uchumi ambavyo pia ni vitoa huduma, hata hivyo wanakosa maarifa ya kujiongeza wenyewe.

Hapa namaanisha kukosa maarifa ya kuvifanya hivyo vitega uchumi vinavyo toa huduma kuviweka katika mazingira ya kuvutia ili wapate wateja wengi na confortability.

Tunajua kuwa Tanzania ni nchi ya joto, nani sasa alituzuia sisi tusivifanye hivyo vituo vya hayo mabasi na hayo mabasi yenyewe yakawa fully airconditioned? Hakuna. Ni ukosefu wa maarifa mapana tu ya waratibu na watendaji kufanya Business.

Katika kufanya hivi walitakiwa waelewe kuwa wanaleta ushindani wa kuendesha biashara kwa watoa huduma wingine, kwa kutoa huduma ambayo ni attraktiv na comfortable, kiasi kwamba watoa service wengine nao wakaongeza quality ya Services zao.

Hii ni chachu ya kuinua Standard ya maisha nchini kama tunavyoona hivi sasa watanzania wengi wanavyojitahidi kuwa na nyumba nzuri za mabati every where.

Sababu ya tatu ni vyombo vyenyewe. Kihistoria huko nyuma tulisha kuwa na usafiri wa aina hii. Tulishindwa kwa sababu ya kuto take care mabasi yetu. Yakiharibika ndiyo basi tena hakuna mtu alijihisi yeye kuwa respnsible na hilo. Waliyatekeleza mabasi na wahuni wakatoa vipuli vinavyo faa kwa ajili ya kujitafutia riziki zao.

Ushauri wangu katika hili tusinge endeleza tena usafiri huu wa mabasi badala yake tungeleta usafiri wa airconditioned trams na commuter trains na vituo vyake, ili ku make service attraktive and confortable kama ilivyo kwa wenzetu.

Trams na commuter trais zingesababisha karakana kubwa kufunguliwa na hivyo kupanua wigo wa kitechnolojia kwa vijana wetu na pia maarifa mapana ya ku-create jobs kwa vijana wetu.

Hivi ndivyo miji na watu wanavyo endelea na hivyo ku-create ajira. Dar es salaam ikianza itaenea hata huko mikoani. Aidha tunakosa watu wenye visions kama hizi au watu wenye visions hawasikilizwi na baadhi ya watandaji wenye upeo finyu wa maisha.
 
Huu ujinga wa kuuziana gari kwa kuweka redio na dash board nzuri ni upuuzi tu.

Sasa wengine design ya nyoka hatutaki hiyo ni nembonya ibilisi tunataka design gogo ishara ya kushiba
 
Samahani mkuu inabidi nisikubaliane na wewe kwa maelezo yako ya kwenye paragraph yako ya mwisho kuwa South Korea wana treni nyingi nzuri. Treni nzuri ambayo nimeiona ni hiyo KTX kidogo. Lakini hizo nyingingine huwezi kuzitumia kama treni za kusafirisha abilia wano safiri masafa marefu.
Hizo ni treni za kupiga masafa ya Bagamoyo na Kibaha, lakini sio masafa ya Mwanza au Dodoma.

Hivyo vichwa vinafaa kuvuta mabehewa ya.mizigo labda,.lakini sio kusafirisha abiria.
Mwonekano. Watu walitaka kuona nashangingi na macho ya mchina.kama zile za Japani na ulaya. Wanatuletea kama za Kenya!?
 
Masanja sie tunataka dubwana kama h ili. Nchi hiI sio maskini by magufuli voice

View attachment 1851473
Exactly. Dude kama hili. Ukiliona tu kwa mbali mwili wenyewee unasisimka kwa shauku ya kutaka kusafiri nalo na kulingishia ulimwengu kuwa sisi manigger nasi tunaweza pia kuwa na kitu kama.

Na sio kuwa na watu ambao hawalitambui hilo na kujali matumbo yao tu. Watu kama hawa tukiwajua ni kuwa-wipe tu. Hawana faida katika jamii na race yetu. Sorry! Napata uchungu kidogo!
 
Asante sana mkuu kwa mchango wako. Nikianza na mchango wako kwenye paragraph yako ya mwisho kuhusu Mabasi ya mwendo Kasi naweza tu kukuambia kwamba sijui ulikuwa ushauri wa nani na kwa madhimuni gani?

Concept ya huu mradi naiona haikuwa imetazamwa kwa kina zaidi toka mwanzo. Kuna mambo mengi ambayo yanaonyesha kuwa huu mradi toka kubuniwa kwake haukuwa na malengo ya kuleta matokeo chanya.

Sababu ya kwanza na kubwa ni kupigwa vita na matajiri wanao endesha biashara zao za usafiri kama; daladala, TAXI, Bajaji, Bodaboda na kadhalika. Hawa hawataufurahia huu mradi hata mara moja, kwani wanaona una wanyima riziki zao za kujipatia kipato kutokana na kukosekana kwa abiria ambao watakuwa wanatumia huduma hii nafuu, kama ilivyo hivibsasa jinsi SGR inavyopigwa vita na waendesha biashara ya malori na mabasi ya abiria yaendayo mikoani.

Sababu ya pili ninayo iona mimi ni concept ya miundo mbinu za barabara na vituo vya mabasi. Tatizo letu sisi watanzania na hasa wahusika wakuu wa kupanga, kuratibu na kuiendesha hiyo miradi, mara nyingi wanakosa visions na uelewa wa kufanya biashara.

Najua wengi watakuwa wamesomea namna ya kuendesha biashara ya vitega uchumi ambavyo pia ni vitoa huduma, hata hivyo wanakosa maarifa ya kujiongeza wenyewe.

Hapa namaanisha kukosa maarifa ya kuvifanya hivyo vitega uchumi vinavyo toa huduma kuviweka katika mazingira ya kuvutia ili wapate wateja wengi na confortability.

Tunajua kuwa Tanzania ni nchi ya joto, nani sasa alituzuia sisi tusivifanye hivyo vituo vya hayo mabasi na hayo mabasi yenyewe yakawa fully airconditioned? Hakuna. Ni ukosefu wa maarifa mapana tu ya waratibu na watendaji kufanya Business.

Katika kufanya hivi walitakiwa waelewe kuwa wanaleta ushindani wa kuendesha biashara kwa watoa huduma wingine, kwa kutoa huduma ambayo ni attraktiv na comfortable, kiasi kwamba watoa service wengine nao wakaongeza quality ya Services zao.

Hii ni chachu ya kuinua Standard ya maisha nchini kama tunavyoona hivi sasa watanzania wengi wanavyojitahidi kuwa na nyumba nzuri za mabati every where.

Sababu ya tatu ni vyombo vyenyewe. Kihistoria huko nyuma tulisha kuwa na usafiri wa aina hii. Tulishindwa kwa sababu ya kuto take care mabasi yetu. Yakiharibika ndiyo basi tena hakuna mtu alijihisi yeye kuwa respnsible na hilo. Waliyatekeleza mabasi na wahuni wakatoa vipuli vinavyo faa kwa ajili ya kujitafutia riziki zao.

Ushauri wangu katika hili tusinge endeleza tena usafiri huu wa mabasi badala yake tungeleta usafiri wa airconditioned trams na commuter trains na vituo vyake, ili ku make service attraktive and confortable kama ilivyo kwa wenzetu.

Trams na commuter trais zingesababisha karakana kubwa kufunguliwa na hivyo kupanua wigo wa kitechnolojia kwa vijana wetu na pia maarifa mapana ya ku-create jobs kwa vijana wetu.

Hivi ndivyo miji na watu wanavyo endelea na hivyo ku-create ajira. Dar es salaam ikianza itaenea hata huko mikoani. Aidha tunakosa watu wenye visions kama hizi au watu wenye visions hawasikilizwi na baadhi ya watandaji wenye upeo finyu wa maisha.

I second you kwenye yote uliyosema... bahat mbaya katika watu kumi mmoja tu ndo anaweza akawa na mentality na ustaarabu kama wako....

nafikiri ukiangalia Nchi nying Africa hasa kwetu.. hatuna desturi ya kutunza vitu.. kuanzia majumbani tunamoishi, maofisini hadi mabarabarani... na bahat mbaya viongoz wetu na wenyewe ni product ya hizi desturi zetu

na sababu kubwa ni moja tu, Uwajibikani .. yaan mtu hawez walau kujaribu kufanya pale mahali alipo pawe salama au safi akiamin sio kazi yake na kuna mtu anatakiwa afanye..

Mwananchi mtaan anaamin utunzaji wa barabara, na miundo mbinu yake ni kazi ya serikali kupitia manispaa au tasisi zake ..

Guess what hata ukienda tanesco au dawasco kuwaambia kwa nn miundo mbinu mibovu ya umeme au maji taka na safi ni mibovu au uende tarura/tanroad uwaambie kwa nini barabara mbovu..

watakwambia hatuna vifaa au funds za kununulia vifaa hakuna. Ndo utagundua Raia anaetupa taka barabaran.. Fundi mzembe wa manispaa .. na kiongoz wa serikali alieko ofcn kwenye kiyoyozi wote hawa waharibifu wa mazingira na miundo mbinu yake

sababu utakuta Kiongoz wa Wizara anapita na gari kwenye barabara mbovu yenye maji machafu yanayotoka kwenye bomba la maji taka linalovuja, huku mama Ntilie pembeni anapika na kumwaga uchafu hapo..

Huyu kiongozi atakasirika na kuwalaan manispaa /tarura kwa uzembe. na pia atamlaan mama muuza chakula kwa kukosa ustaarabu..

kumbe na yeye ni sehem ya uzembe sababu wizaran kalikalia file miaka 3 linalohusu ununuaji wa vifaa bora vya kaz vya mafundi wa manispaa au tarura ili waweze kutekeleza kaz zao kwa ufanisi.. au wakasome kuongeza ujuzi.. sababu yeye yuko wizaran ana deal na Nchi nzima.. haoni kuwa yeye ni sehem ya uzembe kwa kutofanya kazi yake..

Uzembe wa Afrika ni chain inayoanzia juu.. bahat mbaya matokeo yanaonekana huku chini na wanawajibishwa wa huku chini..

lakini mama muuza chakula anaemwaga uchafu ovyo, raia wa kawaida anaetupa taka pamoja fundi mzembe wa manispaa hawana tofauti ya kidesturi na Ofisa wa wizara mvaa suti asietimiza wajibu wake akidhan yeye hausiki.. wote kila mmoja kwa nafasi yake ni waharibifu wasiojua kutunza mazingira yanayowazunguka... bahati mbaya iko kwenye DNA.. inahitaj dhamira dhabit ya hao wakubwa kuweza kuibadili desturi mbovu

la sivyo tutaendelea kulaumu raia anaevunja miundo mbinu ya barabaran. na kulamu mafundi wa mwendo kasi kwa kutofanyia service magari.. ila uzembe wa hao watu ni matokeo ya uzembe wa viongoz

ukiwa mlevi mbwa lazima watoto watarithi ulevi mbwa.. wakija kubadilika basi ni ukubwan tena wakipata exposure ya desturi ingine ndo wajue ulevi mbwa haufai.. nje ya hapo hawatabadilika

Rwanda wameanza na wanafanikiwa taratibu..accountability self discipline ni kubwa Rwanda kwa raia wa kawaida.. na hii inakuonyesha kuwa walioko juu nao walianza kujiwajibisha then ikaambukiza hadi chini.. ila kama nilivyosema dhamira dhabit iwepo
 
Bei mbaya. Tanzania awawezi kununua. La siyo utasikia wakina Maria Sarungi wakilia. Unanunua hizo wakati atuna shule. Magari ya kupima moto nk...
Hao ndiyo hao watu ambao wamesha surrender utu wao kwa kumtumikia caucasian. Ni watu wasio jitambua na kujiamini. Hata ufanye nini hutawabadili tena.

Nje wanaonekana wako kama sisi, lakini ndani ni viumbe hafifu sana. Ni viumbe ambavyo mbele ya caucasian vina behave kama nyoka akimwona chatu. Anajua hana chake tena. Sio wa kuwaendekeza tena.

Kwanza hao jamaa naona wana pigania vitu ambavyo wazungu wenyewe wamesha ondokana navyo.

Huu sio ulimwengu wa kupigania, sijui demokrasia na haki za binadam. Huu ni ulimwengu wa kushindana kwa kiteknolojia.
Kwanza hata wenyewe haya hawana. Wanamfundisha mtanzania vitu ambavyo sisi tunaviishi? Kuna nchi inafuata misngi ya haki za binadam kama Tanzania?

Lini mtanzania alipigana ethnic war? Au vita vya kidini? Kama dada yangu mkristo na shangazi yangu mkristo wanazaa na kuishi na wanaumme zao waislam, kuna vita tena hapo ya kidini?

Haki gani za binadam wanazozitaka wao? Ni waongo tu. Wamesha kuwa brain washed na caucasians ili watuweke sisi chini. No way!!

Watanzania hatutokubali upuuzi wa namna hiyo na wapotelee mbali huko, hatuta wamiss!!
 
mbona marekani sijawai kusikia wakisema trump kanunua treni au biden. raisi ananuaje treni?
Nakusikitikia sana mkuu kwa kuwa na ubongo usio weza kuwa na kumbukumbu nzuri. Sijui unaishi ulimwengu gani? Kama hujasikia mambo ambayo yametokea wakati wa Trump era kuhusu vifaa vya kijeshi na mambo ya NATO, mpaka akasema; "NATO is obsolet", basi jichimbie kaburi ujizike mwenyewe au watu wakuzike, maana inaonekana kama vile umefufuliwa tena kwa kukuyeyusha kutoka kwenye deep freezer za watu wa Timeline yako walikuwa wamekugandisha.
 
Huu ujinga wa kuuziana gari kwa kuweka redio na dash board nzuri ni upuuzi tu.

Sasa wengine design ya nyoka hatutaki hiyo ni nembonya ibilisi tunataka design gogo ishara ya kushiba
[emoji106]
 
Watanzania ni dreamers! Waota ndoto za Alinacha, yaani mtu anataka serikali ya wanyonge inunue BULLET TRAIN. Mahokaaa ya Pwagu na Pwaguzi.
Dona kantri tunajilinganisha na Japan.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Watanzania ni dreamers! Waota ndoto za Alinacha, yaani mtu anataka serikali ya wanyonge inunue BULLET TRAIN. Mahokaaa ya Pwagu na Pwaguzi.
Dona kantri tunajilinganisha na Japan.

Everyday is Saturday............................... [emoji41]
Hayati Magufuli katufundisha ku-dream Big! Na kweli tume Dream Big ndiyo maana tumepata SGR ya umeme. Wewe katika maisha yako so far ulitegemea leo kuiona treni ya umeme Tanzania?

Magufuli has made it possible for us. He showed us how it can be done. And if he succeeded doing it, why cann't we also be pretty sure that we gonna have the same success which he had. Why not?

Kwani wajapani na wajerumani au wafaransa walikuwa navyo hivyo vitu huko nyuma? Si baada ya shujaa mmoja, George Stephenson, mbritish kuanza ndiyo wengine wote nao wakapata knowledge ya kutengeneza treni kama George Stephenson.

Kama miaka 30 iliyopita wachina walikuwa third World, lakini sasa ni ma-giant, nasisi tutaweza pia. Sisi wote ni binadam tunaweza kuiga vilevile kama wengine. Hakuna kisichowezekana.
 
Back
Top Bottom