Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Mahali inapofanyiwa majaribio ndipo ninapoishi mimi NRW kwenda münchen ambako nimeishi miaka 20 pia. Nadhani target ya hii ICE 5 hadi 2022 iwe imekidhi kiwango cha 330km/h kwa hivyo utaona tofauti ya kuwa nayo bado pia kuna kuwa na muda wa kuifanyia majaribio kama inakidhi kile haswa kinachohitajika. Ndiyo maana ninaona mjadala huu una umuhimu mno kwa maendeleo ya hiyo SGR yetu
Asante sana sina cha kuongeza. Mimi pia niliishi miaka 22 Duesseldorf NRW. Nilisoma Duesseldorf. Nimeishi Hamburg miaka miwili, Munich miaka miwili, Berlini miaka minne, Görlitz miaka miwili, Bremen miezi sita, Stuttgart miaka miwili na sasa Niko Hessen. Mji ambao nimeupenda ni Berlin. Yaani nilivyoambiwa niondoke Berlin, nililia sana. Nimeipenda system yao ya usafiri wa umma (Öffentliche Verkehrsmittel).
 
Hivi jamani sisi tunaopenda kununua vyakula kama mayai, hafu keki, mahindi ya kuchomwa/kuchemshwa safarini kama pale Chalinze, kwenye hayo madude tutayapatia wapi? Yani mimi kupanda chombo bila ya kununua hizo bidhaa kwa dirishani naona kama sijasafiri.
Utazoea tu. Wenzetu nao walikuwa kama sisi. Wakabadilika na wakati. Isikupe hofu. Kwanza katika High-speed Train huta kumbuka kula kitu. Utakuwa unafurahia entertaiment ya kweye train.
 
Asante sana sina cha kuongeza. Mimi pia niliishi miaka 22 Duesseldorf NRW. Nilisoma Duesseldorf. Nimeishi Hamburg miaka miwili, Munich miaka miwili, Berlini miaka minne, Görlitz miaka miwili, Bremen miezi sita, Stuttgart miaka miwili na sasa Niko Hessen. Mji ambao nimeupenda ni Berlin. Yaani nilivyoambiwa niondoke Berlin, nililia sana. Nimeipenda system yao ya usafiri wa umma (Öffentliche Verkehrsmittel).
Umeona sasa wewe ni jirani yangu muda si mrefu mimi nimehamia Hagen pembeni ya Dortmund. Hessen na hagen ni dakika kadhaa tu ndiyo maana ya kuwa kwenye jamii forum
 
Hii ya Australia waliagiza 2019View attachment 1849120
Hivyo wewe unaiona hii treni ni babu kubwa hata kama speed yake ni 160 km/h? Mimi sasa nakuambia niamini ninacho kuambia. Hii kwa mwonekano tu najua ni treni ya qulity gani. Bila kumung´unya maneno. Hii sio treni ya kusafiri masafa marefu kama wa Europeans wanavyo fanya. Europe sio kama Amerika. Watu Europe wanajua maisha ya kusafiri brother. Vyombo vyao vya usafiri ni vizuri sana. Sio masihala bro.

Labda nikueleze kwa nini? Mara nyingi utakuta watu wanaishi mji mwingine na kufanya kazi mji mwingine. kuna watu wanaishi Düsseldorf au Colon wanafanya kazi Frankfurt. Wanasafiri asubuhi na kurudi jioni. Sasa katika hali kama hii hawawezi wakasafiri kwa treni za kuwachosha. Ndiyo maana wanatumia kwenye umbali huo ICEs. Ni very confortable na so quick.
 
Umeona sasa wewe ni jirani yangu muda si mrefu mimi nimehamia Hagen pembeni ya Dortmund. Hessen na hagen ni dakika kadhaa tu ndiyo maana ya kuwa kwenye jamii forum
Yeaah! Tutakutana tu siku. Utakuwa kwenye party ya UTU Germany Mönchengladbach tarehe 31. mwezi huu?
 
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!

Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya treni za umeme zenye kuburudisha macho kwa design kama za wenzetu wajerumani.

Mama samia Suluhu Hassan Rais wetu nani kakupa ushauri wa kutua saini ya makubaliano ya kununua treni za aina hiyo? Mimi sitaki kuamini na sikutegema kama aina ya treni ambazo zitatereza kwenye reli yetu zingekuwa na mwonekano huo kwenye hiyo picha ya taarifa tuliyoipata kwenye Website ya hiyo kampuni iliyo shinda zabuni ya Hyndai-Rotem. Mbona inatisha?

Nitashangaa sana kama upande mmoja tumejitahidi kutengeneza Stations nzuri, za kisasa na zenye mwonekano mzuri na wa kupendeza na kupata system yenye technology mpya, alafu leo tunaambiwa kuwa tunapata treni zenye vichwa na mabehewa ya enzi za Hitler? Ama kweli Tanzania tunawatu ambao kweli hawajui kwenda na na wakati. Watu wasiokuwa na test ya biashara. Mnategemea nani mtampata kwenye kwenye hayo ma-wreck yenu?

Mkurugenzi Kadogosa hii sio treni ambazo models zake mtangazaji wako Beni Mwanantala amekuwa akituonyesha kwenye maonyesho uwanja wa sabasaba kurasini.

That's awful! Are you really serious with this mkurugenzi?

Sasa naomba niambie kuna tofauti gani na SGR ya kenya kimwonekano? Inamaana mnatufanya sisi ni masokwe mpaka mnatuletea matakataka kama haya ambayo hakuna mtu anaye yataka?

Waziri wa Ujenzi na uchukuzi hivi ni sahihi kweli sisi watanzania mtusweke kwenye ma-wagon yanayo onekana kama treni za kusafirisha mizigo na wanyama kama haya ambayo hata hayavutii? Mmepewa bure nini? Ama ndiyo tuseme mmedhamiria nini kutuletea? Tuambieni?

Nilipokuwa kwenye jengo lenu la maonyesho ya sabasaba mwaka jana na kujionea mwenyewe models za treni na mabehewa ambayo Mr. Mwanantala alitupa maelezo yake, aisee, nilifarijika sana sana moyoni na niliwaombea baraka nyingi kwa muumba wetu za kuwaongoza vizuri katika shughuli zenu za kuwatumikia Watanzania.

Sikutegemea kabisa kuwa leo ingekuwa siku ya majonzi makubwa kwa kuona au kusikia mashine zitakazo tereza kwenye reli yetu ya kisasa ya SGR kumbe ni madudu ambayo yamepitwa na wakati na yasiyo na mvuto hata lidogo. ES IST SCHRECKLICH!

Magufuli asingenunua hii! Trust me. Miradi yote aliyosimamia Magufuli ilikuwa na kwalite alizozoea kusema "kama Ulaya"; hii siyo treni ya kwalite hiyo.
 
Hizo zilishanunuliwa na awamu ya 5,mama kafanyiwa delivery tu..sema kweli halina mvuto,likekaa kaa tu kama kontena la Maersk[emoji23][emoji23]
Siyo kweli; ukisoma article hiyo, inaonyesha wamepata contract hiyo siku sita tu zilizopita. Magufuli alikuwa na tabia ya kutangaza makampuni yaliyopewa contract za miradi mikubwa: Boeing Dreamliner, Airbus, Ujenzi wa madaraja mbali mbali hasa yale yenye high visibility kama Tanzanite na flyovers zote za Dar es Salaam. Tulikuwa hatuambiwi terms za contract, lakini tulikuwa na tunaambiwa nani kashinda tenda. Hii mbona imekuja kimya kimya tu?
 
Hatujapinga High-speed train, bali tunataka vitu vya vinavyo kwenda na wakati. Hili dude la kisoviet hatulitaki.
Mkuu hiyo train aina shida, isitoshe nchi ndio kwanza inaanza kutumia hiyo technology.

There is a lot to learn on how to operate electric system achana na train yenyewe kuna swala la ku supply umeme kwenye hizo nyaya high speed requires high voltage (atujajiridhisha bado kama tunaweza supply umeme) wa train ya 160km/h reliably tuanze kufikiria train 300km/h.

Train zenyewe zinaenda kasi watanzania wajuaji god knows hiyo train kwa mwaka itagonga mifugo mingapi na binadamu wangapi kwa njia ambayo aina uzio kabla watu kuelewa honi ikipigwa ujatoka kwenye reli sekunde chache ata kama train ulikiwa uioni mara hiyo hapo.

Mi naedhani walionunua wameshauria vizuri kitaalamu based na changamoto za high speed rail in many aspects na hizo train ni sahihi kwa kuanzia.
 
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!

Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya treni za umeme zenye kuburudisha macho kwa design kama za wenzetu wajerumani.

Mama samia Suluhu Hassan Rais wetu nani kakupa ushauri wa kutua saini ya makubaliano ya kununua treni za aina hiyo? Mimi sitaki kuamini na sikutegema kama aina ya treni ambazo zitatereza kwenye reli yetu zingekuwa na mwonekano huo kwenye hiyo picha ya taarifa tuliyoipata kwenye Website ya hiyo kampuni iliyo shinda zabuni ya Hyndai-Rotem. Mbona inatisha?

Nitashangaa sana kama upande mmoja tumejitahidi kutengeneza Stations nzuri, za kisasa na zenye mwonekano mzuri na wa kupendeza na kupata system yenye technology mpya, alafu leo tunaambiwa kuwa tunapata treni zenye vichwa na mabehewa ya enzi za Hitler? Ama kweli Tanzania tunawatu ambao kweli hawajui kwenda na na wakati. Watu wasiokuwa na test ya biashara. Mnategemea nani mtampata kwenye kwenye hayo ma-wreck yenu?

Mkurugenzi Kadogosa hii sio treni ambazo models zake mtangazaji wako Beni Mwanantala amekuwa akituonyesha kwenye maonyesho uwanja wa sabasaba kurasini.

That's awful! Are you really serious with this mkurugenzi?

Sasa naomba niambie kuna tofauti gani na SGR ya kenya kimwonekano? Inamaana mnatufanya sisi ni masokwe mpaka mnatuletea matakataka kama haya ambayo hakuna mtu anaye yataka?

Waziri wa Ujenzi na uchukuzi hivi ni sahihi kweli sisi watanzania mtusweke kwenye ma-wagon yanayo onekana kama treni za kusafirisha mizigo na wanyama kama haya ambayo hata hayavutii? Mmepewa bure nini? Ama ndiyo tuseme mmedhamiria nini kutuletea? Tuambieni?

Nilipokuwa kwenye jengo lenu la maonyesho ya sabasaba mwaka jana na kujionea mwenyewe models za treni na mabehewa ambayo Mr. Mwanantala alitupa maelezo yake, aisee, nilifarijika sana sana moyoni na niliwaombea baraka nyingi kwa muumba wetu za kuwaongoza vizuri katika shughuli zenu za kuwatumikia Watanzania.

Sikutegemea kabisa kuwa leo ingekuwa siku ya majonzi makubwa kwa kuona au kusikia mashine zitakazo tereza kwenye reli yetu ya kisasa ya SGR kumbe ni madudu ambayo yamepitwa na wakati na yasiyo na mvuto hata lidogo. ES IST SCHRECKLICH!

Mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake., Izi Treni sio mbaya nchi yenu bado ni maskini, mambo ya kisasa sijui ulaya mtayaweza wapi?
 
Siyo kweli; ukisoma article hiyo, inaonyesha wamepata contract hiyo siku sita tu zilizopita. Magufuli alikuwa na tabia ya kutangaza makampuni yaliyopewa contract za miradi mikubwa: Boeing Dreamliner, Airbus, Ujenzi wa madaraja mbali mbali hasa yale yenye high visibility kama Tanzanite na flyovers zote za Dar es Salaam. Tulikuwa hatuambiwi terms za contract, lakini tulikuwa na tunaambiwa nani kashinda tenda. Hii mbona imekuja kimya kimya tu?
Ni kweli mkuu na asante kwa kunikumbusha hilo. Hata mimi nashangaa. Imekuwa kimya imya mno, ili waweze kutuchapa.
 
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!

Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya treni za umeme zenye kuburudisha macho kwa design kama za wenzetu wajerumani.

Mama samia Suluhu Hassan Rais wetu nani kakupa ushauri wa kutua saini ya makubaliano ya kununua treni za aina hiyo? Mimi sitaki kuamini na sikutegema kama aina ya treni ambazo zitatereza kwenye reli yetu zingekuwa na mwonekano huo kwenye hiyo picha ya taarifa tuliyoipata kwenye Website ya hiyo kampuni iliyo shinda zabuni ya Hyndai-Rotem. Mbona inatisha?

Nitashangaa sana kama upande mmoja tumejitahidi kutengeneza Stations nzuri, za kisasa na zenye mwonekano mzuri na wa kupendeza na kupata system yenye technology mpya, alafu leo tunaambiwa kuwa tunapata treni zenye vichwa na mabehewa ya enzi za Hitler? Ama kweli Tanzania tunawatu ambao kweli hawajui kwenda na na wakati. Watu wasiokuwa na test ya biashara. Mnategemea nani mtampata kwenye kwenye hayo ma-wreck yenu?

Mkurugenzi Kadogosa hii sio treni ambazo models zake mtangazaji wako Beni Mwanantala amekuwa akituonyesha kwenye maonyesho uwanja wa sabasaba kurasini.

That's awful! Are you really serious with this mkurugenzi?

Sasa naomba niambie kuna tofauti gani na SGR ya kenya kimwonekano? Inamaana mnatufanya sisi ni masokwe mpaka mnatuletea matakataka kama haya ambayo hakuna mtu anaye yataka?

Waziri wa Ujenzi na uchukuzi hivi ni sahihi kweli sisi watanzania mtusweke kwenye ma-wagon yanayo onekana kama treni za kusafirisha mizigo na wanyama kama haya ambayo hata hayavutii? Mmepewa bure nini? Ama ndiyo tuseme mmedhamiria nini kutuletea? Tuambieni?

Nilipokuwa kwenye jengo lenu la maonyesho ya sabasaba mwaka jana na kujionea mwenyewe models za treni na mabehewa ambayo Mr. Mwanantala alitupa maelezo yake, aisee, nilifarijika sana sana moyoni na niliwaombea baraka nyingi kwa muumba wetu za kuwaongoza vizuri katika shughuli zenu za kuwatumikia Watanzania.

Sikutegemea kabisa kuwa leo ingekuwa siku ya majonzi makubwa kwa kuona au kusikia mashine zitakazo tereza kwenye reli yetu ya kisasa ya SGR kumbe ni madudu ambayo yamepitwa na wakati na yasiyo na mvuto hata lidogo. ES IST SCHRECKLICH!

Mkuu hata treni wataka uchague ipi inunuliwe?
 
Magufuli asingenunua hii! Trust me. Miradi yote aliyosimamia Magufuli ilikuwa na kwalite alizozoea kusema "kama Ulaya"; hii siyo treni ya kwalite hiyo.
Sure mkuu. Alizoea kusema Tanzania itakuwa kama Ulaya. Jamaa alikuwa na Vision kubwa sana. Yaani alikwisha ona wapi Tanzania inakwenda na kitu gani kifanyike.

Aisee naamini kuwa wamemuua. Sasa napata picha kamili. Asante sana mkuu kwa kunifumbua macho.
 
Mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake., Izi Treni sio mbaya nchi yenu bado ni maskini, mambo ya kisasa sijui ulaya mtayaweza wapi?
Inawezekana ukawa na umasikini wa akili mkuu. Hilo nalo ni tatizo kubwa sana katika maisha usipo litambua. Wewe unaonyesha kuwa umesha ji-disqualify mwenyewe katika maisha ya kuitwa binadam kwa kujiona kuwa wewe ni sawa na sokwe, kiumbe kisicho stahili kuwa na maendeleo ya vitu.

Nakusikitikia sana. Na kwa ajabu mara nyingi inakuwa hivi, watu kama nyie mnabahatika kuwa na maamuzi ambayo ndiyo yanayo leta hasara katika maisha ya mwafrika.

Wewe uko tayari kummpa priority caucasian kuliko wewe mwenyewe. Yaani automatically umesha ji-categorize kuwa wewe ni slave na yeye ni master anaye stahili vitu vizuri vyote ambavyo binadam amevitengeneza.

Wewe sio kiumbe hai tena katika fikra. Ni kiumbe mfu. Huna maisha. Nyie ndiyo watu ambao kwa maslahi ya wazungu mko tayari kuwaacha waafrika wenzenu wateketee kwa sababu ya miungu mtu wenu wazungu.

Ndiyo akina Lissu nyie. Utakimbiaje nchi yako ukisingizia kuwa kuna watu wasiojulikana wanataka kukuua, wakati huo huo unafanya kampeni za kutaka kushika madaraka ya kuwaongoza watu hao hao wanao tala kukuua. Ya nini tena uwaongoze watu wanaotaka kukua?

Mwenyewe wala hajitambui kuwa anachofanya ni disgrace kwa race yetu. Kwa uroho wa madaraka tu anakubali hata kuuza utu wake kwa caucasian. Akitegemea kuwa wao wamsaidie kuyapata madaraka hayo.

Acha fikra za kijinga za kuona kuwa wewe hustahili vitu vizuri kwenye nchi yako. Hizo ni fikra za kinyama zisizokubalika na human race yeyote ile duniani.

Wanachostahili wazungu nasi tunastahili pia. Hakuna aliye juu ya mwenzie!
 
Hawajajua hata inayokuja ni ipi washaanza kutoa povu. Ikifika je?
Kwasababu hujui kutofautisha vitu vizuri na confortable one na vile vibaya ambavyo sio conortable one! Hujui maana ya quality. Nafikiri hii maana ya quality bado haijakuingia kwenye akili yako kuwa ni kitu gani?

Hebu tumkumbuke Hayati Magufuli alichosema;

Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!

Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya treni za umeme zenye kuburudisha macho kwa design kama za wenzetu wajerumani.

Mama samia Suluhu Hassan Rais wetu nani kakupa ushauri wa kutua saini ya makubaliano ya kununua treni za aina hiyo? Mimi sitaki kuamini na sikutegema kama aina ya treni ambazo zitatereza kwenye reli yetu zingekuwa na mwonekano huo kwenye hiyo picha ya taarifa tuliyoipata kwenye Website ya hiyo kampuni iliyo shinda zabuni ya Hyndai-Rotem. Mbona inatisha?

Nitashangaa sana kama upande mmoja tumejitahidi kutengeneza Stations nzuri, za kisasa na zenye mwonekano mzuri na wa kupendeza na kupata system yenye technology mpya, alafu leo tunaambiwa kuwa tunapata treni zenye vichwa na mabehewa ya enzi za Hitler? Ama kweli Tanzania tunawatu ambao kweli hawajui kwenda na na wakati. Watu wasiokuwa na test ya biashara. Mnategemea nani mtampata kwenye kwenye hayo ma-wreck yenu?

Mkurugenzi Kadogosa hii sio treni ambazo models zake mtangazaji wako Beni Mwanantala amekuwa akituonyesha kwenye maonyesho uwanja wa sabasaba kurasini.

That's awful! Are you really serious with this mkurugenzi?

Sasa naomba niambie kuna tofauti gani na SGR ya kenya kimwonekano? Inamaana mnatufanya sisi ni masokwe mpaka mnatuletea matakataka kama haya ambayo hakuna mtu anaye yataka?

Waziri wa Ujenzi na uchukuzi hivi ni sahihi kweli sisi watanzania mtusweke kwenye ma-wagon yanayo onekana kama treni za kusafirisha mizigo na wanyama kama haya ambayo hata hayavutii? Mmepewa bure nini? Ama ndiyo tuseme mmedhamiria nini kutuletea? Tuambieni?

Nilipokuwa kwenye jengo lenu la maonyesho ya sabasaba mwaka jana na kujionea mwenyewe models za treni na mabehewa ambayo Mr. Mwanantala alitupa maelezo yake, aisee, nilifarijika sana sana moyoni na niliwaombea baraka nyingi kwa muumba wetu za kuwaongoza vizuri katika shughuli zenu za kuwatumikia Watanzania.

Sikutegemea kabisa kuwa leo ingekuwa siku ya majonzi makubwa kwa kuona au kusikia mashine zitakazo tereza kwenye reli yetu ya kisasa ya SGR kumbe ni madudu ambayo yamepitwa na wakati na yasiyo na mvuto hata lidogo. ES IST SCHRECKLICH!

ccm ni ileile hawajawahi kuwa na mapenzi mema na watanzania,nguvu yao kubwa wanawekeza kwenye kutokomeza wapinzani, japo kila aliyejaribu kupambana na upinzani alitangulia yeye
 
Back
Top Bottom