Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
- Thread starter
- #521
Hata ndani unafikiri ukisafiri kwa mda mrefu utajisikia vizuri. Jinsi unavyoiona nje usifikiri ndani itakuwa vingine. Nashanga leo bado tunaletewa wagons zenye fans au mapangaboi ndani. Tumekuwa masokwe sisis?acha ujinga wewe muonekanao unakusaidia nini cha msing ni speed na mazingira ya ndani
Namwomba Mkurugenzi wa TRC atuonyeshe Requirement Dokument walio wapa Hyundai-Rotem ili tujue ni treni ya aina gani na equipment gani tuzitegemee. Kama itakuwa na mapanga boi kama hizi tulizo nazo na hazina Air condition kwenye compartments, basi lazima tuli-volt. Hiyo itakuwa ni fedheha kwetu kama binadam.
Mkurugenzi Kadogosa tunataka Requirement Document tuione ili tuweze kurekebisha mambo mapema sana.