Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Tuliza boli mkuu, muundo unaoonekana hapo hauwezi kutumika kwenye speed ya km 160 kwa saa, hizo ni zile za mijini. Kwa vyovyote vile zitakazotumika hapa kwetu ni lazima ziwe zimechongoka kwa mbele.
We can only hope!
 
Waache kutuzingua. Imekuwaje zile zilizoagizwa mwanzo au kuna watu wamekata kona?
Ni waziri wa ujenzi na uchukuzi au mkurugenzi wa Kadogosa ndiyo mwenye uelewa huo. Humu ndani sijui kama kuna mtu anajibu sahihi.
 
Mama Raisi Samia zimeibuka lawama mitandaoni uu ya aina ya treni inayodaiwa kuwa ndio serikali ya Tanzania imeiagiza.

Picha ya treni hiyo inasambaa mitandaoni huku serikali yako ikilaumiwa na baadhi ya watu kunnua treni zenye muonekano wa kizamani(hazina mvuto kulinganisha na hizi za kisasa).

Binafsi sitaki kuamini serikali yako iliyoingia madarakani miezi michache iliopita, ndio inahusika na manunuzi haya kama kweli yapo, hivyo nakushauri utoke hadharani na uwaeleze watanzania ukweli.

Wale wale wanapinga Katiba Mpya na uwazi wa mikataba, ndio wamekuwa wa kwanza kulalamika.

MATGA, hasa SUKUMA GANG, ni Corona virus wenye umbo la kibinadamu .

Hoja yako ingekuwa na nguvu ya kujadiliwa kama ungeweka "specifications" za "train" zilizoagizwa. Bila hivyo endelea na uzushi wa vijiweni, ati zimeibuka lawama mitandaoni juu ya aina ya treni inayodaiwa kuwa ndio serikali ya Tanzania imeiagiza na bado unaweka kifua kumtaka Rais ajibu! Du, haki na uhuru wa mawazo ukitumika vibaya!
 
No way. Basi wewe hukutambua taste ya Hayati Magufuli! Hayati Magufuli alikuwa anapenda vitu vizuri!
Hahaaaa!!maajabu mtu atakuwaje anapenda vitu vizuri lakini ana muona tajiri adui?!!na kuona raha kila mtu kuishi maisha ya unyonge?!!alikuwa na roho ya uharibufu tu!!kwa taarifa yako, mkataba huo wa hivyo vichwa vya treni na mabehewa yako, ulishasainiwa siku nyingi na ndio maana wanakwambia mwakani usafiri unaanza, kwa akili zako unafikuria sasa ndio wanaanza kuvitengeneza?na mbona hata vya majaribio vilishaletwa?!!
 
Mama Raisi Samia zimeibuka lawama mitandaoni uu ya aina ya treni inayodaiwa kuwa ndio serikali ya Tanzania imeiagiza.

Picha ya treni hiyo inasambaa mitandaoni huku serikali yako ikilaumiwa na baadhi ya watu kunnua treni zenye muonekano wa kizamani(hazina mvuto kulinganisha na hizi za kisasa).

Binafsi sitaki kuamini serikali yako iliyoingia madarakani miezi michache iliopita, ndio inahusika na manunuzi haya kama kweli yapo, hivyo nakushauri utoke hadharani na uwaeleze watanzania ukweli.

Wale wale wanapinga Katiba Mpya na uwazi wa mikataba, ndio wamekuwa wa kwanza kulalamika.

MATGA, hasa SUKUMA GANG, ni Corona virus wenye umbo la kibinadamu .
Za Magu (may his precious soul rest in eternal peace and power amen 🙏) tunazojua, zina hadhi ya station ya tanzanite! Haya mengine SSH atueleze alikoyatoa😡! Hatuwezi kujenga sgr ya kiwango hicho ili kupitisha train zilizopo kwenye museums za wenzetu! Hii kama ni kweli siyo sawa hata kidogo! Tunataka train zetu😡!
 
Tena zipo aina nyingi tu na wanauza nchi nyingi tu sisi sio wa kwanza
Nashangaa jamaa anaponda utafikiri yuko kiwandani
Haijalishi kama niko kiwandani au sio. Hii ni digital era, kwa hiyo ni busara nasi tukawa na vitu vya kuvutia na sio kuendelea kusafiri na treni ambazo zinaonekana kama ma-Container ya HAPAG Lloyd. Kwani tumekuwa mizigo sisi?
 
Hizo pesa za kununua treni za Kisasa mnazo ?
Kama wao waliona kuwa huo uwezo hatuna basi hapakuwa na sababu ya kuanzisha miradi kama hii. Ya nini sasa? Hizo hela zetu tungeweza kuzifanyia kazi nyingine za maendeleo, badala ya kupoteza hela nyingi kwenye technology ambayo walikwisha jua hawata imudu.
 
Hiki kizazi kimejaa watu wapumbavu sana. Hiyo tender ilipita wakati wa Magufuli na mnataka kumlaumu Rais wa sasa ili mfiche madhambi ya mungu wenu aliyekufa kwa Covid.

Tafuteni lini hiyo tender ilikuwa awarded kwa hao Hyundai ndio muelewe.
Kama ilipita kipindi hicho basi imechakachuliwa baada ya yaliyotokea, kamwe mleta dreamliner hawezi leta vimbweka hivyo😠!
Tutakukumbuka daima shujaa wetu mpendwa Mh Dr JPM ( may your precious soul rest in eternal peace and power amen 🙏)!
 
Mbona linafanana na "mitungi ya chang'aa" ya majirani yanayotumia diesel!

Ila kwenye hiyo link hawajaelezea ni model ipi italetwa maana hao Hyundai Rotem Wana design kibao tu.

Kama ni hiyo juu ikipakwa "marangi" ya TRL na akina Kadogosa,itakuwa madude ya kunyamazishia Watoto.

BTW: Nimefarijika kuona hiyo 160Km/h kumbe siyo fix.
Li mdoli la kutisha watoto eeeh😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😭!
Tutakukumbuka sana shujaa wetu mpendwa Mh Dr JPM (may your precious soul rest in eternal peace and power amen 🙏)! Uliitaka vilivyobora tu ndio viingie Tz! Kama dream liner💪! Hawa ilimradi liende wasituzoee unajua 😡!
 
Back
Top Bottom