Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
- Thread starter
- #321
Kwa trains zilizoonyeshwa hapo juu?Ndio Mkuu hizo zote ni za kampuni tajwa
Ni kampuni kubwa na ni maarufu wanatengeneza vitu vingi sio trains tu
Nimeangalia website zao
Kuhusu kumaliza Dar- Dom sijui labda hela zimebana
Taratibu tutafika