Rais Samia naomba usimsahau Elia Wilinasi hata kwenye ukuu wa wilaya

Acha kelele wewe mwache mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani kipenzi Cha watanzania ,

Mzalendo wa kwelii ,mwenye upendo wa dhati na nchi hii atutumikie watanzania.

Pia Tambua kuwa uongozi unatoka kwa Mungu pekee na siyo kujipigia promo
Hata Lucas mwashambwa jamaa anajitahidi sana kuonekana.... Taarifa zake tunafikisha pia. Anajaribu sana kwa IDs zake zote. Naye wamwone. Akionekana atapata na muda wa kumpumzika. Wenzie baada ya kuukwaa wakawa busy humu hawaonekani tena.
 

Kwanini unamuombea kazi na asiombe mwenyewe?.
 
Ni bongo tu mtu anaamin kupata cheo kupitia kelele zamitandaon

Toka jana umeanza kumuelezea huyo mtu wako.

Afanye Jambo ambalo litaonekana waz la manufaa kupiga kelele mitandaoni siyo sehemu sahh ya mtu kupata nafas Kama hyo

Taasisi ya urais miaka hii imekuwa ya hovyo sna kila mtu anaweza piga kelele mtandaon kumpigia debe mtu wake badala ya kuonesha ulichonacho vetting ije baadae lakn bongo tunaamin nafas kwanza uwezo utaujulia hukohuko

Muulize Pascal Mayalla mwaka wa ishirin huu haonekani mbele ya wanaofanya vetting pamoja na uwezo aliouonesha maeneo MBALIMBALI.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Daah yaani umemuina yeye tu?
Unamwombea ajira mmeo?
Kwanini umuombee wewe?
Ana kitu gani cha ziada kumzidi mchopanga?πŸ˜‚πŸ˜‚
Unapendekeza nani aondolewe ili yeye apewe nafasi?
Boss unamaswali yenye mantiki sana. Ila kiukweli huyu mtu anapenda kulitumikia taifa lake sana.
 
Acha kelele wewe mwache mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani kipenzi Cha watanzania , Mzalendo wa kwelii ,mwenye upendo wa dhati na nchi hii atutumikie watanzania, pia Tambua kuwa uongozi unatoka kwa Mungu pekee na siyo kujipigia promo
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Mtag Rais basi... IDs zako zote zinakiwa ziwe active. Jitahidi dogo...sisi haya mambo yameshatulipa. Pambana.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Mtag Rais basi... IDs zako zote zinakiwa ziwe active. Jitahidi dogo...sisi haya mambo yameshatulipa. Pambana.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Hivi kuna mtu anaijua ID ya Presida hapa.
 
Ni kweli boss, Ila mdomo ndio silaha ya mafanikio. Ili ufanikiwe jitahidi sana kufungua mdomo. Ukishindwa kabisa andika unachotaka kusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…