Rais Samia, nasikitishwa na mateso anayopitia Mbowe katika utawala wako

Natamani nione uzee wa mbowe mpaka siku ya kuondoka kwake duniani.
 
Ni Imani yangu kuwa hapendi haya yaliyotokea na yanayo endelea ila mfumo uliokuwepo na jinsi ulivyokuwa umejijenga ndipo ilipo shida, najuaa anajua yanayoendelea hayapo sawa, anafanyaje, ila pia Kuna Ile kuonja mamlaka huku yakipambwa na wenye agenda zao binafsi ili kufanikisha malengo Yao binafsi.
 

Umeandika vyema ila kumbuka maonyo ya parallel power:

Kama CCM siyo adui -- mchawi wetu ni nani?
 
Reactions: BAK
Mku mm ccm 100. na vikao vya kata ni mmoja Wapo.
Lakini kwa maandiko yako imenibidi nichangie kwani yanaumiza sana ndugu ila nakuomba kwa hili swala usitumie sana. naneno makali. Kumbuka kana watu wanaumia juu kiongozi wao.
Mku Tzs600,,000/= inaweza kusababisha Ugaidi kweli.
Tujitafakari Mbowe ni mtanzania
 
Laki 6 ni hela ya kula bata weekend.
 
Mbowe ni rais ajaye kama Aikande Hichilema acha apitie machungu kwanza awe Rais anayejua jela kunafananaje
 
Atatoka ila sio haraka namna hii, bila shaka atashinda kesi kama kweli kabambikwa. Ila akitoka ajitahidi kuwa na nidhamu kwa rais wa nchi maana naona alimchukulia poa. Hii ni afrika
 
Mku mm ccm 100. na vikao vya kata ni mmoja Wapo.
Wewe ni CCM. Mimi sina chama.
Lakini kwa maandiko yako imenibidi nichangie kwani yanaumiza sana ndugu ila nakuomba kwa hili swala usitumie sana. naneno makali. Kumbuka kana watu wanaumia juu kiongozi wao.
Maumivu ni pande mbili za maisha. Huwezi kupata furaha siku zote.

Hata kwenye safari ya siasa huyo mbowe watu wengi sana, huku yeye na wafuasi wake wakifyrahia
Mku Tzs600,,000/= inaweza kusababisha Ugaidi kweli.
Tujitafakari Mbowe ni mtanzania
Kwani ugaidi ni nini ?
 
Mbona umeandika upupu,mwana JF kaongea na mama, wewe hukujua alichasema au hujui kusoma na kuandika,mambo ya ruzuku tena ya uongo yamekujaje hapa.

Huyo uliyemwomba akuandikie kaandika tofauti na ulivyotaka.Hasara ya kutokujua kusoma na kuandika.Rudi kasome aeiou
 
huyo wanamchelewesha mno anatakiwa afungwe miaka 300
 
Huna akili
 
Huyu bibi arudi kwao anatuharibia nchi yetu.
 
Huo ni ujinga namba Moja ulioandika mbowe anapitia mateso kama malipo ya aliyoyafanya Tena ni madogo sana hayo aeleze alikowaficha kina saanane na aeleze kwanini alimsababishia kifo wangwe kisa Kila anayetaka uenyekiti wa chadema apotee? Mzee sumaye kaponea chupuchupu baada ya kutaka kugombea uenyekiti na kuambiwa sumu haionjwi yote hayo mtoa mada huyajui mpaka unamlaumu mama huyu mwenye upendo wa Hali ya juu aliyekula kuiponya nchi hebu peleka mada zako za kihuni sehemu nyingine wadanganye watu wasiomjuwa mbowe huyo ni gaidi zaidi ya osama
 
Acha upumbavu wa hadharani wewe.
Kesi ipo mahakamani, yeye kausika vipi hapo kati??? Au hamjui mihimili ya utawala haipaswi kuingiliana, alaa! Shubamiiit
 
Binafsi mimi ni kijana mdogo sana. Naomba nisema Mh. Rais Samia shikamoo.

Mh. Rais nasikitishwa na mateso anayopitia mzee Mbowe kwa baraka za utawala wako,,,sikudhani wewe Mama ungukuja kuongeza mikanganyiko ya kisiasa nchini....
Dogo, Natamani kujua kiwango chako cha Elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…