Rais Samia, nasikitishwa na mateso anayopitia Mbowe katika utawala wako

Mbona huongelei mateso wanaopitia mahabusu wote magerezani umemuona mbowe peke yake ndio binadamu anaeumia
 
Mbona huongelei mateso anayopitia Sabaya au makosa yake nini kuwa mteule wa Magufuli
 
Umeongea point sana ndugu yangu huyu jamaa anamlilia mbowe utafikiri baba yake
 
Account za mbowe zimefunguliwa kipindi cha SSH.
SSH alikua tayari kukutana na upinzani, ajabu wakaanza kumtukana na kumtisha..
Nasikia mbowe hata simu aligoma kupokea,,,
Kesi inayomuweka mbowe ndani ni kesi iliyokuwa imetokea enzi za JPM,,, maana yake SSH hawezi kuingilia mahakama, ni kinyume cha sheria,, japo angetaka angeweza kutumia influence yake yakaisha, lakini anawezaje wakati kutwa mnamtukana na kumtolea maneno ya vijembe?, Hata mimi ningekuwa ningefumba macho tu,
Jifunzeni kuwa wastaarabu kwanza, SSH ni mtu amelelewa katika dini na maadili mema hawezi kuonea mtu ,,,
Mbowe huko aliko hateseki wala nini,, ndo maana yuko tu na afya nzuri,,
Chungeni kauli zenu
 
Wakati unaongelea mapato halali ya chadema, mapato ya dhuluma ya ccm unayaweka wapi?
 
yaani hayo mkuu nimachache tu mbowe kawala sana hao wanaodemkia chagadema alifikia mpaka kula wakina dada wabunge wa viti maalumu madaraka yalimlevya halafu anatokea mtu anamuona mbowe kama malaika hana makosa yaani hakoseagi uchafu mtupu MBOWE NI GAIDI TU
 
Binafsi toka uchaguzi mkuu 2020 kuisha kwa staili yake nafsi yangu ilipata huzuni kuu. Roho wa Mungu aliniambia kuwa miaka 5 inayofuata (2021 - 2025) Ni wakati wa Mungu muumba Mbingu na nchi kutenda. Nina imani kubwa sana na Mungu ninayemwamini kuwa tunakwenda kushuhudia matendo yake makuu.

Niwaambie Watanzania wenzangu kuwa hiki sio kipindi cha kuhuzunika wala kuogopo, ni kipindi cha kutoa sadaka za shukrani.
Kuna makubwa yanakwenda kutokea na kutendeka ndani ya nchi hii.

Kila mwenye pumzi na aseme Amen.


#Wacha inyeshe tuone panapovuja
#Mwenye kudhulumu na aendelee kudhulumu.
#Mwenye kutenda haki na aendelee kutenda haki.
#Waliozoeya kuiba kura na waendelee kuiba
 
Don't personalize this issue - magereza na mahakama vimekuwepo miaka mingi sana! Hivyo usidhani zimejengwa kwa nia ya kusubiri kumtesa Mbowe! Mbowe anafuata mkondo uleule wa watu wote wenye tuhuma ambao lazima polisi na mahakama vihusike. Akipatikana hana hatia ataachiwa. Na mbona mahakama zetu zina tenda haki - rejea kesi ya Sibaya.
 
Maandishi yako haya mleta mada nimeyasoma mpk machozi yamenitoka.

Hakika nakuhakikishia laana zitawashukia wale wote uliowataja ktk mada hii na watajuta muda si mrefu.

Nothing goes unpaid.
Is CHADEMA a "cult" and Mbowe a leader of that "cult". The way some individuals portray Mbowe it is as he is semigod leader of a cult. These individuals remind me Joseph Kibweteere, who was responsible for the death of over 1000 Ugandans. They also remind of James Warren Jones who was ordered over 900 his fellow American followers to kool aid ( cyanide-laced punch) and they followed without question: Jonestown: 13 Things You Should Know About Cult Massacre
.
 

Unajidanganya sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…