Basi Mama kamalizaNakubaliana na wewe unachosema lakini nikisikia Rais SSH akisema wale PPRA watoe mwongozo namna ya kufanya hiyo single source.
Yote kwa yote hata ukifanya competitive tendering, huwezi kuwazuia watu wa Procurement kula. Mbona miradi mingi tunayoiona kwenye CAG report inakuwa imepatikana kwa ushindani lakini bado unakuta watu wamekula.
Naona single source itakuwa nzuri ku comply na masharti ya mkopo kwenye timing. Ila Huwezi kuzia watu wa Procurement na tender board zao kula.
Haujui maana ya single source. Ukitumia mtindo wa Single Source hautaita quotations kutoka kiwanda cha Wazo Hill, Tanga, Mbeya, Mtwara n.k. Ukifanya hivyo ina maana unawashindanisha na itaitwa "competitive bidding" sio single source bid. Single source ni kusema kuwa baada ya kufanya tathmini ya hayo makampuni ( uwezo wake wa uzalishaji, magari waliyokuwa nayo, dealers wao n.k.) mnaamua kuwa Wazo Hill anafaa kwa hiyo ni yeye peke yake mtamuomba alete quotation ya kusupply saruji. Baada ya hapo ni negotiations kati yenu ni kuhusu bei, upatikanaji wake, kiasi mtakachonunua n.k. tu. Hamna kulinganisha bei za producers wengine ( bei ya madukani sio sawa na bei ya kwenye tenda). Katika hali hiyo, hauoni uwezekano wa mtu kuweza kuingiza maslahi yake katika mazingira ambapo mzabuni ni mmoja tu? Na vile vile mzabuni atasukumizwa na nini kupunguza bei yake wakati anajua hana mshindani?
Amandla...
Safi sana mkuuMkuu mbona alifafanua vizuri kabisa,kwamba hizi pesa tulizopewa inabidi tuzitumie kwa muda wa miezi Tisa kukamilisha hiyo mipango yetu...
Sasa tukisema tufuate taratibu za manunuzi ya serikali au kugawa tenda basi miezi Tisa itafika na tutakua hatujafanya jambo lolote maana taratibu za ugawaji tenda au manunuzi za serikalin zinatumia muda mrefu.
Kwaio akapendekeza itumike njia ya single source ili kukimbizana na muda ...shughuli nyingine za kwenye miradi mingine wataendelea kama kawaida na force account.
Kwa saruji wananunua wapi Kama sio Dangote now?Na pia single source inakinza dhumuni zima la economic stimulus kama unapeleka pesa kwa kampuni moja tu.
Kwa nini saruji ya matumizi ya serikali isinunuliwe Twiga, Tanga Cement, Dangote, Simba na Mbeya ili watu wengi zaidi wapate biashara na ajira?
OkayZinatangazwa sana tu
Mkuu nidhamu ina maana pana sana. Kutimiza majukumu yako kwa kufuata sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali iliyowekwa hiyo ndiyo nidhamu ya kwanza. Magufuli ndiye mwasisi wa utaratibu wa kutawala bila kufuata sheria na kuingilia mihimili mingine kwake haikuwa tabu. Huko nyuma kabla yake ilikuwa ni nadra sana kuona rais akivunja sheria hovyo na kwenda kinyume kabisa na kiapo chake bila tashwishi wala hofu yoyote. Baada ya kifo cha Magufuli mama alianza vizuri na kwa hofu huku akifunikwa na kivuli cha hofu kuu kutokana na kifo cha Magufuli. Kumbuka kifo kinatisha kwa yeyote hivyo kinapotokea huwa hofu inatawala kwa muda,ila baada ya muda mfupi mama ameivaa Ile spirit ya Magufuli na ndio maana amekuwa mbaya kuliko Magufuli mwenyewe kwa sababu ukiiga tabia ya mtu mbaya utakuwa mbaya kuliko yeye.Mkuu JK ndo alifanya taasisi ya urais iwe kwenye nidhamu yake? Mbona wana jamii forums mmekuwa kichekesho sikuhizi? Yani mpaka kusema wale wenzake walishahukumiwa nayo mnamuona Magufuli..!! Mbona watu wa ajabu nyie?
Acha kudanganya mifumo ya Tenda ipo kwenye Taneps na huko kuna kampuni chungumzima ni kuzishindanisha na kupata mshindi anapewa tenda, tatizo letu ni 10% kila zama zinaangalia loophole ya kupiga mpungaMkuu mbona alifafanua vizuri kabisa,kwamba hizi pesa tulizopewa inabidi tuzitumie kwa muda wa miezi Tisa kukamilisha hiyo mipango yetu...
Sasa tukisema tufuate taratibu za manunuzi ya serikali au kugawa tenda basi miezi Tisa itafika na tutakua hatujafanya jambo lolote maana taratibu za ugawaji tenda au manunuzi za serikalin zinatumia muda mrefu.
Kwaio akapendekeza itumike njia ya single source ili kukimbizana na muda ...shughuli nyingine za kwenye miradi mingine wataendelea kama kawaida na force account.
Uongo una uadui NA MAGUFULIHivi kama rais alisema Mbowe ni gaidi na tayari waliokamatwa nyuma yake wameshahukimiwa unatarajia kwake kuvunja sheria ni kitu kitamsumbua? Magufuli aliiharibu taasisi ya urais sana na itachukua muda sana kuirejesha katika nidhamu yake.
Rada ya kijeshi au unasema za uwanja wa ndege ambazo ni za kiraia!!Tenda ya kufunga rada ilitangazwa
Hata Magufuli alifanya hivyo hivyo . Aliitoa kwa hao wachache akaipeleka kwenye kikundi chake pia. Tena kikundi cha Magufuli kilikuwa cha hatari. Watu wake ndiyo hao akina Sabaya, Makonda, Bashiru, Dotto James na Polepele ambao waliruhusiwa hata kuiba na kuuaUongo una uadui NA MAGUFULI
ALICHOFANYA MAGUFULI NI KUINDOA SERIKALI KWENYE UMILIKIWA NA WATU FULANI
SERIKALI ILIKUWA IMEWEKWA MIKONONI MWA WATU FULANI WALIJIONA WAO NDIO WAO
HIYO NDIYO FURA YETU DARAJA LA WAMILIKI WA SERIKALI LILIVUNJIKA
SEMA LABDA ULIKUWA NA BIASHARA YA MAGENDO NA SERIKALI MILIKIWA NA WATU WALIONDOLEWA
Yani uanzishe kikampuni chako tu leo ukapewe tenda na serikali!Kwa mtindo huu rushwa itatamalaki na vikampuni vya mifukoni vingi vitaanzishwa, mwendazake alilaumiwa kwa Mayanga Construction huyu nae anajitengenezea mazingira.
Haya ndiyo matokeo ya mfumo wetu mbovu.Leo wakati Rais akizindua mpango wa maendeleo (tafsiri "matumizi") ya pesa ya Covid kutoka IMF, amesema anaagiza watumie "single source" kwenye manunuzi na kandarasi. Kasema zabuni za kawaida zinatuchelewesha, hataki kuzisikia.
Swali langu lina sehemu mbili tatu:
hivi taratibu za matumizi ya zabuni shindanishi haziko kisheria ?
the biggest political upheaval ever in this country, ukiondoa Nyerere kufukuzwa Ikulu na jeshi kwa masaa 48, ni pale Prime Minister Lowassa na Principle Secretary Msabaha na wengine walipotimuliwa na shinikizo la tume ya Mwakyembe kwa kushindwa kuzingatia taratibu za manunuzi na zabuni, procurement and tendering.
likaja wimbi kubwa la kutilia mkazo mambo ya procurement, watu mpaka mameneja kwenye mashirika na mawizara wakapelekwa vyuoni na kwenye ma semina kusomea kozi za procurement, sheria ikawa amended ikapewa meno, ikaundwa regulatory body inayoshughulikia procurement tu.... tunakumbuka ?????
haya, akaja Marehemu, akawa anauliza maafisa manunuzi na wakurugenzi wa Halmashauri majukwaaani, mnatumia "force account" ? Force account ikawa force account.
sasa leo Rais Samia katangaza anaagiza watumie "single source."
Single source ni nini?
Force account ni nini?
Na zabuni shindanishi zimefutwa lini?
na kwa nini zilikuwa haliteti tija ?
toka single source and force account zije na Magufuli tumeacha kupigwa? Kwa ripoti gani?
Na Rais anawezaje kufuta sheria ya bunge thabiti jukwaani ?????
Sasa kigumu ni kipi hapo?Yani uanzishe kikampuni chako tu leo ukapewe tenda na serikali!
Thubutu!