Rais Samia: Nataka nizungumzie matumizi ya jina Samia, limekuwa linajirudia rudia haipendezi

Rais Samia: Nataka nizungumzie matumizi ya jina Samia, limekuwa linajirudia rudia haipendezi

Aliyezomewa pale siyo mwana FA
Aliyezomewa ni raisi muuaji Samia alitaka afanye siasa kwa kupiga simu Ili aongee mambo sijui bima sijui ujinga gani ahhh kala za pia.
Tuseme PM saa.zile.kenda ikulu kufanya nn haswa
Hovyo kabisa hawa
 
Sugu alisema "Unakuwa Mpambe hadi Boss anakasirika".

Samia this, Samia that, Mkulu amejistukia sasa ameona awachane wapambe wake.

Aliyemshauri hilo, amshauri na mengine mengi ambayo aliyapuuza.
ni suala la muda tu
anakaribia mwaka sasa hajakanyaga ardhi ya Marekani, na mkutano wa UNGA unakaribia mwezi wa Tisa, unafikiri anapenda kumtuma tuma Imma ?
 
Back
Top Bottom