Rais Samia: Nataka nizungumzie matumizi ya jina Samia, limekuwa linajirudia rudia haipendezi

Rais Samia: Nataka nizungumzie matumizi ya jina Samia, limekuwa linajirudia rudia haipendezi

Rais Amia amesema kuwa matumizi ya Jina Samia kulipa kwenye Jina la vitu limekuwa linajirudia rudia hadi haipendezi


Nina hakika, Samia pamoja na mapungufu yake, kama angebahatika kuwapata washauri wazuri asingeifikisha nchi katika laana hii ya sasa. Ukichanganya mapungufu yake binafsi, kutokujiamini kwake na hivyo kila mara kuwategemea washauri waovu, matokeo yake ni hii laana ya damu iliyotanda katika taifa letu.

Samia anatakiwa kujutia mapungufu na mabaya yake, na kuachana kabisa na washauri wake wa sasa, na machawa yote, ambayo kwa ujumla yamebobea katika ushetani, na yanayoendelea kumpoteza. Asipofanya hivyo atakuja kujutia, na wale washauri waovu, maji yakifika shingoni watamwacha na kujitenga naye.

Samia alipochukua madaraka kwa mara ya kwanza alionesha dhamira nzuri, lakini waovu walipomzidi nguvu, wakambadilisha kabisa, na kumwingiza kwenye ushetani wao. Na asipoitafuta hekima, lazima mwisho wake uwe mbaya sana.
 
Mnapenda saanaa kuabudu wazungu aisee..Nyie wakati wa Mkwawa au Kinjekitile mgetoswa majini
Wazungu hata usipowaabudu, wao ndio kila kitu kwenye dunia hii. Hilo penda usipende ndio ukweli mchungu. Tunajua mnawachukia wazungu maana hawaendekezi upuuzi wa kiccm.
 
Mnapenda saanaa kuabudu wazungu aisee..Nyie wakati wa Mkwawa au Kinjekitile mgetoswa majini
Nyie kila siku kiguu na njia kutembeza bakuli kwa hao wazungu wakiwaonya kuheshimu haki za binadamu mnawaita mabeberu mkipokea misaada yao mnawaita wahisani.
 
Rais Amia amesema kuwa matumizi ya Jina Samia kulipa kwenye Jina la vitu limekuwa linajirudia rudia hadi haipendezi

wanamsifia boss hadi anakasirika sio poa,mara SAMIA CUP,SAMIA FESTIVAL,SAMIA AWARDS NK KERO KWAKWELI WAFANYE KAZI WAACHE JANJAJANJA na kuhisi rais anapenda sana sifa
 
Back
Top Bottom