Noel ilianza usiku jana na kwalo salamu zilipaswa zitolewe janaChristmas si leo au alitakiwa kutoa saa zita usiku?
Hatulilii salamu bali tunamkumbusha aendelee kuiga utamaduni ulioasisiwa na watangulizi wake ili kuepuka hizo sintofahamu.Sielewi hii tabia ya kulilia wishes
Katoa ona bado unalilia mudaHatulilii salamu bali tunamkumbusha aendelee kuiga utamaduni ulioasisiwa na watangulizi wake ili kuepuka hizo sintofahamu.
Mfano Noel ilianza jana jioni ajabu yeye anakuja kutoa salamu saa 4 asubuhi leo tena baada ya watu kuhoji!
HahahahaKatoa ona bado unalilia muda
Mwambieni salamu zimepokelewa na aache ka-udini watanzania wanamwesabaia tuuNimeamini hawa Viongozi husoma jf kwa hakika.
Rais Samia kwa mfano baada ya kupigiwa kelele humu kwa kutotoa salamu za kheri ya Noel katika kurasa zake za mitandao ya kijamii hatmaye kama dakika 30 zilizopita amewatakiwa Noel njema Watanzania jambo ambalo ni zuri na ni utamaduni uliozoeleka tokea enzi kufanywa na Viongozi wetu.
Kama katoa mkaushieni sasaNoel ilianza usiku jana na kwalo salamu zilipaswa zitolewe jana
Ungekuwa na hizo akili angalau ungelitambua kuandika kwa mpangilio sahihihunaakili wewe.ulitaka atoe salam siku mbili kabla?