Rais Samia: Nawatakia Heri ya Christmas na Mwaka Mpya Watanzania wote, nawaomba 2022 tuzidi kuwa Wamoja

Bado amechemka. Angalau hata angesema jana muda wowote hata asubuhi jana,mchana,jioni au usiku wa kabla ya saa 6 jana
 
Mimi ni mkristo ila hata asinge toa isinge nihusu. Kwa sababu sio sheria
 
We ni kichaa unajua! Kwaiyo siku ilikuwa ishaisha kwani?
 
Vipi daimond nae katoa salamu au ndio mpk tumsemee
 
Hatulilii salamu bali tunamkumbusha aendelee kuiga utamaduni ulioasisiwa na watangulizi wake ili kuepuka hizo sintofahamu.

Mfano Noel ilianza jana jioni ajabu yeye anakuja kutoa salamu saa 4 asubuhi leo tena baada ya watu kuhoji!
kafie mbali mpuuz wewe!! Wenzio wapo bize kusaka fedha, we unalilia upuuzi
 

Rais Samia hadi akurupushwe ndipo anapokumbuka jambo. Hata mkeka ( uteuzi)wa MaDas ameusahau .​

2. Kutemhelea. Mikoa ya Kusini mwa Tanzania amesahau.
3. Kwenda kuswali au kushiriki misa mbali mbali amesahau.
4. Biioni moja alizotuma kila jimbo kwa ajili ya kutengeneza barabara za vijijini amesahau na hadi sasa hakuna barabara iliyojengwa amesahau.
5. Kuhamia Dodoma mji mkuu wa Serikali amesahau anaishi Dar.
6. Katiba mpya mchakato wake amesahau naye alikuwa mwwnyekiti wa bunge la kuchakata katiba mpya .
 
Kamfufueni Basi mungu wenu dikteta
 
Usisahau kumkumbusha Mnyika kuwa na ww leo umeandika uzi wa kumchonganisha raisi na wakristo hapa nchini, ili angalau akutumie na ww bando la buku kama anavyowatumiaga wanaharakati wenzako.

 

Hafidh Ameir kipindi hiki cha Xmas mbona haonekani na hasemi chochote kwa watanzania?​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…