Rais Samia: Nawatakia Heri ya Christmas na Mwaka Mpya Watanzania wote, nawaomba 2022 tuzidi kuwa Wamoja

Krismasi haiwahusu watanzania wote lakini na wewe mwenyeo pia ushungi na uislamu ndio imani yako, waislamu hatuamini chochote kwenye krismasi
 
Kaziindelee Tanzania na Mama Samia Suluhu Hassan,

Tunamtakia pia X-mass njema
 
Toka lini anakutafutia pesa kwa ajili ya Tz?. Pesa inakusanywa tu toka mkononi mwako. Matako we
Matako ni wewe unayekuja na uzi usio na kichwa wala miguu. Rais ni mtu mkubwa sana ni cheo cha juu sana sio mtu anayesubiri atume wishes kama vile wewe usio na kazi.
 
Mkuu Ustaadhi ikhlas angalia hizo salaam, huyo ni dini gani?. Niliwahi kusikia kuna baadhi ya Masheikh wanaitwa Sheikh ubwabwa!, usije wewe kuwa ni mmoja wao?
,jf ni ukumbi wa kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana, kwa vile humu baadhi ni Waislamu na sisi wengine sio Waislamu, sasa kwa faida ya wengi humu, unaweza kutuekea hicho kifungu kinachokataza Muislam, kumu wish asie Muislam, heri ya Krismas?.

Heri ya Krismasi.
P.
 
Kuna wakati ccm Huwa na Hali ya uungwana na utu au ni unafiki??
 
Matako ni wewe unayekuja na uzi usio na kichwa wala miguu. Rais ni mtu mkubwa sana ni cheo cha juu sana sio mtu anayesubiri atume wishes kama vile wewe usio na kazi.
We ni yule mhangaza uliyechelewa unayeendekeza ubaguzi wa vyama, hizi uliwabagua wahaya wenzio kisa mna mgodi wa nikel? We jamaa ni hewa
 
Good question
 
Matako ni wewe unayekuja na uzi usio na kichwa wala miguu. Rais ni mtu mkubwa sana ni cheo cha juu sana sio mtu anayesubiri atume wishes kama vile wewe usio na kazi.
Wewee kenge unadandia tren kwa mbele,nani ameanzisha uzi?. Nenda kapata buku 7 sasa. Nasikia siku hizi mmepandishiwa,kwa kazi hii ya kutetea hoja tu hata kipumba pumba?. Ni mkubwa kwako unaelipwa kwa ajili ya hiyo.
 
Hatuwezi kuendeleza kitu ambacho hakipo. Watanzania, kwa Tanzania hatupo wamoja. Tumegawanyika katika makundi makubwa mawili:

1) Wapo wanaopenda na kushabikia uovu dhidi ya wengine. Uonevu kama ule wa kuwabambikia kesi Mbowe na makomandoo wa Jeshi.

2) Wapo wanaopenda nchi yetu iongozwe kwa haki na watu wake watendewe haki, bila ya kujali watu hao tunatofauti katika tunayoyaamini kwa kiasi gani.

Makundi haya mawili hayawezi kuwa na Umoja kwa sababu wanatenganishwa na mto mkubwa, baina ya shetani na Mungu.

Watu wanaopenda haki, hata kama wakitengwa namna gani, kamwe wasikubali kuunganika na waovu, kwa mwavuli wa umoja.

Nafasi ya umoja kwa Watanzania, ni kwa waovu kuungana na watu wa haki. Rais kama anataka kuwa miongoni mwa watu wa haki, atangaze kujitenga na uovu ambao anauishi kwa sasa. Vinginevyo, watu wa haki wataendelea kumwomba Mungu awapatie kiongozi atakayewaongoza kwa haki.
 
Saa nyingine watendaji wanamuangusha, mi naamini lazima kuna katibu wake anaehuaika na taarifa za mitandaoni, Salamu kama hizi sio lazima aambiwe ni kutimiza wajibu tu! Na hataulizwa kwa kuandika hiyo salamu.
 
Hatulilii salamu bali tunamkumbusha aendelee kuiga utamaduni ulioasisiwa na watangulizi wake ili kuepuka hizo sintofahamu.

Mfano Noel ilianza jana jioni ajabu yeye anakuja kutoa salamu saa 4 asubuhi leo tena baada ya watu kuhoji!
Mbona alishapost tangu Jana asubuhi hata ka mumekosa excuse msimnange kwa kutunga
 
Kwa nini basi mnaogopa KATIBA mpya,bora?
 
Ile chumvi ndo nailambalamba sahivi.. mkuu chukua jibapa usheherekee mi nasheherekea coz Kuna mtu kaninong'oneza kuwa mimi ni anko yake na kirithimathi..[emoji16]
Ukimaliza kuneng'eneka huku siasani

Tunakusubiria kule uje umalizie kiporo chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…