Rais Samia: Nazunguka Ulimwengu Mzima Kutafuta Fedha Kuwawezesha wanawake Wa Afrika Wapate Nishati Bora ya Kupikia

Kwani nani kasema naandika kwa ajili ya kuitwa IkuluπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kichefuchefu...mmebaki naye nyinyi tu walamba viatu...watanzani wengi wameahamng'amua
 
"Mimi niliyesimama mbele yenu ni Rais mwenye jinsia ya kike"

Toka atoe hii kauli siku chache za kwanza nikaona amna mtu apa .
 
Kichefuchefu...mmebaki naye nyinyi tu walamba viatu...watanzani wengi wameahamng'amua
Watanzania wana imani na matumaini makubwa sana na Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.ndio maana wanaendelea kumuunga Mkono wakati wote.
 
Mwenyezi Mungu anatujaalia viongozi wa maana sana kama Taifa,

Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, na kumuombea kwa Mungu huyu mama amjalie afya njema daima
 
Unazunguka dunia nzima kutafuta nishati au kutumia pesa za misaada kununua nishati kutoka ughaibuni wakati Nishati safi na ya bei rahisi tunayo nyumbani ?

 
Ndio namuamini Rais Samia kwa asilimia zoteee. Tena uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais. Rais wetu ni mzalendo na mchapa kazi sana.
Utakuwa umechanganyikiwa wewe! Wapi nimemtaja Rais Samia kwenye maelezo yangu? Acha kuchanganya madesa. Mimi nimekuuliza kuhusu mama yako!
 
Mwenyezi Mungu...Mungu mwenye enzi yote nakuomba ujtufanyie wepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…