Rais Samia ndio kiboko ya Mbowe na CHADEMA

Rais Samia ndio kiboko ya Mbowe na CHADEMA

Kunakoelekea mbowe atarudi ccm maana chama kimekuwa cha kimasikini kabisa hakina hela
Wafadhili hakuna
Wabunge hakuna
Luzuku hakuna
Umaskini umeingia chadema
 
Kunakoelekea mbowe atarudi ccm maana chama kimekuwa cha kimasikini kabisa hakina hela
Wafadhili hakuna
Wabunge hakuna
Luzuku hakuna
Umaskini umeingia chadema

..unadhani atahamia ccm bila kupewa pesa nzuri?

..na walioko ccm hawajisikii uchungu kuwa chama chao kinanunua wanachama toka vyama vya upinzani?

..wale waliojiunga na ccm kwa hiyari bila ushawishi wa fedha, mali, au nafasi, wanajisikiaje ccm inapowarubuni wapinzani kwa fedha, au ahadi za vyeo?
 
Hiyo hela ambayo Baba yako (kama unaye) aliyotumia kukupeleka shule bora angenunua nguruwe afuge kuliko kuwa na popoma kama wewe
Walifukuza pale UDOM. Alikuwa pale social 2009/2010 akaongoza mgomo wakafukuzia mbali. Akarudi tena wakafukuza akabeba virago vyake akarudi kwao.
 
Kakatikiwe kiuno huko ,mwamba mbowe ndo habari ya dunia ,unamjadili mbowe mfukoni unahela ya bando tu ,mwl bwana
 
Walifukuza pale UDOM. Alikuwa pale social 2009/2010 akaongoza mgomo wakafukuzia mbali. Akarudi tena wakafukuza akabeba virago vyake akarudi kwao.
Chadema ndio ilimtetea asitekwe na kupotezwa , hawa vijana ni wajinga sana na wala hawana shukrani
 
Kwa jinsi ulivyoandika ni kana kwamba lengo la mkutano wa Raisi na vijana lilikuwa kumpiku Mwenyekiti wa CDM Freeman Mbowe na siyo kusikiliza na kutatua shida za vijana.

Hivi baada ya mkutano wa Raisi na vijana shida zote za vijana zimekwisha?

Je, unategemea Rais Samia atamaliza matatizo yote ya vijana wa Tz kiasi kwamba vijana hawatahitaji kusemewa jambo lolote lile na vyama vya siasa?
Tatizo kubwa hawa vijana Tz wanakosa hoja,na mipango makini ya kushauri serikali yao na kutoa mapendekezo kuhusu jinsi mustakbali wao, na ambao utakaokuwa endelevu kwa faida na maendeleo ya nchi. Badala yake ndio kama unavyoona, wanaishia kuwa na mawazo ya tu ya sijui, eti 'kumkomoa Mbowe au upinzani' na 'ligi' kama hizo na kushangilia ' mkeka ujao' wa teuzi utafikiri ndo utatuzi na muarobaini wa changamoto walizonazo vijana hao. Kaazi kwelikweli.
 
UPUUZI MTUPU! Kashindwa yule dhalimu wa chato mwendazake ndiyo atakuwa huyo wa kudemka demka!? Tuondolee upumbavu wako hapa!!!
 
Tatizo kubwa hawa vijana Tz wanakosa hoja,na mipango makini ya kushauri serikali yao na kutoa mapendekezo kuhusu jinsi mustakbali wao, na ambao utakaokuwa endelevu kwa faida na maendeleo ya nchi. Badala yake ndio kama unavyoona, wanaishia kuwa na mawazo ya tu ya sijui, eti 'kumkomoa Mbowe au upinzani' na 'ligi' kama hizo na kushangilia ' mkeka ujao' wa teuzi utafikiri ndo utatuzi na muarobaini wa changamoto walizonazo vijana hao.....kaazi kwelikweli.

..Mama akitaka afanikiwe ateua vijana wasiokuwa na vyama.

..Labda hata kupitia chipukizi au umoja wa vijana iwe ni disqualification.
 
Mwakibinga hoja yako imekaa kiushabiki wa ccm na chadema.
Hoja za hivi hazina tija kwa taifa letu.
Nyie wanavyama mna ubinafsi sana.
Manaharibu bara letu kwa ubinafsi wenu. Huwa nafikiria ni mfumo gani wa kuiongoza Afrika ili ifikie mafanikio, kwani nyie wa vyama mmefeli sana. Mnajua mmefeli ila kwasababu mnapalilia matumbo yenu(kwani nyie ni wabinafsi msio na aibu) mnaona si shida kuua afrika nzima kwaaajili ya existence yenu( mitumbo yenu).
Ukiona ccm na hasa vijana wao hawakutaki na wanapambana upotezwe au ushushwe chini; fahamu kabisa kuwa wewe ni MWAMBA! Na kwa uwezo wao mdogo wa kuchambua mambo wanazidi kufanya FAM awe mwamba zaidi!
 
Back
Top Bottom