Rais Samia ndio kiboko ya Mbowe na CHADEMA

Kunakoelekea mbowe atarudi ccm maana chama kimekuwa cha kimasikini kabisa hakina hela
Wafadhili hakuna
Wabunge hakuna
Luzuku hakuna
Umaskini umeingia chadema
 
Kunakoelekea mbowe atarudi ccm maana chama kimekuwa cha kimasikini kabisa hakina hela
Wafadhili hakuna
Wabunge hakuna
Luzuku hakuna
Umaskini umeingia chadema
Luzuku ndio nini?
 
Reactions: BAK
Kunakoelekea mbowe atarudi ccm maana chama kimekuwa cha kimasikini kabisa hakina hela
Wafadhili hakuna
Wabunge hakuna
Luzuku hakuna
Umaskini umeingia chadema

..unadhani atahamia ccm bila kupewa pesa nzuri?

..na walioko ccm hawajisikii uchungu kuwa chama chao kinanunua wanachama toka vyama vya upinzani?

..wale waliojiunga na ccm kwa hiyari bila ushawishi wa fedha, mali, au nafasi, wanajisikiaje ccm inapowarubuni wapinzani kwa fedha, au ahadi za vyeo?
 
Hiyo hela ambayo Baba yako (kama unaye) aliyotumia kukupeleka shule bora angenunua nguruwe afuge kuliko kuwa na popoma kama wewe
Walifukuza pale UDOM. Alikuwa pale social 2009/2010 akaongoza mgomo wakafukuzia mbali. Akarudi tena wakafukuza akabeba virago vyake akarudi kwao.
 
Kakatikiwe kiuno huko ,mwamba mbowe ndo habari ya dunia ,unamjadili mbowe mfukoni unahela ya bando tu ,mwl bwana
 
Walifukuza pale UDOM. Alikuwa pale social 2009/2010 akaongoza mgomo wakafukuzia mbali. Akarudi tena wakafukuza akabeba virago vyake akarudi kwao.
Chadema ndio ilimtetea asitekwe na kupotezwa , hawa vijana ni wajinga sana na wala hawana shukrani
 
Tatizo kubwa hawa vijana Tz wanakosa hoja,na mipango makini ya kushauri serikali yao na kutoa mapendekezo kuhusu jinsi mustakbali wao, na ambao utakaokuwa endelevu kwa faida na maendeleo ya nchi. Badala yake ndio kama unavyoona, wanaishia kuwa na mawazo ya tu ya sijui, eti 'kumkomoa Mbowe au upinzani' na 'ligi' kama hizo na kushangilia ' mkeka ujao' wa teuzi utafikiri ndo utatuzi na muarobaini wa changamoto walizonazo vijana hao. Kaazi kwelikweli.
 
UPUUZI MTUPU! Kashindwa yule dhalimu wa chato mwendazake ndiyo atakuwa huyo wa kudemka demka!? Tuondolee upumbavu wako hapa!!!
 

..Mama akitaka afanikiwe ateua vijana wasiokuwa na vyama.

..Labda hata kupitia chipukizi au umoja wa vijana iwe ni disqualification.
 
Ukiona ccm na hasa vijana wao hawakutaki na wanapambana upotezwe au ushushwe chini; fahamu kabisa kuwa wewe ni MWAMBA! Na kwa uwezo wao mdogo wa kuchambua mambo wanazidi kufanya FAM awe mwamba zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…