Rais Samia ndio kiboko ya Mbowe na CHADEMA

Endelea kuota
Vijana gani wabadilike??? Hawa wasiojiongeza,wasio na ubunifu na wanaosubiri teuzi na kubakia kufanya kuwa 'wachuuzi' wa viongozi wanaosaka madaraka kipindi inapoelekea uchaguzi, badala angalau kuja na mipango na mikakati thabiti, ya kusaidia nchi kujitoa kwenye lindi la umaskini! Vijana wa Tz bado mnatuangusha sana......
 
Akili zao zimefanana na zako, napiga picha hapa tangu ujana wako Hadi uzee wako umefanya nini zaidi ya kupiga porojo.

Wewe ni kizazi cha vijana wa enzi hizo so hauna Cha maana chochote ulichonacho zaidi ya kelele kelele za mitandaoni.
 
Nina mashaka na upeo wa akili wa vijana wa UV-CCM. Eti wamejibatiza kuwa vijana wa Tanzania,na Cha ajabu wakavaa nguo za kijani!. Low thinking.
 
DOGO PHILIPO UNAHANGAIKA SANA KUJIPENDEKEZA, BILA KUMTAJA MBOWE NA CHADEMA MAVI HUWA YANAWAKABA SANA! UMEANDIKA UPUUZI WA HALI YA JUU,
NINYI NDO WATU AMBAO MNADHALILISHA SANA ELIMU YA BONGO.
YAANI ANDIKO LAKO LINA lack of objectivity and particularity.
 
Mi nirifikiri ile Tabia ya watu kujipendekeza Ili wapate uteuzi ilienda na mwendazake,kumbe bado ipo,
Raisi Samia au Raisi yoyote wa TZ kutoka ccm hatakiwi kuwa kiboko kwa Chadema,Hilo sio jukumu alilochaguliwa kwenda kupambana nalo,and for that matter hatakiwi kuwa kiboko kwa mtu yeyote,anatakiwa awe kiboko kwa issues,ufisadi,uzembe,ukosefu wa ajira,matumizi mabaya ya madaraka na mali ya umma,Chadema iacheni tu,kama ccm mnakosa usingizi kwa sababu ya Chadema,Hilo ndilo lengo,Chadema ilifungiwa na kuteswa kwa miaka mitano na lile shetani la Chato,lakini Mungu mkubwa,bado ipo,tatueni kero za wananchi Hilo ndio jukumu lenu
 
Mzee mwakibinga hapa hana mtoto furushi tu la mavi bora angetumia kondomu.
 
Unagombea mkeka
 
Mwili mkubwa kumbe bure tu.unatumia muda na akili zako zote kuandika ujinga.Vijana wengi mnaoandika ujinga kwenye mitandao kuponda kina mbowe na chadema mnapoteza muda wenu.huo muda bora muwe mnajielimisha ili angalau mpate ata akili kidogo.
 
bado tu uko zama za Jiwe, kamalizie digrii yako ya Kiswahili kwanza
kwa sasa hamna kujipendekeza, wewe Mwakibinga, Mchange, Singo, Baraka Messo, Mwita Nyarukururu na waganga njaa wenzako wa pale Lumumba imekula kwenu, mshapoteza future
 
Akili zao zimefanana na zako, napiga picha hapa tangu ujana wako Hadi uzee wako umefanya nini zaidi ya kupiga porojo.

Wewe ni kizazi cha vijana wa enzi hizo so hauna Cha maana chochote ulichonacho zaidi ya kelele kelele za mitandaoni.
Dunia imehamia kwenye mitandao... Impacts ni kubwa sana!
Weka akiba ya maneno!
 
Achana na Kiongozi wetu shupavu SSH. Huyu mama hana siasa za kizandiki na roho mbaya. Hana siasa za maji taka. Anajua kabisa hata yeye leo akitoka madarakani mtamnanga kama mnavyomnanga Jiwe! wanaomuimbia mitano tena, ni hao hao walikuwa wanaimba mapambio ya mitano tena kwa Jiwe. She knows you guys kuliko mnavyojielewa.

She doesn't rejoice in the misery and suffering of other people.

Upinzani ni ideas! hata leo ungewafyeka wapinzani wooote Tanzania (Jiwe alijaribu--sijajua kama alifanikiwa). Lazima utachipuka tuu.....Mama hilo analijua ndo maana ana focus tulijenge taifa letu....

Inabidi wapambe wa jiwe au mwendazake mbadilike mjue kwamba tunaishi zama mpya! Mkae mtulie.
 
Huyu amesikia uteuzi wa ma-DC unakuja anaweka kabisa na majina, ama kweli njaa inatesa sana.

Halafu wewe nakushangaa sana, hujui Chadema wameshasema wazi kwamba bila ya tume huru hawatashiriki uchaguzi wowote utakao andaliwa na hii tume ya ccm.
 
Vile vile ni kiboko cha Tundu Antipas Mughwai aliyeko huko ubelgiji ambaye sasa anahaha baada ya wazungu kumsahau.
Tulia wewe..na unavyooandika hata akili ya kupewa U-DAS huna...... Vijana wa mwendazake mna wakati mgumu sana. Maana mlikuwa mnasukumwa na roho mbaya tuu na wala si kingine! Kwamba wote tukose! na nina uhakika watu design yako hamkufaidi sana enzi za jiwe..bali tuu mlikuwa mnafurahia mateso ya wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…