Rais Samia ndio kiboko ya Mbowe na CHADEMA

Insha ndefu ya nini?
 
Kwani mama samia kawafanyia kipi vijana?
 
Philipo Mwakibinga huyu Mbowe ndiye alikutoa usichana wako?
 
Pumbafu futa huu uzi mama hapendi sifa za kijinga
 
..kwa kweli hawa vijana wa CCM uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.

..badala ya kuwaza namna gani matatizo yao yatapatiwa ufumbuzi wao wanawaza jinsi ya kumkomoa Freeman Mbowe.
Na ndiyo haya majinga yaliyokuwa yanafurahia matendo haramu ya kina sabaya
 
Atakuwa kama Sabaya tu

..Magufuli aliwazoesha kushinda chaguzi kwa kutumia mabavu, ukatili, na uzushi.

..Ni utamaduni mbaya sana kuurithisha kwa chama na vijana wa nchi hii.

..Ni hatari kwa umoja wa vijana wa chama chochote kutokuwa na vijana wenye uwezo na mazoea ya kushindana kwa hoja, na kusimama upande wa haki.
 
Ninyi ndowale uvccm wajinga msio jadili Sera Bali kubeba wagombea mgongoni!! Mtapinda migongo kisa kubeba wazee wenye mavitambi mgongoni huku wakiwahemea kisogoni. Jadilini Sera na hoja zakuijenga nchi bwege ww
 
Kama anayafanya hayo yote kwa manufaa ya taifa, basi sioni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…