Rais Samia ndio kiboko ya Mbowe na CHADEMA

he mmibadilika gafla... leo MEKO sio tena kiboko ila SAMIA πŸ™„ 😎
 
..huyu Mwakibinga hata akipewa nafasi ya uongozi inawezekana akaitumia kujaribu kumkomoa Freeman Mbowe badala ya kushughulikia matatizo ya vijana na wananchi kwa ujumla.
Atamkomoa mtu ambaye alikuwa akitoa pesa zake mfukoni ili kushughulikia dhamana za kesi zake dhidi ya serikali. Mwakibinga anafahamu mbowe ni nani kwake!

Mwaki siasa za aina hii hazikufikishi popote, tena hasa kwa utawala huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…