Rais Samia Ndiye Kabeba Hatima Ya Taifa Hili Na Maisha ya Watanzania. Tuendelee Kukesha Tukimuombea Afya Njema Na nguvu za Kutuongoza

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Hatima ya Taifa Hili Ipo Mikononi Kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hatima ya Maisha na ubora wa Maisha ya Watanzania Upo Mikononi Mwake.

Afya za Watanzania,ajira kwa vijana, Bei za Mazao ya Mkulima,pembejeo za wakulima ,Mzunguko wa Pesa Mitaani, Ustawi wa Watanzania, mishaharaa mizuri kwa watumishi wa umma vyote kwa pamoja na vingine vingi vipo mikononi Kwa Rais wetu Mpendwa.

Pasipo yeye hakuna kitakachoweza kufanikiwa na kustawi. Hakuna jambo litawezekana na kusonga mbele. Bila yeye tutajikuta kila kitu kinakwama na kushindwa kusonga mbele .Pasipo Mikono yake hakuna kitakacho Pata Mafanikio.

Mikono yake ikiwekwa juu ya kitu chochote kile ni lazima kipate mafanikio Makubwa .ndio maana wengi wanatamani kuweka majina yake kwa kila mradi kwa sababu wanatambua yeye ndiye mwezeshaji na mfanikishaji. Wanatambua yeye ndiye Anayewezesha kila kitu .

Ni katika Mazingira hayo watanzania tunapaswa kumuombea sana Rais wetu Usiku na mchana ili Mungu aendelee kumjalia afya njema, nguvu za kuendelea kutuongoza ,maarifa na hekima za kiuongozi. Maisha yake yaendelee kuwa baraka kwa watanzania.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20260321-143147_1.jpg
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3636160
Wewe mjinga siku ukijaa kwenye fremu yangu nitakutoa roho kwa mikono yangu mitupu bila kutumia silaha.
 
Mmezoea kuua na kuuana na kuisingizia serikali. Naona mmenogewa na kuona mnaweza kuuwa mtu yeyote yule pale mtakapo . Vipi mpaka sasa umeuwa watu wangapi?
 
Wewe si ndiyo kila siku unanitishia kifo hapa na post zako zote nimeziclub ili siku nikikufanyizia watu wajue nimejibu mapigo, na kabla sijakuzimisha lazima nikupige pumbu.
 
Jibu swali mpaka sasa umeuwa wangapi na unashirikiana na akina nani? Mnauwana wenyewe halafu mnaanza kupiga kelele na kutunga uongo wenu
 
Muuaji
20260521_235805.jpg
20260521_235756.jpg
anayechuruzika damu za maelfu ya watanganyika hawezi kubeba hatma ya watanganyika.
 
Back
Top Bottom