Rais Samia Ndiye Kabeba Hatima Ya Taifa Hili Na Maisha ya Watanzania. Tuendelee Kukesha Tukimuombea Afya Njema Na nguvu za Kutuongoza

Rais Samia Ndiye Kabeba Hatima Ya Taifa Hili Na Maisha ya Watanzania. Tuendelee Kukesha Tukimuombea Afya Njema Na nguvu za Kutuongoza

Ndugu zangu Watanzania,

Hatima ya Taifa Hili Ipo Mikononi Kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hatima ya Maisha na ubora wa Maisha ya Watanzania Upo Mikononi Mwake.

Afya za Watanzania,ajira kwa vijana, Bei za Mazao ya Mkulima,pembejeo za wakulima ,Mzunguko wa Pesa Mitaani, Ustawi wa Watanzania, mishaharaa mizuri kwa watumishi wa umma vyote kwa pamoja na vingine vingi vipo mikononi Kwa Rais wetu Mpendwa.

Pasipo yeye hakuna kitakachoweza kufanikiwa na kustawi. Hakuna jambo litawezekana na kusonga mbele. Bila yeye tutajikuta kila kitu kinakwama na kushindwa kusonga mbele .Pasipo Mikono yake hakuna kitakacho Pata Mafanikio.

Mikono yake ikiwekwa juu ya kitu chochote kile ni lazima kipate mafanikio Makubwa .ndio maana wengi wanatamani kuweka majina yake kwa kila mradi kwa sababu wanatambua yeye ndiye mwezeshaji na mfanikishaji. Wanatambua yeye ndiye Anayewezesha kila kitu .

Ni katika Mazingira hayo watanzania tunapaswa kumuombea sana Rais wetu Usiku na mchana ili Mungu aendelee kumjalia afya njema, nguvu za kuendelea kutuongoza ,maarifa na hekima za kiuongozi. Maisha yake yaendelee kuwa baraka kwa watanzania.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3636160
[/Q
downloadfile-2.png
 
Back
Top Bottom