Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Wewe mjinga siku ukijaa kwenye fremu yangu nitakutoa roho kwa mikono yangu mitupu bila kutumia silaha.Ndugu zangu Watanzania,
Hatima ya Taifa Hili Ipo Mikononi Kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hatima ya Maisha na ubora wa Maisha ya Watanzania Upo Mikononi Mwake.
Afya za Watanzania,ajira kwa vijana, Bei za Mazao ya Mkulima,pembejeo za wakulima ,Mzunguko wa Pesa Mitaani, Ustawi wa Watanzania, mishaharaa mizuri kwa watumishi wa umma vyote kwa pamoja na vingine vingi vipo mikononi Kwa Rais wetu Mpendwa.
Pasipo yeye hakuna kitakachoweza kufanikiwa na kustawi. Hakuna jambo litawezekana na kusonga mbele. Bila yeye tutajikuta kila kitu kinakwama na kushindwa kusonga mbele .Pasipo Mikono yake hakuna kitakacho Pata Mafanikio.
Mikono yake ikiwekwa juu ya kitu chochote kile ni lazima kipate mafanikio Makubwa .ndio maana wengi wanatamani kuweka majina yake kwa kila mradi kwa sababu wanatambua yeye ndiye mwezeshaji na mfanikishaji. Wanatambua yeye ndiye Anayewezesha kila kitu .
Ni katika Mazingira hayo watanzania tunapaswa kumuombea sana Rais wetu Usiku na mchana ili Mungu aendelee kumjalia afya njema, nguvu za kuendelea kutuongoza ,maarifa na hekima za kiuongozi. Maisha yake yaendelee kuwa baraka kwa watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3636160
Wewe ni:Lucas Hebel Mwashambwa
Mmezoea kuua na kuuana na kuisingizia serikali. Naona mmenogewa na kuona mnaweza kuuwa mtu yeyote yule pale mtakapo . Vipi mpaka sasa umeuwa watu wangapi?Wewe mjinga siku ukijaa kwenye fremu yangu nitakutoa roho kwa mikono yangu mitupu bila kutumia silaha.
Umesamehewa Dhambi zako bure kabisa maana hujui ulitendaloWewe ni:
chizi
mtu mwenye wazimu au mwenye akili kidogo
Wewe si ndiyo kila siku unanitishia kifo hapa na post zako zote nimeziclub ili siku nikikufanyizia watu wajue nimejibu mapigo, na kabla sijakuzimisha lazima nikupige pumbu.Mmezoea kuua na kuuana na kuisingizia serikali. Naona mmenogewa na kuona mnaweza kuuwa mtu yeyote yule pale mtakapo . Vipi mpaka sasa umeuwa watu wangapi?
Jibu swali mpaka sasa umeuwa wangapi na unashirikiana na akina nani? Mnauwana wenyewe halafu mnaanza kupiga kelele na kutunga uongo wenuWewe si ndiyo kila siku unanitishia kifo hapa na post zako zote nimeziclub ili siku nikikufanyizia watu wajue nimejibu mapigo, na kabla sijakuzimisha lazima nikupige pumbu.
Nitakuua wewe na MafweleJibu swali mpaka sasa umeuwa wangapi na unashirikiana na akina nani? Mnauwana wenyewe halafu mnaanza kupiga kelele na kutunga uongo wenu
Umeuwa wangapi mpaka sasa? Si unaona CHADEMA msivyo na akili?Nitakuua wewe na Mafwele
Hana akili mama mkwe wako mama wa AbdulUmeuwa wangapi mpaka sasa? Si unaona CHADEMA msivyo na akili?
Mungu mwenyewe na Mbingu vimekukataa . Shetani Mwenyewe hakuelewi. Sasa unafikiri utakwenda wapi ukifa?Hana akili mama mkwe wako mama wa Abdul
Mimi ni immortal.Mungu mwenyewe na Mbingu vimekukataa . Shetani Mwenyewe hakuelewi. Sasa unafikiri utakwenda wapi ukifa?