Denis Swai
Member
- Sep 9, 2024
- 27
- 67
Kabisa mama amefanya kazi kubwa sana kujenga nchi. Mitano tena kwa Rais Samia hadi 2030Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.
Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura rais Samia Suluhu Mungu ambariki Rais wa viwango vya dunia
Eee Mungu wa rehema mlinde Rais Samia Suluhu.
Huyo mbunge Severino Supa alikuwa ni Padri wa Katoliki.Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.
Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura rais Samia Suluhu Mungu ambariki Rais wa viwango vya dunia
Eee Mungu wa rehema mlinde Rais Samia Suluhu.
Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.
Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura rais Samia Suluhu Mungu ambariki Rais wa viwango vya dunia
Eee Mungu wa rehema mlinde Rais Samia Suluhu.
Hawa ni "member" wamejiunga sasa hivi tuu.Kabisa mama amefanya kazi kubwa sana kujenga nchi. Mitano tena kwa Rais Samia hadi 2030
Acha unafiki.Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.
Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura rais Samia Suluhu Mungu ambariki Rais wa viwango vya dunia
Eee Mungu wa rehema mlinde Rais Samia Suluhu.
Ubora unaouzungumzia una maana ya uzuri. Naamini bado upo katika balehe! Ni kweli ni Rais Mzuri kwa vile ndiye mama wa kwanza kuiongoza hii nchi, wengine walikuwa ni wanaume. Huwezi kusifia Mwanaume mwenzako kuwa ni mzuri. Ila kumbuka huyo ni sawa na mama yako. Hangaika na mabinti saizi yakoNimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.
Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura rais Samia Suluhu Mungu ambariki Rais wa viwango vya dunia
Eee Mungu wa rehema mlinde Rais Samia Suluhu.
Chawa zinazidi kuongezekaNimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.
Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura rais Samia Suluhu Mungu ambariki Rais wa viwango vya dunia
Eee Mungu wa rehema mlinde Rais Samia Suluhu.
Case study iwe Marekani ambapo pamoja kelele za gender equality, equity , women empowerment kuzilazimisha nchi zingine, lakini wenyewe hawajathubutu kumpa mwanamke Camara Harris ,wakaona Bora wampe mcheza mieleka .Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.