Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

Denis Swai

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
27
Reaction score
67
Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.

Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura rais Samia Suluhu Mungu ambariki Rais wa viwango vya dunia

Eee Mungu wa rehema mlinde Rais Samia Suluhu.
 
Kabisa mama amefanya kazi kubwa sana kujenga nchi. Mitano tena kwa Rais Samia hadi 2030
 
Huyo mbunge Severino Supa alikuwa ni Padri wa Katoliki.
Unapomzungumzia mtu kwa ubora kuliko wote, pia ainisha maeneo ya ubora huo ambao amewazidi wengine wote.
P
 
Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.

Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura rais Samia Suluhu Mungu ambariki Rais wa viwango vya dunia

Eee Mungu wa rehema mlinde Rais Samia Suluhu.
Kabisa mama amefanya kazi kubwa sana kujenga nchi. Mitano tena kwa Rais Samia hadi 2030
Hawa ni "member" wamejiunga sasa hivi tuu.
 
A
Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.

Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura rais Samia Suluhu Mungu ambariki Rais wa viwango vya dunia

Eee Mungu wa rehema mlinde Rais Samia Suluhu.
Acha unafiki.
Enzi zile ulikuwa unapamba hivihivi.
Ndio maana vijana hawapati vyeo kwa sababu ya uchawa.
 
Kwamba samia ni bora kuliko marais wato tokea ikiwa Tanganyika hadi sasa Tanzania !
Halafu hamna sababu hata moja ulio ainisha!
 
Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.

Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura rais Samia Suluhu Mungu ambariki Rais wa viwango vya dunia

Eee Mungu wa rehema mlinde Rais Samia Suluhu.
Ubora unaouzungumzia una maana ya uzuri. Naamini bado upo katika balehe! Ni kweli ni Rais Mzuri kwa vile ndiye mama wa kwanza kuiongoza hii nchi, wengine walikuwa ni wanaume. Huwezi kusifia Mwanaume mwenzako kuwa ni mzuri. Ila kumbuka huyo ni sawa na mama yako. Hangaika na mabinti saizi yako
 
Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde.

Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura rais Samia Suluhu Mungu ambariki Rais wa viwango vya dunia

Eee Mungu wa rehema mlinde Rais Samia Suluhu.
Chawa zinazidi kuongezeka
 
Case study iwe Marekani ambapo pamoja kelele za gender equality, equity , women empowerment kuzilazimisha nchi zingine, lakini wenyewe hawajathubutu kumpa mwanamke Camara Harris ,wakaona Bora wampe mcheza mieleka .
 
Back
Top Bottom