Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

Usseri siwezi kukulaumu , mda huu umeshapiga mataputapu unaropoka tu
 
We utskuwa ushoga
 
Azidi kupiga hatua ya kuua na kuteka zaidi sio? Sifa inayomfaa na atakayoishi nayo maisha yake yaliyobaki hapa duniani ni Muuwaji.
 
Mtoa mada Huna akili, tuandikie ujinga wako hapa jf tu ila usiende mtaa ukalopoka utapigwa vibaya watu bado wanamaumivu makali sana, wengine ni vilema , watu wamekufa wengi sana zaidi ya waliokufa vita ya kagera.
 
Maendeleo yote aliyofanya bado anafunga comment akipost kitu hataki watu wampongeze? Anaogopa nini?
Mkuu unazijua busara za wazee wa zamani?

Umeingia sehemu, unakuta kazee kanaanza kumfokea mtoto bila sababu😁, ... 'wewe mtoto mshenzy sana pia dhulumati!... Unakopa pesa za watu halafu hautaki kulipa, una laana sana wewe!'

Ukiyapima maneno anayoelezwa huyo mwana, hayamlingani kwa umri wake na ukijisyncronize kichwani mwako unaona kabisa hapa hakuna mwingine anayerandana na hizo tabia alizokuwa akiadabishiwa huyo malaika!

Unaghadhabika unaaga au unapuyanga kimyakimya kwa jaziba, lakini tayari ujumbe ushaupokea alahmdulilah😃😄😁!

Na huyu mwandishi unamuonaje, mi namuona kama ni mwanariwayafl'an, akitaka kila mtu ajijazie mwenyewe kichwani mwake.
 
Wanangu mimi kila niki ignore chawa wanaibuka wapya, ni kwangu tu au kwa wote?
 
Ni vigumu sana kuwa convince watu kwamba mavi hayanuki.
Very difficult.
 
Ni mzee mnafiki sana huyu, hafai kumpa nafasi katika media.
Atuambie kati ya mwaka 1985 mpaka 1990, yeye akiwa waziri mkuu alimshauri nini ndugu yake Nyerere alipolifanya jeshi lote kuwa wanachama wa chama pekee Tawala.
Akiwa mwanasheria alimshauri Nyerere kupunguza nguvu ya Rais (mgawanyo wa madaraka) ndani ya katiba. Hivi hajui kama muundo mzima wa Katiba ndio unalolifanya Jeshi kuwa sehemu ya chama tawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…